Wafuasi wa Magufuli mbona kimya tena

Wafuasi wa Magufuli mbona kimya tena

Tumezoea kuona wafuasi wa kiongozi wa malaika wakipolomosha matusi kwa yeyote yule ambaye hakukubaliana nao katika legacy ya JPM ya utawala wa kibabe na siasa za majitaka lakini sasa naona wafuasi hao wanazidi kupotea taratibu
wanajipanga na Umoja Party au MPP
Screenshot_20210704-161108_Twitter.jpg
 
Mwanaume mwenye Low IQ nae kama wewe Vitabu vya Dini vimemuongelea sana.
Wanaume wenye high IQ wanalambishwa asali huko na chifu [emoji117][emoji90][emoji90][emoji90]na machoko wanapewa uwaziri ...na yule msagaji wa BBC jupo mjengoni kumfanyia mama massage. Shaka zulu yupo na bendera hii[emoji304][emoji304] na mwenzake makamba ya mbuzi
 
Tumezoea kuona wafuasi wa kiongozi wa malaika wakipolomosha matusi kwa yeyote yule ambaye hakukubaliana nao katika legacy ya JPM ya utawala wa kibabe na siasa za majitaka lakini sasa naona wafuasi hao wanazidi kupotea taratibu

Wanalamba asali kama hawana akili timamu vile
 
Sasa nini kilimfanya lisu atoke nduki hadi ubelgiji?

Kwani dhalimu ndio alimfuata physical? Dhalimu angejitokeza mwenyewe apambane na Lisu hapo ndio angejua hajui. Kutuma watu wa kumuua ni rahisi sana.
 
Tumezoea kuona wafuasi wa kiongozi wa malaika wakipolomosha matusi kwa yeyote yule ambaye hakukubaliana nao katika legacy ya JPM ya utawala wa kibabe na siasa za majitaka lakini sasa naona wafuasi hao wanazidi kupotea taratibu
Sema kwanza mbowe yuko wapi.
 
Tumezoea kuona wafuasi wa kiongozi wa malaika wakipolomosha matusi kwa yeyote yule ambaye hakukubaliana nao katika legacy ya JPM ya utawala wa kibabe na siasa za majitaka lakini sasa naona wafuasi hao wanazidi kupotea taratibu
Bado wako kwenye sintofahamu kama ni kweli jiwe halipo
 
Mama ametupiga na kitu kizito kichwani. Amewaongezea watumishi mishahara asilimia 23.3 na tangu wameanza kupokea mishahara mipya yenye nyongeza ni shangwe tupu nchi nzima. Sisi washabiki wa Mwamba Jiwe tutazungumzia wapi hapo? Lazima tupige kimya tusubirie fursa nyingine. Ahahahahaha.
Yaani kati ya eneo ambalo serikali imetuhadaa ni nyongeza ya mishahara,,hakuna kitu chochote cha maana kilichoongezwa,,wengi tumekatishwa tamaaa sema hatuna uwezo wa kufanya chochote,,
Tuna maumivu makali hasa tulio sekta ya elimu ambako hakuna posho,,waliopo kwenye nafasi ni wabinafsi sana na wanaangalia matumbo yao kufuta ada a level huku walimu hawana posho na mishahara chini hakuwezi kuinua elimu

Binafsi napunguza kufanya kazi muda wa ziada baadala ya kuanza vipindi saa moja na kumaliza saa kumi na mbili nitafanya muda wa serikali tu watu tunajitoa halafu serikali haijali ,,,na kuna vitu nikivipata nitaacha na kazi yenyewe.
 
JPM atawatesa sana vibaraka na mabwabwa, keshapumzika lakini hawaishi midomoni mwenu, ingia mtaani afu then mdhihaki JPM uone kitakachokupata.
Je wajua kuwa hata saa mbovu kuna muda inasema ukweli? Yule ni muovu
 
Tumezoea kuona wafuasi wa kiongozi wa malaika wakipolomosha matusi kwa yeyote yule ambaye hakukubaliana nao katika legacy ya JPM ya utawala wa kibabe na siasa za majitaka lakini sasa naona wafuasi hao wanazidi kupotea taratibu
Vyeti feki mnafurahia kulipwa mafao
 
Back
Top Bottom