Wafuasi wa Lowassa na CHADEMA, hawajui wanafuata nini

Wafuasi wa Lowassa na CHADEMA, hawajui wanafuata nini


Ikulu mtapasikia kwenye redio, mtapaona kwenye tv na mtapasoma kwenye magazeti tu.

kule hawaendi viongozi wanaoongoza watu wenye lugha kama zenu.

mwizi we mwaka uu mtaisoma, mmezoea kuiba kura zetu.... Shame on ur hopeless face. Rip ccm (chama cha wajinga na wapumbavu)
 
Wanachojua kwamba uwepo wa lowasa, utafanya ukawa kupata madaraka mana lowasa si anajipa hundred parcent ya kwamba akigombea kiti chj urais hana mpzan
 
Nimefikiria akili za hawa wafuasi wa huyu mtu aliekatwa nimegundua ni kama nyumbu tu wale wa serengeti ambao hufuata mkumbo tu bila hata kujua wanakwenda wapi na kwa nini wavuke mto sehemu ya hatari wakati sehemu salama ya kuvuka ipo
attachment.php

Ni sawa kabisa Mkuu
jamaa kapanda mtumbwi na uko safarini
alipokatwa tu jina Dodoma akajirusha majini badala ya kusubiri ufukweni aua Nchi kavu
na hapo mtoni hajui kuogelea
kazama na hatatoka tena majini ila washabiki wake
akamuulize Lyatonga,Seif, Mtikila wamefika wapi
Kifo chali cha kisiasa
 
Nasikia leo kutakua na mkusanyiko wa nyumbu uwanja wa taifa
 
Afadhali nyumbu wanajua wanapokwenda na wanapotoka sasa ccm wafuasi wake hawajui wako wapo wanapotoka ata wanapokwenda
 
Mkuu haya ni ma 4u ndo ajira zake za mitandaoni zimefufuka,
maana siamini manachadema wa kweli kama anaweza kukubali usaliti wa slaa,



Mapovu ya nini, sisi tumeamua iwe hivyo, baki ccm kwenu huko

Hayakuhusu
 
Teh..hakuna haja ya kutukana watu mtu anafuata akili yake ilivyomtuma baada ya kushawishiwa....halafu inawezekanaaaa wewe umeshindwa kujua kwanini wanaenda huko unakowaona wanaenda.....mwisho naweza sema inawezekana na wewe unafuata mkondo kuwachagulia vya kufuata



Hahahahahahhahahahahahahaha

Mkuu sioni kitufe cha like
 
Nimefikiria akili za hawa wafuasi wa huyu mtu aliekatwa nimegundua ni kama nyumbu tu wale wa serengeti ambao hufuata mkumbo tu bila hata kujua wanakwenda wapi na kwa nini wavuke mto sehemu ya hatari wakati sehemu salama ya kuvuka ipo

Wewe mfuasi wa ccm huna tofauti na nguruwe pori( ngiri) anakimbizwa na chui akiona majani mazuri anasimama..!!
 
Umeona eeh, jamaa hawajitambuı na n wakurupukajı.Niliamını CDM ila nimeachana nao kwa upuuzi wa Mbowe.Nabaki kuwa mtu huru sıtakı kuwa na chama cha siasa mpaka kıtokee chama chenye watu wakwelı.
 
Nyumbu na zezeta nani nafuu, pima mwenyewe mkuu, kuwa mshabiki wa ccm zinahitajika ziwe zimepungua.
 
Kama ambavyo wamekuwa wakiendesha mgomo kimya kimya. Walimu ndivyo watakavyoichana chana sisiemu maana wanamkimbiza kimya kimya, harakati hizi zimeanza nchi nzima kuungana na aliyewatetea katika kutangaza nia wakati ule kuwa elimu, elimu, elimu. Ccm mmewatesa sana walimu kwa malipo kiduchu kwa kisingizio cha wingi wao, mbaya zaidi ni ktk utawala wenu elimu imeporomoka sana mpaka kupelekea kupata vijana wenye div five wengi.
 
Umeona eeh, jamaa hawajitambuı na n wakurupukajı.Niliamını CDM ila nimeachana nao kwa upuuzi wa Mbowe.Nabaki kuwa mtu huru sıtakı kuwa na chama cha siasa mpaka kıtokee chama chenye watu wakwelı.



Nenda baba ufike salama

Siyo kila maamuzi yatamfurahisha kila mtu
 
Nimefikiria akili za hawa wafuasi wa huyu mtu aliekatwa nimegundua ni kama nyumbu tu wale wa serengeti ambao hufuata mkumbo tu bila hata kujua wanakwenda wapi na kwa nini wavuke mto sehemu ya hatari wakati sehemu salama ya kuvuka ipo

angalizo kidoooogo!, wale nyumbu hawaendagi just for the sake of going, wanafuata nyasi mpya na maji safi kisha kuzaana so wakiongozwa na matarajia hayo (ambayo kila mwaka hutimia!) hawajali mamba, kenge wala mkondo wa maji so watch out si ajabu CDM wameona neema ahead na the leading nyumbu ni Edo!! acha waende au join them! by the way mle ndani huwaga kuna swala na pundamilia so find your place and march!!!
 
Back
Top Bottom