Nzokanhyilu
JF-Expert Member
- Feb 19, 2007
- 1,078
- 93
Ningependa kujua kama kuna waTanzania wowote, nyumbani au nje ya Tanzania wanaotumia CAD packages kama za ProE, Solidworks etc.
Je, mnatumia hizo package katika shughuli gani?
Je, zinakusaidia vipi kufanikisha kazi zako?
Ungependa kuweza kufanya nini na hizo package?
Aina gani ya mafaili unapata? e.g IGES, STEP etc etc.
Nitashukuru sana nikiweza kupata haya majibu. Sanasana nikisikia kutoka kwa wale walio Tanzania au East Africa, nitashukuru sana. Lakini popote pale ulipo, nitafurahi kusikia kutoka kwako.
Hapa Bongo the last time i used those CAD packages (ProE, Solidworks) was when i was in collegge pale UDSM! Mara nyingi wahandisi Bongo wanatumia sana AutoCAD.
Kama utahitaji details kuhusiana na autoCAD just let me know cos at least nimeitumia kwa muda kidogo na bado naitumia ktk shudhuli zangu.
Mkuu fundi mchundo > duh umenikumbusha mbali sana mambo ya sliding rule! inabidi tubanane tu kwenye siasa inaonekana ufundi haulipi bongo....
Engineer Mohammed yuko wapi? Aje hapa amjibu Nzakanhliyu
Nzoka..., regarding the other issues ni kama ifuatavyo:1
1. Architects siku hizi wanatoa a complete package iliyo kwenye Adobe ambapo unapata picha halisi ya final product including colors selection. Pia wana ile kitu ya 3d Studio Max amabpo unapata hata walk in tour ya nyumba yako for decission making - so hawa target yao ni real estate clients to get!!
2. Road Engineers kama kawaida wao wengi ni consultants na hutumia michoro yenye details za pavement and materials including quantities - hapa sihitaji kusema target group sababu ni serikali, TANROADS nk
3. Watu wa GIS naona wao kazi yao ipo a bit slow sababu town planning hapa nymbani ni a bit slow.... Lakini karibuni wamekuwa wanapata kazi kutoka kwa consultants wa barabara through surveying firms sababu town planners and surveyors hawako mbali sana especially kwenye new road projects and new towns developments
Sijui kama nipo on track based on your maswali...... nimejitahidi kuweka some few cents!!!
Morani,
Najaribu kufahamu vitu gani tunatengeneza Tanzania, maana najua vitu kama machinery sisi ni wanunuzi.
Asante sana kwa input yako. Nina interest ya end-product ili nitengeneze common ground halafu nilete teknolojia mpya itakayo fanya u-improve end-product yako. So hapa naangalia 3D products.
Kitu relevant sana hapo ulichosema ni Architecture. Hiyo 3DstudioMax ninayo ofisini ila sijapata muda kuitumia maana inatoa 3D tu image tour na haisadii real issues.
Kwenye Architecture, end product ni nyumba. Interest hapa inakuwa kama kuangalia ventilation system na labda forces/stresses katika kuta/misingi za majengo etc kabla hata hujaanza kujenga hiyo nyumba (Vitu hivi vingi ma-Architects na Engineers wanapiga mahesabu kwa mkono au wanafanya maamuzi through experience......ndio mambo ya majengo kuanguka huko China). Wajenzi wenye pesa kubwa wanaweza ku-justify hii teknolojia. Pia katika njia hii, kwamfano benki za Tanzania zinaanza kutumia tecknolojia mpya, makompyuta/servers kibao etc Je, wanajenga data centres zao vipi? Na ku-maintain vipi?
Kitu kingine, ni mfano wa 'mouldings' kama za maplastiki etc. Moulding ni final product. Basi ningependa kujua hizo final products ni nini na zimetengenezwa vipi.
Kuhusu vitu kama barabara, safi, lakini hapa naona interest zaidi itakuwa ni machine yenyewe inavyofanya kazi, kwa mfano machine ya kuchanganya zege au hata kukandamiza rami etc. Machinery inaweza kuwa hata hiyo ya 'Moulding', au mashine ya kupepeta mchanga kwenye madini. Lakini hatutengenezi machinery as such Tanzania, tunanunua. Lakini nikijua machine tulizonazo zinatengeneza nini na nikaelewa teknolojia inayotumika, pia naweza shauri nini kifanyike ili upate product nzuri zaidi and if possible cheaply. Main point here is, increasing efficiency of cost of production and better product.
Sijui unanipata? Nina haraka kidogo, nitarudi nisawazishe kama siko clear. Ila ishu ni kwamba nataka kujua mahitaji ya Tanzania. Teknolojia ni ghali, ila nina-negotiate njia ya kuifanya iwe accessible na bei nzuri zaidi kwa Tanzania, nikiwa kama consultant katika muda wangu. The fact natoka Tanzania, nimeweza ku-justify kwamba ni muhimu nichangie nchi ninayotoka huku nikipima affordability. Nikielewa mahitaji, inakuwa rahisi kujustify.
Nzoka....., hapo sasa nimeweza kuona unachotaka Mkuu, unataka kuangalia zaidi kwenye 3D products!!! Well hapo sasa nadhani wakuu wenye interest zaidi kwenye "MAJENGO" watakuwa na mwanga zaidi...
Kuhusu hilo la kutengeneza models, kwa kweli ukweli ni kwamba hapa nyumbani tumeanza kufanya hayo muda mrefu tu uliopita Mkuu.... Ileweke kuwa hizi "models" mara nyingi hutengenezwa kwa miradi mikubwa na sio kwa small projects (nadhani hata kwa wenzetu pia ni vivi hivi).
Hilo la ununuzi wa vifaa vya ujenzi kidogo sijaelewa vizuri lakini sidhani kama ulinielewa my referencing ya various fields of engineering manake swali lako kidogo lilikuwa generalized.....
Mkuu, tunakukaribisha sana kwenye field huku nyumbani ila nadhani nikutahadharishe tu kuwa inaonekana haupo updated sana na maendeleo ya IT kwenye Engineering Field in Tanzania, utashangaa sana ukifika manake kuna vijana wapo hapa wanafanya wonders na hizi programs za engineering. Kuna waliofikia mpaka hatua ya kuweza kufanya cross-linking and upgrades using some programs depending on as I said before "Compatibility and User Requirements"!!!
Karibu nyumbani Mkuu tuendeleze libeneke!!
moran....
hebu nambie mkuu wewe ni engineeer ktk kitu gani?unajua nimevutiwa sana maandiko yako mkuu.
. Ishu ni hi vitu vingi vinakua haviko under International Standards, kama tunapata vitu vibovu kutoka China kila siku, (tena naamini kabisa nikikaa nika-analyse huo Uwanja wetu mpya, nitakuta madudu mengi). .
mh, nimesoma nukta kwa nukta mwisho nkagoma.
Mhandisi Moh'd, heshima mbele Mkuu.... Mimi ni Mhandisi Mjenzi, Mkuu......
najaribu kukutumia PM haikubali,au hutaki kupokea pm?