Wageni wengine bwana du!

Huko ni kukosa nidham kupitiliza, zungumza na mkeo awaambie waache mara moja hizo tabia zisizokupendeza, usipoona mabadiliko wape nauli warudi kwao mara moja.
Kwa nini mtu akubadilishie taratibu za nyumban kwako nawe umvumilie? kwa mimi siwez hata kidogo. Heri lawama lakin niwe nafuraha moyon mwangu.
 
Napata ukakasi, ufafanuzi please! Una maana gani unaposema hujamwoa kindoa? Watoto ni wenu? Au upo kwenye kundi la wajaribu na kuachia? Namhurumia huyo binti ulie naye.
 
Umenikumbusha mbali kweli mm na dogo tulikuwa tukiona mgeni anaonesha dalili za kulala tunaanza kuwaza daaah Leo tunalala chini tena.​
Mkuu pia umenikumbusha enzi za utoto wangu wageni wa namna hii walikuwa wananitambua hadi waliniita Gaddafi kwani sikuwa nataka mtu aniingilie uhuru wangu hii attitude imenijenga sana huwa siruhusu kabisa mtu kuniingilia kwenye utawala wangu na taratibu zake ni lazima afuate taratibu zangu hawezi asitie kongoro zake kwangu.
Ni bora wasikupende lakin familia yako inaburudika na wana miss uwepo wako.
 
Upo sahihi Mkuu, mimi nimekulia familia ambayo wagen walikuwa hawakatiki kila kukicha ila mim tangu utoto nilikuwa na uwezo wa kumsoma mtu kwa muda mchache sana nakumbuka siku nilimwambia mama asee hawa wageni wanatupa taabu sana sisi hata hatupati ile furaha ya nyumban, alinijibu jaribu kujifunza kuishi na watu wa kila aina na uwavumilie hayo ndo maisha. Ila baada ya mambo kugeuka nyumban wageni walikauka na wakaanza kusema vimaneno vimaneno hapo nilionekana nabii.
Kitu nilijifunza ni kuwa real siogopi lawama kama naamin ninachosimamia hakuna sehemu bora kama nyumban hakikisha watoto na familia yako wanapata furaha bila kuharibiwa utaratibu na watu wengine.
Yaan uumize kichwa kwenye mihangaiko ufike tena nyumban uumizwe kichwa na wageni, NOOOO
 
Hahaha ujaoa bado wanakupa adivataiz ukioa itakuwaje
 
Napata ukakasi, ufafanuzi please! Una maana gani unaposema hujamwoa kindoa? Watoto ni wenu? Au upo kwenye kundi la wajaribu na kuachia? Namhurumia huyo binti ulie naye.
Mi nipo kwenye kundi la wanaojaribu na kuachia.
 
Wamekuona na wewe huna adabu kwa kuishi na dada yao bila kumuoa. Kwaio huna heshima kwao.
 
Mimi ni mimi hua siwezagi kuvumilia ujinga eti kisa wageni watanionaje huyo dogo ninge mtwanga banzi ange tii amri kama mmbwa mkorofi anapo kutana na nondo ya kichwa
 
Mtomb* dada yao hadharani wataona aibu sana kwanza watakuheshimu pili wataomba nauli warudi shamba walikotoka mara moja.
 
Mkuu umefanya kosa kubwa sana kuwalaza watoto sebuleni. Kisaikolojia utawafanya watoto wachue wageni maisha yao yote.. mgeni akija kwako kama huna chumba cha wageni walaze Guest au Sebuleni.. kamwe usiwalaze watoto na wageni.. au kuwahamisha watoto.. take my word
 
Kila nyumba ina sheria/taratibu zake,wanao umewalaza kwenye makochi,hao wajinga wanaangalia TV na makelele juu!....Faza house unayumbaa....kimbiza hao wapuuzi fasta
 
Pole sana Mkuu. Mtoto wa shemeji yangu kaja kukaa kwangu ili asome. Eti naye akajifanya "mwenye nyumba". Hanisalimii asubuhi wala mchana wala jioni. Siku moja anarudi toka shule alikuta vitu vyake vipo barabarani. Akapitilizia huko huko. Ila wewe wavumilie tu.
 
Aisee! Watoto wako warudishe chumbani kwao, shemeji zako wabaki hapo sebureni wakeshe na tv.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…