Wafugaji wa mbwa kibiashara au ulinzi tukutane hapa

mkuu naomba uzoefu wako ktk wanyama hawa
G.S Kupata pure kazi saaana na ni ghali mi nilipata Zambia, RW ndo nnae mpaka sahivi, GS Aliibiwa hawa watu unaotumia kuwapa train mbwa wengi sio waaminifu haswa wakikuta una pure breed, Fanya kila njia ujue jinsi ya kuwapa train we mwenyew, haya ma pitbull sijakutana nayo pure, nilipata crossbreed, yana nguvu sana ila sasa kama linanguvu halafu zito kuelewa la kazi gani sasa
 
hao mbwa walipigwa marufu nchi nyingi ninavyosikiaga, ni hatari sana.
Kuhusu kufuga koko ni hasara sana kwani huwezi hata kuuza akizaa.
Mimi nilianza kwa kufuga koko nikahamia German na belgian shephard sijawahi kujuta
Hawa Koko kwa ajili ya kama alarm tu si unajua koko akiona mtu lazima abweke so ni njia nzuri ya kustukia wezi.....Ngoja nizichange nije kufuga hao GS niachane na KOKOBANGA NYE NYE NYE.
 
husky simfahamu but kuna jamaa flani yuko Pugu ana Gs wa serbia
Dm kuna rasta flani Arusha
Serbian Husky
images.jpeg
 
G.S Kupata pure kazi saaana na ni ghali mi nilipata Zambia, RW ndo nnae mpaka sahivi, GS Aliibiwa hawa watu unaotumia kuwapa train mbwa wengi sio waaminifu haswa wakikuta una pure breed, Fanya kila njia ujue jinsi ya kuwapa train we mwenyew, haya ma pitbull sijakutana nayo pure, nilipata crossbreed, yana nguvu sana ila sasa kama linanguvu halafu zito kuelewa la kazi gani sasa
wewe umefuga kweli mkuu, gs pure kwa sasa bongo wapo wachache sana Dar, Arusha na Mwanza japo ni wachache kweli kweli.
Trainer, madaktari na madalali wa mbwa ni majambazi kaa nayo mbali
 
wewe umefuga kweli mkuu, gs pure kwa sasa bongo wapo wachache sana Dar, Arusha na Mwanza japo ni wachache kweli kweli.
Trainer, madaktari na madalali wa mbwa ni majambazi kaa nayo mbali

Mi nilisumbuka mwanzo wakati ndo naanza, hapo nilikua secondary ila sa hivi hayanisumbui kabisa.Najua hivi vi puppy ni G.S au ni Local tu aliyeshiba
 
Ngoj nisubiri wadau waweke ma picha
Mie nafugaga hii mijibwa ya uswazi (koko)
Yenyewe hayana gharama ya misosi maana yanakula chochote yanachokiona hata mavi ya walevi.!
Halafu wakiwa wengi huwa tunaua kisha tunawachuna na kuwapelekea wauza supu wa bar wao huchanganya na nyama ya mbuzi ili kuleta kale kaharufu ka kimbuzimbuzi kisha hupikwa supu na kuuziwa wateja.
 
Back
Top Bottom