Mavipunda
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 7,243
- 8,097
Punguza ngeli na misemo taja mawili tuUkikubali kuwa wewe sio timamu wa fikra naweza kufikiria kukutajia kama sivyo najua unayajua kama niyajuavyo mimi sihitaji kutajiwa
Punguza ngeli na misemo taja mawili tuUkikubali kuwa wewe sio timamu wa fikra naweza kufikiria kukutajia kama sivyo najua unayajua kama niyajuavyo mimi sihitaji kutajiwa
Kumbe ni mwenzake?? Kila jambo na wakati wake nafikiri tuibue changamoto zinazolikakabiri taifa letu ili tusonge mbele.nina PhD ya mafuta ya korosho kama ya Magufuli..ya pale Mlimani
Sawa mtumishi naona sasa hautekwi na maslahi yako yanalindwaN kwel hata kutekana na kukandamiza Watumishi hakuhitaj promo kabisa yan
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Tumezoea kuona wafuasi wa kiongozi wa malaika wakipolomosha matusi kwa yeyote yule ambaye hakukubaliana nao katika legacy ya JPM ya utawala wa kibabe na siasa za majitaka lakini sasa naona wafuasi hao wanazidi kupotea taratibu
Yapo chief. Kupotea ben saa8 , kupigwa risasi TL, ukabila, nepotism, maiti kuokotwa kwenye fukwe za bahari, bwawa la umeme huko seruu na tren ya mwendokasi. Hicho ndicho wanachotaka kusikiataja mawili tu yasiyosahaulika..afu tukupe somo
SASA unawataka wa nn wamekuachia jukwaa wewe ueneze siasa safi za bi kirobotoTumezoea kuona wafuasi wa kiongozi wa malaika wakipolomosha matusi kwa yeyote yule ambaye hakukubaliana nao katika legacy ya JPM ya utawala wa kibabe na siasa za majitaka lakini sasa naona wafuasi hao wanazidi kupotea taratibu
Silaha tuzishike za nini wakati mama yenu anajipiga mikuki ya makalio yeye mwenyewe au umesahau jinsi NATO ilivyo jipiga risasi ya kifua yenyewe kwa kuiwekea urusi vikwazo .....sa100 hana akili anajipiga vita yeye mwenyewe ...na kuthibitisha ule usemi wa ...mwanamke mpumbavu uvunja nyumba yake kwa mikono yake mwenyewe.....Wameamua kuweka silaha chini hakuna namna
Vita vya nini na mwanamke mpumbavu [emoji849][emoji849][emoji849]wakati vitabu vya dini vimesha sema huyo mwanamke wa hivyo uvunja nyumba yake kwa mikono yake mwenyewe.Wengi wao walikuwa Wakabila na wenye Low IQ lazima watokomee.
Sawa sawa kabisa pia tumegundua kuwa chifu ni mpumbavu hivyo hatuna aja ya kumpiga vita kwa sababu ya ili andiko la 'mwanamke mpumbavu uvunja nyumba yake kwa mikono yake yeye mwenyewe.Tumegundua hakuna sababu ya kujibizana kwani alichokifanya JPM kwa Tanzania hakihitaji promo
Mwanaume mwenye Low IQ nae kama wewe vitabu vya Dini vimekuongeleaje.Vita vya nini na mwanamke mpumbavu [emoji849][emoji849][emoji849]wakati vitabu vya dini vimesha sema huyo mwanamke wa hivyo uvunja nyumba yake kwa mikono yake mwenyewe.
Mama ametupiga na kitu kizito kichwani. Amewaongezea watumishi mishahara asilimia 23.3 na tangu wameanza kupokea mishahara mipya yenye nyongeza ni shangwe tupu nchi nzima. Sisi washabiki wa Mwamba Jiwe tutazungumzia wapi hapo? Lazima tupige kimya tusubirie fursa nyingine. Ahahahahaha.Tumezoea kuona wafuasi wa kiongozi wa malaika wakipolomosha matusi kwa yeyote yule ambaye hakukubaliana nao katika legacy ya JPM ya utawala wa kibabe na siasa za majitaka lakini sasa naona wafuasi hao wanazidi kupotea taratibu
Hapa kuna kila dalili za cheti feki
Kuna mmja huko kaanzisha Uzi wa ramli 😁😁😁😁Tumezoea kuona wafuasi wa kiongozi wa malaika wakipolomosha matusi kwa yeyote yule ambaye hakukubaliana nao katika legacy ya JPM ya utawala wa kibabe na siasa za majitaka lakini sasa naona wafuasi hao wanazidi kupotea taratibu
Sasa nini kilimfanya lisu atoke nduki hadi ubelgiji?Mtaa upi labda, alikuwa anadhihakiwa na Lisu hata wakati wa kampeni na hakuna kitu alifanya. Mtaani sasa hivi watu wanafungika na hakuna lolote linatokea. Ile hofu aliyopandikiza imeisha.