Wafugaji wa mbwa kibiashara au ulinzi tukutane hapa

Nilijaribugi kuagiza pap wa turkish kangel kwa jamaa angu mmoja ivi Mmisri aisee aliniambia mpaka anafika bongo ni dolla 5000 nikaona upuuzi nikaachana nae japo nawapenda sana...
Uliweza kupata Kangal Dogs??
 
Kwema sana mkuu
Huu uzi ulikuwa na unyamaa mwingi sanaa. I lost my dogs, Mwenye Puppy anipe basi wazee, napenda mbwa wenye kutisha, nilikuwa nna GS long coat na Boerbel. I Just love Big dogs.
 
Mpendwa mwana JF, unaweza kushangaa kusikia kuwa mbwa ni biashara nzuri kupita hata kufuga ng'ombe kibiashara na ukashangaa.

Uzi huu utakuwa ni maalum katika kupeana uzoefu katika biashara hii ya kufuga mbwa kwa lengo la kujipatia kipato na ulinzi pia.

Tutajifunza aina bora na inayohimili mazingira yetu hasa Tanzania na Afrika mashariki kwa ujumla.

Hivyo mdau ikiwa wewe ni mfugaji wa wanyama hawa kibiashara, nakukaribisha sana utupatie uzoefu juu ya aina mbali mbali mfano;

a) German shephard
b) Belgian shephard
c) Bull dog
d) Rottweiler
e) Ridge back nk

mambo muhimu ya kupeana uzoefu;
1) banda/ nyumba bora ya kufugia
2) chanjo
3) Masoko nk

View attachment 916841View attachment 916842View attachment 916844

Ni nakukaribisha utupe uzoefu wako na kwa wale wanaotamani kujifunza mnakaribishwa kwa maswali na wadau watakujibu

​

Maelezo ya German Shepherd hapa

Maelezo ya Belgian Shepherd hapa

Nimesoma uzi wote, Kongole Bro. Una shule pana sanaa ya Mbwa, breed gani Bora kwako ya wkt wote??
 
Asante bro japo najifunza.
1. Napenda sana Gs/German shephard
2. Mbwa mzuri na bora kwa ulinzi ni BM/ belgium shephard (malinois)
 
Glenn hivi hawa GS huwa wako hivi hivi kuruka ruka au kumrukia rukia mtu? Mi sipendi ataacha au ndo tabia yao...ndo ana miezi 6 kwa sasa....juzi alitaka kumuuma mdada wa kazi🙄alikamata kisigino yanii...sijui hata itakuwaje natamani nimrudishe kwao nilipomnunua maana anatutisha. Kwanza amekua mkubwa sana mpk muuzaji alinitembelea siku moja akasema unamlisha nini huyu? ...😇😇😇😇
 
Mambo vipi, niuzie huyo mbwa kama bado yupo na haumhitaji
 
Naomba kujua jinsi ya kumfanya mbwa wetu hutu GS aache mapepe yani anarukia rukia watu hovyo lakini wanafamilia tuu hatulii yani muda wote yuko hype...anakimbia yani huwezi mfungulia akakaa chini au akatembea kwa taratibu. .mm kanichosha...yani muda wote ni kucheza...
Kuna watu wanasema tumuite trainer aje amfundishe nasikia hao matrainer wanamchapa mbwa vibaya baada ya hapo ata obey order
 
mwache afurahie maisha
 
Mvutishe ganja
 
Mbwa yupo kwenye active age 0-2 years na hafanyi mazoezi yakutosha lazima awapumzikie tu
 
Yaaanii daah kama wana vichaa juzi tulisahau kiatu kipya cha mtoto tumekuta?kimoja kimeraruriwa kimebaki kimoja...
Ila bwana akitoa sauti anabweka hakuna mtu atathubutu kuingia ndani hata kama ni kitisho tuu
Mbaya ni kuwa ukiwapa hicho.kilichobaki hawatakifanya kitu
 
Back
Top Bottom