Wafumaniana na kubadilishana wake zao

Akili timamu na bila shuruti, interesting!!! Lakini hii haibatilishi vyetu vyao vya ndoa vya awali, wanahitaji bado kwenda mahakamani kubatilisha ndoa, na ikiwezekana waoe upya na kupata vyeti vingine. Hivi, ukiagiza chakula hotelini na kukionja kiasi/kumeja, unaruhusiwa kurudisha na kupewa kingine??

Hayo ya kutafuta vyeti vipya vya ndoa yatakuja baadaye...meanwhile wanashugulika na jambo moja tu...KUGEGEDANA!
 
Dah sijui na mimi nifumaniwe na mke wa nani hapa na mimi niepue chombo, kuna mtu hua namtamani sana sana hapa jukwaani, basi tu

Ninaamini huyo unaemtamani hapa sio mke wangu mpwa.. Vinginevyo hapatatosha hapa.. Nitaku=escrow utashangaa mpwa..
 
Ninaamini huyo unaemtamani hapa sio mke wangu mpwa.. Vinginevyo hapatatosha hapa.. Nitaku=escrow utashangaa mpwa..
hahahaahahahaaa hapa kuna illuh sijui nanini mwingine vile hahahahhahaaa ngoja nikae kimya
 
Last edited by a moderator:
Mhhh mpwa huyo illuh hamilikiwi..? Ninatafuta nyumba ndogo maana nyumba kubwa iko so busy na kulea mapacha lol..
 
Last edited by a moderator:
Dah sijui na mimi nifumaniwe na mke wa nani hapa na mimi niepue chombo, kuna mtu hua namtamani sana sana hapa jukwaani, basi tu
hivi ni Mji gani huo?
je unajua karibu 80% wana UKIMWI Mkoa huo
yaani KWAKO WATAKUKUBALIA HASA ili mkiugua msaidiane kivyepesi
 
Back
Top Bottom