Wafuatao wamehujumu Tanganyika? Warudishe mabilioni waliyolipwa! Dini inasemaje kula mali ya maskini na yatima

Jaji Mfawidhi

JF-Expert Member
Feb 20, 2016
14,047
20,411



mdee 1.jpeg
mdee.jpeg



Maamuzi ya Mahakama , kwa kifupi yanakubali hawa walifukuzwa na CHADEMA , kwamba sasa si wabunge ila wasikilizwe rufaa ya kupingwa kufukuzwa.

Maskini wa Tanganyika aliyebebeshwa mzigo wa Tozo za Simu zinazopanda, aliyebebeshwa Mzigo wa nauli kupanda wakati mafuta yanaendelea kushuka kwa niaba ya kufidia matajiri wa mabasi, anayebebeshwa 150,000 kujifungua na akikosa anafia chumba cha hospitali, watoto kukaa chini, Je, Mungu atawaacha hawa watu au laana itaenda kama vitabu vya ki-imani vinavyosema kuwa usimuonee mnyonge na asiye na nguvu?
  1. HALIMA JAMES MDEE​
  2. GRACE VICTOR TENDEGA..​
  3. ESTHER NICHOLAS MATIKO.​
  4. ESTER AMOS BULAYA​
  5. AGNESTA LAMBERT KAIZA​
  6. ANATROPIA THEONEST.​
  7. ASYA MWADINI MOHAMED.​
  8. CECILIA DANIEL PARESSO.​
  9. CONCHESTA LEONCE RWAMLAZA​
  10. FELISTER DEOGRATIUS NJAU.​
  11. HAWA. S. MWAIFUNGA​
  12. JESCA DAVID KISHOA.​
  13. KUNTI YUSUPH MAJALA​
  14. NAGHENJWA LIVINGSTONE KABOYOKA.​
  15. NUSRAT SHAABAN HANJE..​
  16. SALOME MAKAMBA.​
  17. SOPHIA HEBRON MWAKAGENDA.​
  18. STELLA SIMON FIYAO.​
  19. TUNZAISSA MALAPO​
 
Watawala wanatuona wajinga haswa wanafanya wanavyoweza
Siyo kwamba wanatuona majuha. Sisi ni majuha kweli.

Hukuona kipindi kile mtu ni mbunge kupitia chama cha upinzani anajivua ubunge halafu anagombea u unve kupitia ccm. Na majuha yakamchagua mtu kama huyu.

Au juzi juzi huko Mbeya mbunge wa viti maalumu kajivua ubunge akaenda kugombea ubunge. Na majuha yanamsikiloza mtu kama huyu!!!?

Akina Halima Mdee walipaswa kuwa marehemu muda huu kama kweli tusingekuwa majuha.
 
Nje ya mada.

Issue ya kuwepo wake/vimada wa viongozi inahusiana nini na pesa za umma wanazopoteza?

Mambo ya uteuzi na uchawa ndio yameletwa na CCM tunaona vyeo vya DC,RC na kadhalika watu wanapeana kwa hadi vimada wao ndio maana mafyongo ni mengi na hakuna uwajibikaji.
Hapo kuna Wake wa Viongozi wa Chadema na CCM
 
Back
Top Bottom