Wafuasi wa Lowassa na CHADEMA, hawajui wanafuata nini

Nimefikiria akili za hawa wafuasi wa huyu mtu aliekatwa nimegundua ni kama nyumbu tu wale wa serengeti ambao hufuata mkumbo tu bila hata kujua wanakwenda wapi na kwa nini wavuke mto sehemu ya hatari wakati sehemu salama ya kuvuka ipo

kwa vipi. jaribu kufafanua
 
hakuna hoja inayowafaa, NYIE NI KAMA NYUMBU KWELI. mngekuwa na hoja msingekuwa mnahama kwa makundi bila kujua mnakoelekea. Tanzania haiwezi kufikia mageuzi ya maana ikiwa na kundi kubwa la wajinga kama nyie. Hakuna cha hoja kwa watu wapumbavu kama nyie. Mnakuwa kama mnacheza ule mchezo wa nyama nyama nyamaa, ya kuku nyama, ya ng'ombe nyama ya fisi nyama. Mpaka msituke mlishatoka wote ktk mchezo

sasa hasira za nini? kwani kuna mwanaCDM anaelekea kukuambukiza unyumbu. au kiwewe?
 
Jana alikuwa anagombea CCM, kesho yake anagombea UKAWA. Hivi kweli miaka takriban 15 sasa ya upinzani nchini, hajapatikana mgombea mwenye credebility ya upinzani, na sio mamluki kama tunavyoshuhudia sasa? Kweli kabisa Dr. Slaa namwelewa vizuri kama kweli kasusia. Yaani haiingii akilini, eti wasomi kama ma profesa wa ukawa, madaktari wa sheria na kadhalika. Wanampokea mamluki na kumfanya kiongozi wao. Si ataiuza hata nchi huyu???

aiuze mara ya ngapi? be sure with what you are talking about. ukitumia mhemuko kwenye jambo kama hili ndo unaharibu kabsaa. kama una kadi ya mpigakura just sit there subiri magamba magumu wanagawa hela sana sahv. mpaka oktoba utakuwa ushamek sana then kapige kura yako.
 
Ni kukuelimisha tu. Kwa nini tunaona ni safi kumpokea Lowassa. CCM tumeijaribu tangu 1995 kuiondoa lakini pamoja na ubaya wake imekuwa ya kubebwa mfumo inaoutengeneza yenyewe. Kuna kila hali ya kukaa miaka nenda rudi tukitaka kuitoa inashindikana. Zipo njia mbili tulitakiwa kuzifanya. 1. Nikubeba siraha na kutaka kuwatoa kwa nguvu. 2. Ni kuwatawanya wanao wasimika kama vigogo wao. Kila njia ina madhara yake. Kwa mtazamo WA usahihi hii tunayoijaribu iko afadhali kidogo. Ikishindikana ndio tujaribu na nyingine. Ila tunavyoona hii inaenda kufanikiwa. Mungu ibariki UKAWA.
 
Silaha gani, manati au?

Nyumbu akili zenu zinachekesha kweli
 
Aksante kwa maneno yako mafu lakini hayajawanyima watu usingizi. Nadhani ulimaanisha kuwa wafuasi wa ccm ni hao nyumbu tu. Jaribu kufikiri kidogo, miaka zaidi ya 50+ bado huna choo wanakuja wafadhili ati kuja kuwajengea wazalendo wenye kuhongwa flana ya kijani na chepelo wamchague mbunge na rais yule yule aliye walaghai miaka 5 iliyo pita. Hivi hapa nyumbu ni yupi??
Tunataka mabadiliko, chama chako hicho unacho jivunia hivyo hakiwezi kutuletea. Acha tuende UKAWA tukajaribu tena huko, hatuwezi pitia mkondo ule ule miaka mingine 5 tena

Bora umesema labda anaweza akakuelewa uyo dume mzee
 
Nadhani naneno ya Mwandosya yanazidi kuwatia uhayawani,poleni ccm hamjui mpaka sasa mfanye lipi..!!This is politics young ass

Ndio hapo nashangaa kabisa! wanadai alimpa sumu si ingekuwa hivyo angekaa kimya na kusali ili naye afe taratibu kwa alivyomfanyia? Sasa hivi hakuna msemo mtaacha kuusema!
Mimi pia kamwe si mshabiki, simpendi na haitokaa itokee mimi kumpenda Lowasa ila kilichofanyika ni mageuzi makubwa sana!
Badala ya kulalama tusubiri matokeo! any means apate urais asipate nguvu kubwa sana itakuwa bungeni no more ndiooooo sawaaaaa
 
Kaka acha matusi ndugu yangu, nimesoma quotes zako nyingi sana zimetawaliwa na matusi. Hapa kwenye hii forum kila mtu yuko huru kuandika mawazo yake, lakini siamini kama kila mtu yuko huru kutukana wengine. Mimi na wewe tunaweza kuwa na itikadi tofauti za kisiasa, lakini huna ruhusa ya kunitukana. Ongea hoja za msingi lakini sio matusi. Hata mimi najua sana kutukana lakini sioni sababu ya kufanya hivyo hasa ikizingatiwa kuwa hili sio jukwaa la MATUSI.
utajiju, ila mwingine akituita nyumbu ni sawa ila nikimwita panya road aliyeniita nyumbu sio sawa??
 
