Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,329
- 33,139
- Thread starter
- #181
Mkuu St. Paka Mweusi Tuwaache WaZanzibar Wapumue kidogo wawe na Jamhuri yao wafaidi Matunda ya Uhuru wao hata kama patanuka ni kivyao sisi kazi yetu kuwaangalia Macho unasemaje?Mwalimu Nyerere aliwahi kusema mwanzoni kabisa ,kama angekuwa na uwezo basi hako kakisiwa angekasukuma mbali kabisa baharini kwani katakuja kutuletea matatizo makubwa sana siku za usoni.Na ndio haya tunayoyaona sasa na kwa kuongezea tu ninavyoona hawa jamaa hata wakishaipata Jamhuri yao wanayoililia si zaidi ya miaka mitana tutawaona na majahazi yao Bara wakija kuomba hifadhi ya ukimbizi.
Mkuu St. Paka Mweusi Tuwaache WaZanzibar Wapumue kidogo wawe na Jamhuri yao wafaidi Matunda ya Uhuru wao hata kama patanuka ni kivyao sisi kazi yetu kuwaangalia Macho unasemaje?
Boko haram in Tanzania.
Serikali ipo wapi hali kama hii mtu ana silaha zote hizi?
GARI YENYE NAMBARI ZA USAJILI Z 997 BK ILIOHARIBIWA VIBAYA KWA KUPIGWA NBOMU MAENEO YA DARAJANI SHARJA,WANANCHI WAKIFANNYA HARAKATI ZA KUIHAMI NGARI HIO. with Yussuf Omar, Zainab Ali,
Hizi picha za mwaka gani aisee?