kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 14,180
- 16,182
Wamepigwa lini na nani!ndip sababu mnaingilia moaka mikutano ya ndani na kuwapiga?
Wamepigwa lini na nani!ndip sababu mnaingilia moaka mikutano ya ndani na kuwapiga?
Hayo ni magenge tu kama magenge mengine kama Boko Haram tofaut hawana silaha za moto
Ulizia jinsi watu wanavyofurumishwa kwenye vikao kila siku. Kuna wilaya viongozi wapo ndani kwa kuitisha vikao vya uteuzi. Nani hapendi familia yake. Chama ni kimoja na kitadumu mpaka Yesu arudi point.!!!!!!! Wajinga ni wale watakaong'ang'ania mfumo wa vyama vingi. Tupo China hapa na Korea Kaskazini. Tunataka viwanda siyo siasa.
Nimekatwa kwenye kura za maoni CCM, vipi Chadema mnanihitaji nije kugombea kwenu?CHADEMA na ACt Wazalendo wagombea Serikali za mitaa wanapatikanaje? Mbona hatuoni mkipiga kura za maoni kama CCM walivyofanya jana jumapili nchi nzima?
Sijui mnakulaga kunde za wapi? Kwa mawazo hayo ya kusubiri boda boda tano bila strategy ya kueleweka na sio ile ya kusubiri waliokatwa CCM, jiandae kusubiri sana bandugu.
Wanaogopa kuzuiliwa na Polisi,maana hukawii kuskia Polisi wamezingira eneo wanapofanyia vikao vya uteuziCHADEMA na ACt Wazalendo wagombea Serikali za mitaa wanapatikanaje? Mbona hatuoni mkipiga kura za maoni kama CCM walivyofanya jana jumapili nchi nzima?
Kamuulize mume wako dadaNimekatwa kwenye kura za maoni CCM, vipi Chadema mnanihitaji nije kugombea kwenu?