Wafuasi wa Uamsho waiamsha Zanzibar.........endelea kuona picha hizo

581590_3931614292714_1937358817_n.jpg


228070_3930182536921_1105245972_n.jpg


550364_3927344585974_1051925896_n.jpg
 
76580_3924264068963_151204806_n.jpg


251069_3924216027762_673072782_n.jpg


Mr Obama condemned the violence that erupted over a "disgusting" anti-Islam video as "an attack on UN ideals".

Rais Obama alaani maandamano na fujo zinazoendelea kuhusu picha inayomkashifu Mtume Muhammad na uislam, anasema fujo hizo ni sawa na kwenda kinyume na "mawazo ama maadili ya UM [UN]"


218004_3910187037046_881681303_n.jpg
 
183391_3889185792028_343052938_n.jpg


644171_3887596392294_2043756855_n.jpg


301407_3887587712077_9650815_n.jpg


Makamo wa 1 wa Rais wa Zanzibar Mhe S S Hamad akimsikiliza Mwenyekiti wa ZAWA UK Hassan Khamis katika Mkutano uliofanyika London University, kuliani kwake ni Makamo wa Mwenyekiti wa ZAWA UK Bi Shuweikha A Khamis.
14 Sept 2012
 
404094_3887561511422_258858353_n.jpg


Makamo wa kwanza wa Rais Mhe Hamad akiwa kwenye picha ya pamoja na Naibu Balozi wa Tanzania, Maafisa wa Ubalozi pamoja Baadhi ya Uongozi wa Zawa UK alipokfika kwenye Ukumbi wa London University tarehe 14 Sept 2012




218110_3884477274318_1959346492_n.jpg


578624_3884375631777_240451509_n.jpg
 
485812_3882601507425_433969084_n.jpg


253494_3882556826308_1384073939_n.jpg

523589_3882437663329_1249655451_n.jpg

Mheshimiwa Seif S Hamad Makamo wa kwanza wa Rais wa Zanzibar akiwa kwenye picha ya pamoja na Balozi wa Tanzania nchini Uengereza Mhe Peter Kallaghe na Mwenyekiti wa Zanzibar Welfare Association UK kwenye Afisi za Ubalozi wa Tanzania nchini Uengereza leo tarehe 13 Sept 2012
 
318320_3882388582102_1660539195_n.jpg

Makamo wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Shariff akiwa na Mwenyekiti wa ZAWA UK Hassan Mussa Khamis leo tarehe 13 Sept 2012 Kwenye Ubalozi wa Tanzania nchini Uengereza.

539408_3882372421698_744172859_n.jpg

Makamo wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe Hamad akiwa na Baadhi ya Viongozi wa Jumuiya ZAWA UK. leo 13 Sept 2012
 
377786_3882350021138_1622185215_n.jpg

Ujmbe wa British Tanzania Society wakiwa kwenye picha ya pamoja leo tarehe 13 Sept 2012 na Makamo wa Kwanza wa Rais Zanzibar Mhe Seif na Balozi wa Tanzania nchini Uengereza Mhe P. Kallaghe

427910_3882326620553_1727015955_n.jpg


Makamo wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe Seif Shariff akiwa na waziri anaeshughilikia mambo ya Africa nchini uengereza Mhe Simmonds kwenye afisi za Mambo ya Nje [FCO]

217865_3882299139866_1849546143_n.jpg

Makamo wa kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe Seif Shariff akiwa na mwenyeji wake balozi wa Tanzania nchini Uengereza Mhe Peter Kalaghe pamoja mabalozi wa Uganda na Burundi kwenye afisi za Ubalozi wa Tanzania, Bond Street
 
527093_3873736125796_431012454_n.jpg


MCHANGO WA WAZANZIBARI WAISHIO UK
KWA NCHI YAO
393172_3872966066545_710925464_n.jpg

MAKAMO WA KWANZA WA RAIS WA ZANZIBAR KUKUTANA NA WANANCHI WAISHIO UK

Jumuiya ya ZAWAUK kwa kushirikiana na Ubalozi wa Tanzania UK, Tunapenda kuwaalika watu wote waishio UK kwenye mkutano wa hadhara siku ya Ijumaa tarehe 14 Sept 2012 kunzia saa kumi na mbili Alasiri. Mgeni rasmi kwenye mkutano huo ni Makamo wa Rais wa Zanzibar , Maalim Seif Shariff Hamad.

301147_3870221837941_335067709_n.jpg



 
Back
Top Bottom