Wafumaniana na kubadilishana wake zao

Hata huyo mtendaji inabidi apimwe akili kama zina charge vizuri
 
Hapo wizi ndo umeanza rasmi sasa, wataendelea kubadilishana kila siku, mmoja akim-mic yule wa ndoa basi anamuazima toka kwa rafiki yake
 
Kila moja kanogewa na mke wa mwenzeka kwa hiyo mi naona wamefanya vema
 
Kila moja kanogewa na mke wa mwenzeka kwa hiyo mi naona wamefanya vema

wamefanya jambo la maana sana. nawapongeza na kuwaunga mkono kwa uungwana walioufanya.
 
Hata huyo mtendaji inabidi apimwe akili kama zina charge vizuri

kwani mtendaji kawalazimisha? si wamekubaliana kwa ridhaa yao na kwa maandishi? mtendaji yuko sahihi kabisa.
 
Naomba sana nifumaniwe na mume wa Heaven on Earth, miss chaga au charminglady. nitafurahije!

Weweee... My hezbend C6 hana mchezo kabisa mbele ya wifey wake.

Unaifahamu hii???

AK-47_third_person_MWDS.png
 
Last edited by a moderator:
ha ha ha ha ha kama unahela amna haja ya kufumania nakuja tu

hahahaha! hapa hela zimejaa tele...tatizo sio hela, tatizo ni namna ya kuzitafuna hizo hela...kama unajua kufakamia sawasawa, karibu sana. mimi ni miongoni mwa waliopata mgawo wa ESCROW.
 
Dah sijui na mimi nifumaniwe na mke wa nani hapa na mimi niepue chombo, kuna mtu hua namtamani sana sana hapa jukwaani, basi tu

mkuu Elli natamani nikufumanie na mke wangu unisaidie kubeba matatizo. hahahaha!
 
Last edited by a moderator:
weweee... My hezbend c6 hana mchezo kabisa mbele ya wifey wake.

Unaifahamu hii???

ak-47_third_person_mwds.png

hahahaha! Kwa uzuri wa mke wangu, huyo my husband wako hawezi kukatiza...lazima akubali mabadilishano tu!
 
Last edited by a moderator:
Habari haijajitosheleza bado, msimpinge mleta mada tu, kuna ndoa hazina vyeti, ukikaa na mwanamke ndani miezi sita kisheria anakua mkeo, atleast tungekua tunajua mahusiano yao yalikua ya namna ipi,

Anyway...nimependa ubunifu wao, wananikumbusha hadithi moja ilikua kwenye gazeti la Kiu/ Sani miaka ya nyuma...
 
Daaa...hao Jamaa na wake zao wametisha sana.
Sasa itabidi wabadilishane hadi swaga za game.
 
Last edited by a moderator:
hahahaha! hapa hela zimejaa tele...tatizo sio hela, tatizo ni namna ya kuzitafuna hizo hela...kama unajua kufakamia sawasawa, karibu sana. mimi ni miongoni mwa waliopata mgawo wa ESCROW.

asante sana uliiingziwa bilioni ngapi?
 
watakuwa dotcom youth abao hata maana ya mke hawajui; ama basi wanaojali tu maslahi yao bila kuzingatia wangapi wanaumizwa na maamuzi yao; hivi hata walifikiria watafanyaje juu ya watoto kama wanao au watawasimuliaje kama hawajapata watoto?
 
Hakuna mamlaka yoyote inayompa kiongozi wa serikali ya mtaa kutengua hizo ndoa na kuidhinisha hizo ndoa mpya!

Kilicho fanyika hapo ni u-layman wa kihuni kabisa na haikubaliki! Katika issue ya ndoa kisheria ina implications nyingi! Hivyo watu msitoe comments as if ile ni makubaliano ya ki biashara!

Kwenye hu uzi hakuna sehemu inayoonesha before hawa jamaa walikua na ndoa zenye vyeti!
 
Kwenye hu uzi hakuna sehemu inayoonesha before hawa jamaa walikua na ndoa zenye vyeti!

tatizo watu mnapenda kubisha muonekane! Wakati mwingine kubali taaruma ya mwingine ikusaidie!
Ni hivi sheria ya ndoa 1971 ambayo inatumika sasa inatambua ndoa za aina zifuatazo: yaani ndoa ya kimila, ndoa ya kiislamu, ndoa ya ki serikali na ndoa ya kikristo not to mention, presumption of marriage.
Sio kila ndoa lazima iwe na cheti. Ndoa za kimila hazina vyeti lakini ni ndoa rasmi 100%.
watu wenye mamlaka ya kufungisha yamo katika sheria hiyo hapo juu, ni kwamba watu wenye mandate ya kufungisha ndoa ni mkuu wa wilaya, mchungaji/padre/askofu au atakaye idhinishwa na kanisa, na sheikh kwa upande wa kiislamu.

Hata hivyo pamoja na hao watu kupewa mamlaka hayo, hawajapewa mamlaka ya kutengua ndoa hizo. Chombo pekee kinachoweza kutengua ndoa kuidhinisha uwepo au kutokuwepo au uhalali wa ndoa hizo ni mahakama tu.

Sasa kwenye huu uzi imetamkwa neno "wake" hivyo hiyo ni ndoa na lazima iwe miongoni mwa hizo nilizotaja hapo juu.
Na hata kama mtu hujui sheria, hivi unashindwa hata kushangaa iweje watu wakabidhiane wake/wapenzi/whatever you may call, kwa mtendaji? Tena kwa maandishi? Hivi hiyo document itakuwa na format gani na itaitwaje?
 
Back
Top Bottom