๐Ÿ” Wafugaji wa Kuku Karibuni! Jibu Maswali 3 Tu Upate Nafasi ya Kushinda Vocha ya Bure! ๐Ÿ“ฑ๐Ÿ’ฐ

Brayan_Jk

Senior Member
Joined
Mar 28, 2025
Posts
187
Reaction score
197
Habari ndugu mfugaji! ๐Ÿ‘‹
Tunatengeneza App ya kusaidia wafugaji kama wewe kufuatilia chakula cha kuku, chanjo, matumizi na kupata faida zaidi ๐Ÿ’ช๐Ÿ“

Tunaomba tusaidie kutengeneza App bora kwa ajili yako kwa kujibu maswali kadhaa kwenye fomu hii ๐Ÿ‘‡
๐Ÿ“‹ Bonyeza hii Link kujaza fomu :
Tumia dakika 2 tu kushiriki ,maoni yako ni muhimu sana kwetu
 
Habari ndugu mfugaji! ๐Ÿ‘‹
Tunatengeneza App ya kusaidia wafugaji kama wewe kufuatilia chakula cha kuku, chanjo, matumizi na kupata faida zaidi ๐Ÿ’ช๐Ÿ“

Tunataka usaidie kutengeneza App bora kwako kwa kujibu kadhaa kwenye fomu hii ๐Ÿ‘‡
๐Ÿ“‹ Bonyeza hii Link kujaza fomu : ๐ŸŽ Washiriki wachache watakaotoa majibu bora watapewa vocha ya bure ya TZS 500 au punguzo kwenye chakula cha Primax Feeds!

Jameni kuwen serious..
Kweli vocha ya mia tano
 
Kwenye Google form yenu ya kujaza details kwangu ina Goma Sehem ya kujaza Jina ina nikataza nisiandike namba Bila kuandika inanigomea
 
Pia kwenye ufugazi wa Kuku wa Mayai sijaona Kumzunguzia Budget ya Cage
 
Habari ndugu mfugaji! ๐Ÿ‘‹
Tunatengeneza App ya kusaidia wafugaji kama wewe kufuatilia chakula cha kuku, chanjo, matumizi na kupata faida zaidi ๐Ÿ’ช๐Ÿ“

Tunataka usaidie kutengeneza App bora kwako kwa kujibu kadhaa kwenye fomu hii ๐Ÿ‘‡
๐Ÿ“‹ Bonyeza hii Link kujaza fomu : ๐ŸŽ Washiriki wachache watakaotoa majibu bora watapewa vocha ya bure ya TZS 500 au punguzo kwenye chakula cha Primax Feeds!

Tumia dakika 2 tu kushiriki ,maoni yako ni muhimu sana kwetu
Kwenye hiyo fomu, kipengele cha jina na namba ya simu isiwe lazima kuyajibu. Nilitaka nianze kuijaza lakini siko tayari kuyajibu hayo maswali mawili.
 
Nimebadili tayari boss
 
Back
Top Bottom