Wageni someni hapa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wageni someni hapa

Discussion in 'Utambulisho (Member Intro Forum)' started by Bujibuji, Jun 9, 2011.

 1. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #1
  Jun 9, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,381
  Likes Received: 22,251
  Trophy Points: 280
  Je mnakuja kuimarisha hii nyumba au nyie ni wanafiki na vizabizabina mlio tumwa kuiharibu na kuivunja hii nyumba?
  Kabla hujaingia humu ndani jiulize dhamira yako kama wewe ni mwema au mfitini.
  Kama umekuja kwa mabaya, kwa kutumwa na kundi fulani au chama fulani hapa hapakufai.
   
 2. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #2
  Jun 9, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,768
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  nimeipenda hiyo lakini fafanua zaidi,je mnapenda kuendelea kubakia nyie wenyewe wa zamani tuu???
  hapo kuna kitu nimekisoma!!!!!!
   
 3. Sumbalawinyo

  Sumbalawinyo JF-Expert Member

  #3
  Jun 9, 2011
  Joined: Sep 22, 2009
  Messages: 1,286
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0
  Kijana katoa wito kwamba wageni wajichunguze nia ya ujio wao JF. Wale wenye nia mbaya ndio mikela hawataki, ila wale wasi wa roho anawakaribisha. Kijana leo bnaona amekuwa mkali sana, sijui ndio changamoto za kwenye ndoa?
   
 4. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #4
  Jun 9, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 18,015
  Likes Received: 743
  Trophy Points: 280
  Sawa,wazo zuri na wenyewe watazingatia.
   
 5. Nazjaz

  Nazjaz JF-Expert Member

  #5
  Jun 9, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 5,345
  Likes Received: 1,141
  Trophy Points: 280
  Mikela, kweli hutaki mchezo na lile kundi lililotumwa na ze komedians magamba
   
 6. mgen

  mgen JF-Expert Member

  #6
  Jun 9, 2011
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 15,192
  Likes Received: 1,914
  Trophy Points: 280
  Wazuri wabaya wote ni wanao utamtupia mvuta bange watoto wabaya ili iweje!
  Unaye muona mbaya Mpende anahitaji upendo wako ili abadilike.
  Bozi ni lyako mkulu!
   
 7. Ngalikihinja

  Ngalikihinja JF-Expert Member

  #7
  Jun 9, 2011
  Joined: Sep 1, 2009
  Messages: 16,421
  Likes Received: 3,770
  Trophy Points: 280
  Issue si wazamani au WAPYA...............NI DHAMIRA YA MHUSIKA.............. hili neno wapya/wa zamani limetumika kuonyesha wanaojiunga sasa wengine WAMENNAPE NNAUYELIWA
   
 8. Mpendwa

  Mpendwa Member

  #8
  Jun 9, 2011
  Joined: Jun 9, 2011
  Messages: 55
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Some people r not serious kbs!!

  Suala si uzamani au upya, la msingi ni ujenzi wa hoja muhimu za kuinuana na kusaidiana . Zaidi sana kupeana mawazo ya nini kifanyike ili kuinusuru nchi yetu ambayo imezama kama MV Bukoba
   
 9. S

  Storm Member

  #9
  Jun 9, 2011
  Joined: Jun 9, 2011
  Messages: 13
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hi mnipokee jamani
   
 10. S

  Storm Member

  #10
  Jun 9, 2011
  Joined: Jun 9, 2011
  Messages: 13
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mbona twalumbana watoto wa baba mmoja the onry thing 2 peane suport walio safi na wasio safi in order 2b parfect chao
   
 11. S

  Storm Member

  #11
  Jun 9, 2011
  Joined: Jun 9, 2011
  Messages: 13
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mikela be passion do talk like that is not away 2 wellcom us .
   
 12. BornTown

  BornTown JF-Expert Member

  #12
  Jun 9, 2011
  Joined: May 7, 2008
  Messages: 1,716
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Mkuu Mikale yaani umegonga penyewe hasa maana kweli wanachafua hali ya hewa humu ndani, nimategemeo yangu watajirekebisha
   
 13. Manyanza

  Manyanza JF-Expert Member

  #13
  Jun 9, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,446
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Ishu sio upya wala Ugeni. jambo la kuangalia ni kusudi gani lilokuleta humu JF, kuharibu mijadala ya watu? kujenga hoja na kushare mawazo yako na member wengine? au kujifunza nini watu wanafanya.
  Ugeni au Uzamani sio ishu hata wewe uliyeleta thread na wewe wakati unajiunga ulikuwa mgeni.
  am here for the purpose!
   
 14. sixgates

  sixgates JF-Expert Member

  #14
  Jun 9, 2011
  Joined: Mar 19, 2011
  Messages: 3,974
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  sijui unataka kumaanisha nin!.kuharibiwa kivipi,au mtu kupinga mawazo ya walio wengi ndo kuharibu?na JF si ni ya area kwa ajili ya watu kuexpose mawazo yao,so what presented is a total reflection ya jamii,kama unataka watu wawe sawa,hapo ni chalenge unayoimpose kwa MUNGU,bt respect wageni na siniourz,dnt repeat ths rediculous!
   
 15. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #15
  Jun 9, 2011
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Karibu san, mkuu lakini hili jukwaa la wote sio sehemu za kupigiana hadithi za Juma na Roza, lazima ukubali challange ndio maana ya jukwaa
   
 16. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #16
  Jun 9, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,475
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Karibu!
   
 17. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #17
  Jun 9, 2011
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Karibu sana jamvini
   
 18. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #18
  Jun 9, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,120
  Likes Received: 6,601
  Trophy Points: 280
  nimeisoma hii hapa.:mimba:
   
 19. Mwenzetu

  Mwenzetu JF-Expert Member

  #19
  Jun 10, 2011
  Joined: Dec 16, 2010
  Messages: 500
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 45
  karibuni wote..................hii ndo jf
   
 20. m

  mangolita. New Member

  #20
  Jun 13, 2011
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  asante kwa ukaribisho. Ila nadhani, watu wenye nia tofauti ndo wanaoleta challenges. And we should always be prepared to defeat the chalenges so as to make one step ahead!
   
Loading...