Wagombea Serikali za mitaa CHADEMA na ACT Wazalendo wanapatikanaje? Mbona sioni kura za maoni zikifanyika?

CHADEMA na ACt Wazalendo wagombea Serikali za mitaa wanapatikanaje? Mbona hatuoni mkipiga kura za maoni kama CCM walivyofanya jana jumapili nchi nzima?
Kura za maoni ni utaratibu wa fisiemu. Wengine wana taratibu zao. Unakumbuka takrima?
 
Umeonesha concern yako kama vile hujui kilichokuwa kikiendelea. Act wazalendo na Chadema vinahitaji only 24 hrs kubadilisha yoote wengine waliyo yafanya kwa four years.
Bodaboda tano tu zikifungwa bendera za chadema na zile motokari saafi nyeupe zilizoandikwa M 4 C mbili tu zinatosha kugeuza meza.
Muda utasema ukweli
Mnasubili makapi ya CCM hamna lolote!
 
"Sadakalawe, aminaaaa
Mwenye kupata, apateeee
Kipapatio, cha kukuuuu
Kinaliaje, kwio kwio"
Mwenye ufahamu na azidi kufahamu.
 
Mtatoa visingizio wee muda unaenda hivyo
Ulizia jinsi watu wanavyofurumishwa kwenye vikao kila siku. Kuna wilaya viongozi wapo ndani kwa kuitisha vikao vya uteuzi. Nani hapendi familia yake. Chama ni kimoja na kitadumu mpaka Yesu arudi point.!!!!!!! Wajinga ni wale watakaong'ang'ania mfumo wa vyama vingi. Tupo China hapa na Korea Kaskazini. Tunataka viwanda siyo siasa.
 
Inakuhusu nini wewe Mbweha ?
Ukimwita mbweha (wild dog) umempandisha daraja maana yule mnyama mjanja yupo tayari kugombana na simba ili apate chake. Huyu ni fisi anasubiri wenzie waue yeye atafune. Alishinda zamani na hana mpinzani ila sijui huwa anakuwa na viherehere vya nini? Kila siku kuanzisha nyuzi kuhusu Chadema na ACT. ina maana pesa anazopata hazitoshi? Nawasikitikia wale wanaong'ang'ania vyama. Wenzao tuliviacha tangu 1967 tulipoona havifurukuti. Kikadumu na kitadumu mpaka kizazi cha mafisi kiishe.
 
Ahsante Mkuu
Fisi kabisa hilo
 
Huko wanachaguana kwa makabila kama chadema kama sio mpare au mchaga hupati nafasi

Act wazushi wao wanaangalia kama unatokea kigoma au zenji unapewa kipaumbele

Tanzania upinzani hakuna wanasubiria uzushi na umbea wanaugeuza Ajenda

Nani atawapa dhamana ya kuwaongoza
Usilojua ni usiku wa giza,wachaga wanapatikana moshi,manispaa ya moshi ni ya chadema lkn 75 ya madiwani wa chadema sio wachaga wachaga hawazidi wanne huo ukabila uko wapi?
 
CHADEMA na ACt Wazalendo wagombea Serikali za mitaa wanapatikanaje? Mbona hatuoni mkipiga kura za maoni kama CCM walivyofanya jana jumapili nchi nzima?
Unataka uone kupitia TBC 1?
UONE KUPITIA CHANNEL 10 ?
kupitia magazeti ya uhuru na Mzalendo?
Kama tumepiga marufuku siasa na hakuna siku tuliyotangaza kuruhusu siasa unataka CHADEMA wakaidi agizo la RAISI?
Unajua tumewazuia kwa maksudi kwakuwa ndani yatu CCM hakuna mtu wa kuwajibu hoja?

Mimi nawaona kila uchao wakikamatwa na ma-DC wetu kwenye vikao vya ndani wakipanga mikakati ya uchaguzi huku sisk POLEPOLE AKIKAGUA MIRADI AS IF YEYE NI WAZIRI KUMBE CHO FLANI
 
Wewe endelea kuhaha tu kana kwamba ukweli huujui!
Screenshot_20191016-224559-picsay.jpeg
 
CHADEMA na ACt Wazalendo wagombea Serikali za mitaa wanapatikanaje? Mbona hatuoni mkipiga kura za maoni kama CCM walivyofanya jana jumapili nchi nzima?
Sasa kama maccm yametuzuia tusifanye mikutano hata ya ndani unataka wapatikane kwa utaratibu gani ?
 
Back
Top Bottom