feysher
JF-Expert Member
- Sep 6, 2016
- 2,656
- 2,762
Ukirudi na wao wanarudi
Watakua na laziada wanalotafuta si bure
Ukirudi na wao wanarudi
Duh!!!!Wewe usinikumbushe marafiki zangu nashukuru baada ya muda nikahamia hombolo ningekoma
Dawa yao kama umepanga chumba unahama tu kimya kimyaa unasema umeuza vyombo wanasepa
Sasa kama mtu ana nguo zake huko ndani??? Mmhh ama kweli Hali ngumu imewafanya watu wawe wachoyoYa nini ujitese waambie ukweli wakigoma badilisha kitasa wakitoka funga afu na wewe potea wiki nzima
Sijawahi.
Na akikaa muda mrefu nitafurahi as napenda wageni.
Ukirudi na wao wanarudi
kweli dunia inakwenda mbio,wakati wengine tunaomba tupate wageni wengine wanaomba wageni wakimbie...Wageni ni Baraka,nyumba isiyoisha wageni na wakakirimiwa ni nyumba inayopendwa na Mungu
Je wakija ulikohamia..!!??? si utakesha unahama hama kila sehemu..!!Wewe usinikumbushe marafiki zangu nashukuru baada ya muda nikahamia hombolo ningekoma
Dawa yao kama umepanga chumba unahama tu kimya kimyaa unasema umeuza vyombo wanasepa
labda kama mgeni kasababisha madhara makubwa, kama kuvunja ndoa etc, tofauti na hapo siwezi mfukuza akae akichoka aondoke mwenyewe. Chakula kipo Mimi nihangaike kumfukuza mtu? Hapana
mimi niliwahi kupata mgeni wa aina hiyoo lakini nilichokuwa nakifanya kila namuomba hela mara leo hela ya umeme, mara kesho hela ya gesi, mara leo hela ya kula, mara hela ya kodi ya arthi daa mwisho wa siku aliamuaa kusepaaaaaa maana dahWangapi tuliwahi kupokea mgeni ambaye ameomba umpe hifadhi one night lakini mwisho wa siku wiki,mwezi, miezi ikakatika bila dalili yeyote ya mgeni kuondoka!!,Je?ulitumia mbinu gani kumchomoa?
Kweli kabisaKuna marafiki hawana aibu
kweli dunia inakwenda mbio,wakati wengine tunaomba tupate wageni wengine wanaomba wageni wakimbie...Wageni ni Baraka,nyumba isiyoisha wageni na wakakirimiwa ni nyumba inayopendwa na Mungu
Well said,ule msemo unaosema mgeni njoo mwenyeji aponeNapenda wageni/mgeni ila asifanye nimuone mzigo ntamchoka haraka, mm nikitembelea kwa watu najiongeza si kawaida
Hahaaajinsi ya kumfukuza mgeni bila kujijua
1.mpe chumba cha ndani kama unanyumba kubwa[then akikisha mlango unafanga saa mbili na nusu], hapo una myima uhuru wa kuzurura, maana ataona aibu kugonga watu wamelala usi thubutu kumpa chumba cha uwani mgeni hata kama kiko extra.
2.kama unachumba na sebule na yeye ni jinsia yako, usilale nae zaidi ya wiki kwenye kitanda chako, mbadilishie ratiba awe ana lala kwenye kochi sebuleni[ wewe kama k mlete m wako, kama m mlete demu wako pumzika nae chumbani hahah ataondoka tu.
3.mgeni siku ya kwanza yapili mpe jembe akalime
Hulka hiyo alikuwa na ba'mdogo wangu ukienda kumtembelea usitegemee safari nyingine utamkuta nyumba ile ile, afu alikuwa hatumii simu kabisa.Je wakija ulikohamia..!!??? si utakesha unahama hama kila sehemu..!!
hivi kwanini umeamua kuishi homboloWewe usinikumbushe marafiki zangu nashukuru baada ya muda nikahamia hombolo ningekoma
Dawa yao kama umepanga chumba unahama tu kimya kimyaa unasema umeuza vyombo wanasepa
Ingekua hivo basi guest house zingekua na baraka kuliko nyumba zote duniani.kweli dunia inakwenda mbio,wakati wengine tunaomba tupate wageni wengine wanaomba wageni wakimbie...Wageni ni Baraka,nyumba isiyoisha wageni na wakakirimiwa ni nyumba inayopendwa na Mungu