Nimefikiria akili za hawa wafuasi wa huyu mtu aliekatwa nimegundua ni kama nyumbu tu wale wa serengeti ambao hufuata mkumbo tu bila hata kujua wanakwenda wapi na kwa nini wavuke mto sehemu ya hatari wakati sehemu salama ya kuvuka ipo

Bora umesema wewe....wengi wao akili hakuna
 
Ndio hapo nashangaa kabisa! wanadai alimpa sumu si ingekuwa hivyo angekaa kimya na kusali ili naye afe taratibu kwa alivyomfanyia? Sasa hivi hakuna msemo mtaacha kuusema!
Mimi pia kamwe si mshabiki, simpendi na haitokaa itokee mimi kumpenda Lowasa ila kilichofanyika ni mageuzi makubwa sana!
Badala ya kulalama tusubiri matokeo! any means apate urais asipate nguvu kubwa sana itakuwa bungeni no more ndiooooo sawaaaaa

Mmeuzwa na bado hamshtuki, vipi mbowe kashawaweka wazi kwamba akina Rost tamu na karamagi tayari wanakuja? Karamagi kagawa pesa Bk vijijini kama njugu na kaishia kukiona cha mtema kuni, kwamba pesa si lilote na mafisadi hata wahamie kwenu wataendelea kukatwa tu ..sisi watz sio mbumbumbu na Tz haiuzwi, kawaambie akina DJ mbowe
 
Limevunda li Ccm
 
Ajenda yenu kuu imekuwa ni lowasa na ukawa. Kama c kuchanganyikiwa ni nn? Kuna mengi ya maana unaweza kuyajadili kwa niaba ya chama chako uoni kama kweli lowasa ni dume kweli ndoma inakuwa hivi? Poleni Sana ma ccm
 
Nimefikiria akili za hawa wafuasi wa huyu mtu aliekatwa nimegundua ni kama nyumbu tu wale wa serengeti ambao hufuata mkumbo tu bila hata kujua wanakwenda wapi na kwa nini wavuke mto sehemu ya hatari wakati sehemu salama ya kuvuka ipo
WAFUASI wa ccm ndio kama nyumbu mana wanfuata mfumo wa chama chao bila kujua unaenda kuwazamisha mana viongozi wanapiga MAESCROW wao wapo ufisadi kila mara unapigwa hawashtuki. Mie sina chama ila ni mtanzania ila siishabikii ccm kwa namna inavyoenenda zama hizi. katiba ya chama nzuri tu wanayo lakini mfumo waliojiwekea. uchafu
 
Ni kukuelimisha tu. Kwa nini tunaona ni safi kumpokea Lowassa. CCM tumeijaribu tangu 1995 kuiondoa lakini pamoja na ubaya wake imekuwa ya kubebwa mfumo inaoutengeneza yenyewe. Kuna kila hali ya kukaa miaka nenda rudi tukitaka kuitoa inashindikana. Zipo njia mbili tulitakiwa kuzifanya. 1. Nikubeba siraha na kutaka kuwatoa kwa nguvu. 2. Ni kuwatawanya wanao wasimika kama vigogo wao. Kila njia ina madhara yake. Kwa mtazamo WA usahihi hii tunayoijaribu iko afadhali kidogo. Ikishindikana ndio tujaribu na nyingine. Ila tunavyoona hii inaenda kufanikiwa. Mungu ibariki UKAWA.
TATIZO haya manyumbu maccm hayaelewi. shilingi inashuka nchi inaenda liwa na mamba mbele wao wapo tu. uliona leo walivyokuwa wanaandamana kumsindikiza kafara wao kuchukua fomu! sie upande mwingine tumeliona hili la nchi kuzama ndio mana tunataka mabadiliko ya mfumo. TATIZO HII MINYUMBU HAIELEWI. YANAIMBA CCM mbeleee.. kwa mbelee... yaani nyumbu hawa tena wamebebwa kwenye lori.. ccm mbeleee.. kwa mbelee.. HAFADHARI WALE NYUMBU WANAOKIMBIA KWA MIGUU WENEWE WAWEZA BADILI MUELEKEO KINAMNA. HAWA WA CCM WAMEBEBWA KTK LORI HAWAJUI WAENdAPO WALA WATOKAKO. WAO kuimba ccm mbele.... kwa mbelee...
SHIDAA.
 
Very true wengi wao hawajui wapi wanaelekea.MTU Mwenye uelewa uliokamilika huwezi kushabikia CHADEMA kuchukua serikal
 
Back
Top Bottom