Wageni watata!

hakuna haja ya kumfukuza. Mwambie tu achangie gharama za maisha kana LUKU na bili ya maji akikubali akae hata mwaka
 
jinsi ya kumfukuza mgeni bila kujijua
1.mpe chumba cha ndani kama unanyumba kubwa[then akikisha mlango unafanga saa mbili na nusu], hapo una myima uhuru wa kuzurura, maana ataona aibu kugonga watu wamelala usi thubutu kumpa chumba cha uwani mgeni hata kama kiko extra.
2.kama unachumba na sebule na yeye ni jinsia yako, usilale nae zaidi ya wiki kwenye kitanda chako, mbadilishie ratiba awe ana lala kwenye kochi sebuleni[ wewe kama k mlete m wako, kama m mlete demu wako pumzika nae chumbani hahah ataondoka tu.
3.mgeni siku ya kwanza yapili mpe jembe akalime
 
Ya nini ujitese waambie ukweli wakigoma badilisha kitasa wakitoka funga afu na wewe potea wiki nzima
Sasa kama mtu ana nguo zake huko ndani??? Mmhh ama kweli Hali ngumu imewafanya watu wawe wachoyo
 
Wewe usinikumbushe marafiki zangu nashukuru baada ya muda nikahamia hombolo ningekoma

Dawa yao kama umepanga chumba unahama tu kimya kimyaa unasema umeuza vyombo wanasepa
Je wakija ulikohamia..!!??? si utakesha unahama hama kila sehemu..!!
 
Wangapi tuliwahi kupokea mgeni ambaye ameomba umpe hifadhi one night lakini mwisho wa siku wiki,mwezi, miezi ikakatika bila dalili yeyote ya mgeni kuondoka!!,Je?ulitumia mbinu gani kumchomoa?
mimi niliwahi kupata mgeni wa aina hiyoo lakini nilichokuwa nakifanya kila namuomba hela mara leo hela ya umeme, mara kesho hela ya gesi, mara leo hela ya kula, mara hela ya kodi ya arthi daa mwisho wa siku aliamuaa kusepaaaaaa maana dah

aliona majukumu ya kifamilia nambebeshaaaa
 
Kuna mgeni mkimkaribisha kwako ukienda kwenye mission zako unakuta kashaingiza Demu ndani
kweli dunia inakwenda mbio,wakati wengine tunaomba tupate wageni wengine wanaomba wageni wakimbie...Wageni ni Baraka,nyumba isiyoisha wageni na wakakirimiwa ni nyumba inayopendwa na Mungu
 
jinsi ya kumfukuza mgeni bila kujijua
1.mpe chumba cha ndani kama unanyumba kubwa[then akikisha mlango unafanga saa mbili na nusu], hapo una myima uhuru wa kuzurura, maana ataona aibu kugonga watu wamelala usi thubutu kumpa chumba cha uwani mgeni hata kama kiko extra.
2.kama unachumba na sebule na yeye ni jinsia yako, usilale nae zaidi ya wiki kwenye kitanda chako, mbadilishie ratiba awe ana lala kwenye kochi sebuleni[ wewe kama k mlete m wako, kama m mlete demu wako pumzika nae chumbani hahah ataondoka tu.
3.mgeni siku ya kwanza yapili mpe jembe akalime
Hahaaa
 
Wewe usinikumbushe marafiki zangu nashukuru baada ya muda nikahamia hombolo ningekoma

Dawa yao kama umepanga chumba unahama tu kimya kimyaa unasema umeuza vyombo wanasepa
hivi kwanini umeamua kuishi hombolo
 
kweli dunia inakwenda mbio,wakati wengine tunaomba tupate wageni wengine wanaomba wageni wakimbie...Wageni ni Baraka,nyumba isiyoisha wageni na wakakirimiwa ni nyumba inayopendwa na Mungu
Ingekua hivo basi guest house zingekua na baraka kuliko nyumba zote duniani.
 
Back
Top Bottom