Nicas Mtei
JF-Expert Member
- Dec 21, 2010
- 11,556
- 7,085
- Thread starter
-
- #41
Hapo sasa unataka tutoe siri ya kikao nasi tumekushtukia hatujibu kudadadake........... labda tukuPM
hahahaha. Ila wale jamaa wanaoitwa majambaz wanaweza kukuwahi.
Nyie wa huku si mnabanabana.
hata mie mmeniacha feri wakuu! Kikao gan? Kilifanyika wapi?dhumuni la kikao nin? Kiliisha saa ngapi?naomba nijuzwe Preta et al il twende sawa
kinarushwa na mtu asiyejulikana pia
hahaha. Hao waliorodhesha majina yao kwenye kitabu cha Mahudhurio? Mungi hakuamua kukusindikiza?
Hahaaaaa Nicas Mtei! Mkuu nilipewa jukumu la kumsindikiza Kabakabana (a.k.a. Dorcas Mosses wa Jf), nimefika mahali nilipopaki gari nikakumbuka uchochoro wa kamanda Barlow, lakini kwa kuwa mi mwenyewe polisi jamii nilimfikisha salama, nikatoka salama, nikafika home salama.
marejesho nakumbuka ni kama niliondoka na binti anayeitwa marejesho hope Blaki Womani ataniteteaErickb52 sema mwenyewe ulimsindikiza nani na nani