Wafungwa zaidi ya 10 watoroka gereza la Lushoto.

hawakuwa na makosa, wametoroka ili kushinikiza majambazi ya hela za umma yafungwe.
mkuu Elli ndo napata habar hapa, ngoja nifuatilie then ntaleta habari kamili, hata hivyo gereza mahali lilipo sio kabisa.
 
Last edited by a moderator:
Eti gereza liko town kabisa si wanakula gud time tu
hawakuwa na makosa, wametoroka ili kushinikiza majambazi ya hela za umma yafungwe.
mkuu Elli ndo napata habar hapa, ngoja nifuatilie then ntaleta habari kamili, hata hivyo gereza mahali lilipo sio kabisa.
 
hii imenikumbusha kuna jamaa hapa Moshi maarufu km JJ alimwagia mtu petrol na kumpiga kiberiti live mchana kweupe akawekwa jela mwisho wa siku tukatangazima katoroka gerezani.
 
Back
Top Bottom