Wafukuzwa kazi baada ya kufumwa wakifanya mapenzi ofisini

Masikini watu wa watu, hivi huyu aliyewachongea anajisikiaje? Haoni kama amesababisha shida, adha , umasikini, ugomvi, husda, uhasama, matengano,upweke,majuto na mengne yafananayo na hayo
 
Kwani amekosea nini..hastajili lawama yyte ktk hilo
 
Aibu zikuandame wewe wenda ulishiriki hiyo kitu coz najiuliza ilikuwaje unampeleka mtu ofisin bila kwanza kwenda kuongea na boss? Sasa umefaidi nn? Na unavyojishebedua hapo na kuleta ujinga hapo as if ni habari nzuri ukute na wewe ni mchepuko wa mme wa huyo mdada basi zoezi lako limekamilika hili ujisevie wewe ni mnafiki haiwezekan wewe umpeleke mtu/mgeni kwa boss bila wewe kwanza kwenda kwa boss kumwambia. Afu usivyo na akili unasema eti huyo ni shoga yako? Haya na mshahara wake wakupe wewe!
 
Nachojua ni kimoja tu mapenzi(mahusiano)huwa hayafichiki kwa namna yoyote tu na usivyotarajia itajulikana sasa ni we kujiuliza kama unaweza kubeba ghrama za tukio Litakapojulikana kama huwezi acha kabisa!!!!!
 
Aibu zikuandame wewe wenda ulishiriki hiyo kitu coz najiuliza ilikuwaje unampeleka mtu ofisin bila kwanza kwenda kuongea na boss? Sasa umefaidi nn? Na unavyojishebedua hapo na kuleta ujinga hapo as if ni habari nzuri ukute na wewe ni mchepuko wa mme wa huyo mdada basi zoezi lako limekamilika hili ujisevie wewe ni mnafiki haiwezekan wewe umpeleke mtu/mgeni kwa boss bila wewe kwanza kwenda kwa boss kumwambia. Afu usivyo na akili unasema eti huyo ni shoga yako? Haya na mshahara wake wakupe wewe!
Kosa lake ni nini kwani?
 
Moniccca utabeba lawama mpaka ukome
 
Back
Top Bottom