moniccca
JF-Expert Member
- Nov 15, 2015
- 2,383
- 3,285
Habari wanajf!
Bilashaka mko poa na mnaendelea vyema na ujenzi wataifa.
Nimerejea tena jukwaani kuleta yaliyojiri baada ya fumanizi.
Bila Shaka mnakumbuka siku chache zilizopita nilitumbukiza uzi humu unao taarifu juu ya fumanizi wenye kichwa kisemacho AFUMANIWA AKIFANYA MAPENZI OFISINI.
Kwa walifutilia bilashaka tunakwenda sawa.
Baada ya fumanizi lile la boss wetu na staff mwenzetu ofisini hapajawa shwari, hii ni kutokana na matokea ya tukio lenyewe..mwanamke alijaribu kujiua ili kuepuka aibu lkn Mungu hakulipitisha hilo so aliwahishwa hospital na kupatiwa matibabu na baadae akapona na kuruhusiwa lkn akajikuta anaangukia mikononi mwa polisi kwa kosa la kujaribu kujitoa uhai..
Wakati hilo likiendelea huku ofisini vikao viliendelea kutafuta muafaka wa kujitoa ktk aibu kwa kuwashughulikia wahusika.
Kwakuwa boss wetu alikuwa amebakiza mwezi mmoja kumaliza mkataba wake shirika limeamua kusikitisha mkataba wake na halitamuhitaji tena, pia mwanamke amesimishwa kazi kwa muda usio julikana kwakuwa yeye ana miezi mitatu tu kazini.
Wakati hayo yakiendelee nyumbani napo si shwari mume wa mwanamke aliyefumaniwa amemtaka mwanamke achukue kila anachoona kitamfaa aondoke akaendelee na uzinzinifu wake.
Kwa upande wa boss aliyefumainiwa mkewe aliondoka siku Ile Ile na boss hajui amehamia wapi ingawa alipokwenda kumtafuta kazin kwake aliambiwa amechukua likizo.
Wadau mpaka sasa ndiyo hayo yaliyojiri.
Tukio ambalo linaonekana ni la kawaida kwa wanadamu wengi limesababisha hayo..
Angalizo langu kwa wanandoa uepukeni uzinzi na kama mnaona hamuwezi kuwa na mpenzi mmoja acheni kuingia kwenye ndoa.