Wafuasi wa Lowassa na CHADEMA, hawajui wanafuata nini

Wafuasi wa Lowassa na CHADEMA, hawajui wanafuata nini

Kaka ni kweli kabisa, wafuasi wa hili Fisadi ni kama Manyumbu tu ya Serengeti. Mtu mwenye akili timamu na uwezo wa kuhoji na kuchambua mambo huwezi kumshabiakia mtu kama Lowassa. Kuna maswali mengi sana ya kujiuliza kuhusu hili fisadi Lowassa, ambayo majibu yake sio mazuri hata kidogo. Hili Fisadi lina malengo yake binafsi ya kutaka kuwa Rais na sio kuwaletea watu maendeleo. Huyu ni mtu ambaye kauli zake haziaminiki hata kidogo na zinatia shaka sana. Mzee anapokosa msimamo ni hatari sana kuliko kijana kukosa msimamo. Alisema kwa kauli yake mwenyewe kuwa kamwe hataondoka CCM. Leo imekuwaje, mbona ameondoka??? Hili fisadi sio la kuamini hata kidogo.

Huyo yuko desparate, katumia hela nyingi urais kakosa sasa anajaribu kila njia na mwisho wake nadhani ataugua vibaya sana
 
kwa takataka ya ccm ndo mabadiriko tena baada ya kukatwa kweli hapo kunamabadiliko ya moyoni ? Au ni hewa tu tumekosea tu tukubali jembe la mabadiriko lilikuwa slaa tu.

Kila kitu hitokea kwa sababu anazojua mungu. Walio angusha KANU, waliokua ndani ya hicho chama. Tusubiri ndugu kama nila heli au ni mbaya. Lakini hata hivyo, wengi kwenye serekarini watakua UKAWA, usihofu, lazima atabadilika tuu. Umesha wahi sikia mtu mlokole?
 
watanzania walio wengi hawajui siasa za kisomi, ndiyo sababu tuanze siasa za zigizaga ili tuiondoe ccm madarakani kwanza....ndo wapate kuelemika na kupata huduma muhimu.

Baada ya hapo itakua njia sahihi kuendeleza siasa za kisayansi, elewa kua kuna nchi zingine wao wameamua kutumia vita kuondoa uchafu kama wa ccm madarakani.

hii takataka iliyokuwa inafanya umafya wa kuwapa sumu watu ikiingia ikulu mnitake kichwa mwaka huu,

kila kitu hitokea kwa sababu anazojua mungu. Walio angusha kanu, waliokua ndani ya hicho chama. Tusubiri ndugu kama nila heli au ni mbaya. Lakini hata hivyo, wengi kwenye serekarini watakua ukawa, usihofu, lazima atabadilika tuu. Umesha wahi sikia mtu mlokole?

nakushauri rudi kajifunze siasa za kenya ndo uje kuzilinganisha na siasa za hapa ndo maana viongozi wenu wakioma hizi uzi wanajiona mashujaa lakini nachokuakikishia,mkuu
tangu mwaka 1993 harakati za urais alipozianzisha lowasa kama ni mpango wa mungu angekuwa tayari ni rais,
 
kila kitu hitokea kwa sababu anazojua mungu. Walio angusha kanu, waliokua ndani ya hicho chama. Tusubiri ndugu kama nila heli au ni mbaya. Lakini hata hivyo, wengi kwenye serekarini watakua ukawa, usihofu, lazima atabadilika tuu. Umesha wahi sikia mtu mlokole?

kwa kuwapa sumu watu ili upate nafasi ya uongozi mwandosya hata kama mungu amelala hawezi kukubali upuuzi kama huo hata kwa ndoto zake,
 
Aksante kwa maneno yako mafu lakini hayajawanyima watu usingizi. Nadhani ulimaanisha kuwa wafuasi wa ccm ni hao nyumbu tu. Jaribu kufikiri kidogo, miaka zaidi ya 50+ bado huna choo wanakuja wafadhili ati kuja kuwajengea wazalendo wenye kuhongwa flana ya kijani na chepelo wamchague mbunge na rais yule yule aliye walaghai miaka 5 iliyo pita. Hivi hapa nyumbu ni yupi??
Tunataka mabadiliko, chama chako hicho unacho jivunia hivyo hakiwezi kutuletea. Acha tuende UKAWA tukajaribu tena huko, hatuwezi pitia mkondo ule ule miaka mingine 5 tena
Fisadi lililo lelewa na CCM kwa takriban miaka 40 ndio litakuletea mabadiliko?????? Acha upunguani wewe, huitaji kuwa genius kufahamu hili. UKAWA wangesimama wao peke yao bila hili Fisadi ningekuelewa bila shida. Lakini hili fisadi likiwa rais hakuna jipya litakaloleta zaidi ya kuiba mali lenyewe na wapambe wake na hakuna rangi mtaacha kuona.

Tupo wengi sana ambao kamwe hatuwezi kuwa bendera fuata upepo kwa kulipigia kura hili fisadi. Tupo wengi sana na kwa hakika tusubiri tuone October itakavyokuwa.
 
Chadema wamemsaliti sana Dr Slaa
 
Unapotegemea ganda la ndizi halafu unaona mkungu kama unafikia mwisho hivii teh teh hii homa inaitwa lowassa itaua wengi
 
Sisi hatuna shida, madam wanasiasa wapo watatuhangaikia wenyewe ndio wanaojua shida zetu.
 
Nadhani naneno ya Mwandosya yanazidi kuwatia uhayawani,poleni ccm hamjui mpaka sasa mfanye lipi..!!This is politics young ass
 
Kwani watamzania mnataka nini? Wanasema " the end justifies the means." Kama we want political platform change, then join upinzani. Kama unataka business as usual, remain na ccm. What ever means wapinzani watatumia, isipokua ya umwagaji damu, nitakubaliana nao. Tunahitaji mabadiliko jamani. Time is not on our side. Hizi ngonjelangonjela, zakutafuta maendeleo, sasa basi. Mfumo wa ccm sio mzuri tuseme ukweli. Hali sio nzuri kimaisha, watu wamepigika asilimia kubwa, nenda vijijini utaona watu wanavyo taabika.
 
Nimefikiria akili za hawa wafuasi wa huyu mtu aliekatwa nimegundua ni kama nyumbu tu wale wa serengeti ambao hufuata mkumbo tu bila hata kujua wanakwenda wapi na kwa nini wavuke mto sehemu ya hatari wakati sehemu salama ya kuvuka ipo

Ndo uwezo wako wa kufikiri ndo ulipofikia?
 
Nimefikiria akili za hawa wafuasi wa huyu mtu aliekatwa nimegundua ni kama nyumbu tu wale wa serengeti ambao hufuata mkumbo tu bila hata kujua wanakwenda wapi na kwa nini wavuke mto sehemu ya hatari wakati sehemu salama ya kuvuka ipo
eh tatazambe tunafananishwa na wanyama leo loh. Basi sawa mungu yupo
 
Akili zako fupi sana kama maisha ya nzi,ungejua maana ya politics usingeandika huu ushudu!

kwan uongo? Nyinyi wote n nyumbu,, kaanza kujirusha kwenye maji nyumbu mkuu(mbowe) naona manyumbu wengne mnafuata
 
Back
Top Bottom