Red Giant
JF-Expert Member
- Mar 9, 2012
- 15,650
- 21,014
ukiwa na akili nyepesi unaweza dhani nyumbu hawajui wanakokwenda. nyumbu wanajua waendako na wakati wa kwenda. hizo sehemu unaona hatari ndiyo salama zaidi, zingine hazina mamba ila zina macliff. wanachadema makini wanajua wanachokifanya.Nimefikiria akili za hawa wafuasi wa huyu mtu aliekatwa nimegundua ni kama nyumbu tu wale wa serengeti ambao hufuata mkumbo tu bila hata kujua wanakwenda wapi na kwa nini wavuke mto sehemu ya hatari wakati sehemu salama ya kuvuka ipo