Wafuasi wa Magufuli mbona kimya tena

Wafuasi wa Magufuli mbona kimya tena

JPM atawatesa sana vibaraka na mabwabwa, keshapumzika lakini hawaishi midomoni mwenu, ingia mtaani afu then mdhihaki JPM uone kitakachokupata.
 
Mtaa upi labda, alikuwa anadhihakiwa na Lisu hata wakati wa kampeni na hakuna kitu alifanya. Mtaani sasa hivi watu wanafungika na hakuna lolote linatokea. Ile hofu aliyopandikiza imeisha.
 
Tumezoea kuona wafuasi wa kiongozi wa malaika wakipolomosha matusi kwa yeyote yule ambaye hakukubaliana nao katika legacy ya JPM ya utawala wa kibabe na siasa za majitaka lakini sasa naona wafuasi hao wanazidi kupotea taratibu
Jiwe walilolikataa waashi ndio jiwe kuu la pembeni.
 
Mtaa upi labda, alikuwa anadhihakiwa na Lisu hata wakati wa kampeni na hakuna kitu alifanya. Mtaani sasa hivi watu wanafungika na hakuna lolote linatokea. Ile hofu aliyopandikiza imeisha.
Hapa kuna kila dalili za cheti feki
 
kama kuna kazi ya kusogeza kuni ili yule mzee aungue vizuri mimi ningeomba
Hivyo tu, kuna wanajeshi waliwapeleka kuwachoma moto akina Meshaki, Abeli na Abednego wakaungua wao, Samahani lakini najua naweza kuwa nimekupoteza.
 
Kwa hiyo hatimae mmekubaliana na ile hoja ya Nape kuwa legacy hailindwi bali inatakiwa kujilinda yenyewe? 😂😂
Hatukubaliani na mtu tunakubaliana na facts nyingi za msingi kuwa JPM Amefanya mengi makubwa na yasiyosahaulika kwa wote wenye utimamu wa fikra wanaomfahamu
 
Kwa sasa mnakubali hoja ya kuwa kegacy haitetewi? Maana mwanzo ilisemwa kuwa legacy iacheni ijitetee mkawa wakali
 
Tumezoea kuona wafuasi wa kiongozi wa malaika wakipolomosha matusi kwa yeyote yule ambaye hakukubaliana nao katika legacy ya JPM ya utawala wa kibabe na siasa za majitaka lakini sasa naona wafuasi hao wanazidi kupotea taratibu
Hakaishi!
 
Back
Top Bottom