Wafuasi wa Lowassa na CHADEMA, hawajui wanafuata nini

Wafuasi wa Lowassa na CHADEMA, hawajui wanafuata nini

Kumbuka yaliyomkuta Mrema jiulize kama kweli Chadema wana akili nzuri Hivi kama CCM ingemuchagua kuwania U raisi kupitia CCM je bado angekataa na kuhamia Chadema. Naomba usikilize vizuri hotuba zake wakati anaenda kuchukuwa form za kugombea uraisi kupitia CCM alivyoipongeza CCM na Raisi Kikwete mara ghafula kabadilika sasa anaiponda CCM na raisi Kikwete. Ndugu huo si UNAFIKI wa hali ya juu.

HUYO MTUWENU WA MADARAKA NI KAMA MWANAMKE ALIYEHACHWA NA MUME HALAFU ANAANZA KUMPONDA MUME WA ZAMANI-------WAKE UP CHADEMA GO BACK TO SCHOOL " ELIMU INASAIDIA KUPAMBANUA MAMBO MAZITO. MATUSI HAYA TAMPELEKA IKULU HUYO FISADI

Darasani haturudi wala nn,elimu yetu hii hii inatutosha ingawa mnatuita malofa na wapumbavu,mtuache na ulofa wetu na tutachagua malofa wenzetu,na nyie mchagueni wasomi kwa wasomi,
 
Nimefikiria akili za hawa wafuasi wa huyu mtu aliekatwa nimegundua ni kama nyumbu tu wale wa serengeti ambao hufuata mkumbo tu bila hata kujua wanakwenda wapi na kwa nini wavuke mto sehemu ya hatari wakati sehemu salama ya kuvuka ipo
wanafuata mkumbo
 
Kama hujitambui huwezi kutambua wanachotambua wengine.......endelea kupotea
 
Pesa za escrow, Epa, sukari, buzwagi, vivuko feki, billion 251 malipo hewa wizara ya Magufuli, uuzaji kiholela wa nyumba za Serikali, uporaji wa mali na pesa za marehemu Gadafi. Hizi pesa ni nyingi wakikuhonga lazima utakuwa unajitoa fahamu.


Kweli wewe ni ushuzi.
 
Nimefikiria akili za hawa wafuasi wa huyu mtu aliekatwa nimegundua ni kama nyumbu tu wale wa serengeti ambao hufuata mkumbo tu bila hata kujua wanakwenda wapi na kwa nini wavuke mto sehemu ya hatari wakati sehemu salama ya kuvuka ipo

inabidi ukapimwe ubongo wako kama mzima! kwan CDM imeanza lini? ilikua haina wafuasi kabla ya lowasa? hoja yako dhaifu sana
 
Huna tofauti na yule mzee mstaafu aliyesema kuwa wapiga kura watarajiwa wa mgombea wa chama chake ni "w.a.p..m.b.a.v.u na malofa" wakati ulimwengu mzima ukishuhudia.
 
Huyu jamaa aliyeleta huu uzi ana tanka za kishoga,ajaribu kuchunguza watu wote wanaishabikia ccm ni maskini wa kutupa na ambao hawajaenda shule kila cku kudanganya. Mwaka wa jamani wanadanganywa tu,
 
Huyu jamaa aliyeleta huu uzi ana tanka za kishoga,ajaribu kuchunguza watu wote wanaishabikia ccm ni maskini wa kutupa na ambao hawajaenda shule kila cku kudanganya. Mwaka wa jamani wanadanganywa tu,
Yawezekana una urojo kichwani...tukianza kushusha cv zetu za kielimu mtasema tunajisifu ..kaa kimya.ongea mambo ya msingi
 
Haya wewe mwenye mtindio wa ubongo ,subiri laptop kwa walimu, milioni hamsini kwenye kila kijiji ,na hospitalini dawa za kutosha
 
Haya wewe mwenye mtindio wa ubongo ,subiri laptop kwa walimu, milioni hamsini kwenye kila kijiji ,na hospitalini dawa za kutosha

Nasikia leo nyumbu mmekusanyika Jangwani
 
Nimefikiria akili za hawa wafuasi wa huyu mtu aliekatwa nimegundua ni kama nyumbu tu wale wa serengeti ambao hufuata mkumbo tu bila hata kujua wanakwenda wapi na kwa nini wavuke mto sehemu ya hatari wakati sehemu salama ya kuvuka ipo

Acha ujinga wewe mpumbavu hujitambui kuwa wewe ni nani, wajinga kama wewe wapo wengi sana hawajui maana ya democrcy wanaongea kama hawatumii midomo na akili, leta hoja nyingine ueleweke wewe inzi wa kijani.
 
Back
Top Bottom