Wafuasi wa Lowassa na CHADEMA, hawajui wanafuata nini

Nimefikiria akili za hawa wafuasi wa huyu mtu aliekatwa nimegundua ni kama nyumbu tu wale wa serengeti ambao hufuata mkumbo tu bila hata kujua wanakwenda wapi na kwa nini wavuke mto sehemu ya hatari wakati sehemu salama ya kuvuka ipo

I think the opposite is the case! All CCM zealots like you are in autopilot commandeered by Mortal fear!
 
Nimekuwa nikisoma post za team Lowasa na kwa kweli na diriki kusema wengi wanatatizo la iq ni ndogo, unajuwa mtu anaye jibu pasipo kufikiri iq yake haipo sawa na mtu kama huyo hana budi kujifunza japo sm time iq ndogo sifa yao kubwa nikuamini wanacho amini hata kama ni matango pori wanakula. Jamaa wapo weng wamepata vi i phn vya msaada ili kupost humu wengine hata smart phn hawakuwa wanajuwa ila ktk kujipendekeza wameonwa na wamepewa sim kufungu akaunt kwenye mitandao nakuanza tukana watu basi, usishangae mtu anatukana tu hakujuwi unamjuwa anakutukana, hawa juwi even how hii mitandao inafanya kazi, kwakweli ni tatizo nataman tupige kura hata kesho tuwapige chini maukawa na tumuapishe Dr Magufuli. Tatizo jingine hawa jamaa nacheka sana wanapost as if wanapata vitu vyetu. Polen team ukawa.
 
Son na kujipendekeza kwako utaliwa ban .

swissme
 
Mkuu hapo lumumba hamjifunzi kuandika? Au ni iyena iyena tu.

mpangilio wa uandishi wako ni sheeda.
 
Nimekuwa nikisoma post za team Lowasa na kwa kweli na diriki kusema wengi wanatatizo la iq ni ndogo, unajuwa mtu anaye jibu pasipo kufikiri iq yake haipo sawa na mtu kama huyo hana budi kujifunza japo sm time iq ndogo sifa yao kubwa nikuamini wanacho amini hata kama ni matango pori wanakula. Jamaa wapo weng wamepata vi i phn vya msaada ili kupost humu wengine hata smart phn hawakuwa wanajuwa ila ktk kujipendekeza wameonwa na wamepewa sim kufungu akaunt kwenye mitandao nakuanza tukana watu basi, usishangae mtu anatukana tu hakujuwi unamjuwa anakutukana, hawa juwi even how hii mitandao inafanya kazi, kwakweli ni tatizo nataman tupige kura hata kesho tuwapige chini maukawa na tumuapishe Dr Magufuli. Tatizo jingine hawa jamaa nacheka sana wanapost as if wanapata vitu vyetu. Polen team ukawa.
Na wewe pia kwa jinsi ulivyoandika uzi wako iQ yako iko chini zaidi ya hawa watu unaowaponda!
 
Nimekuwa nikisoma post za team Lowasa na kwa kweli na diriki kusema wengi wanatatizo la iq ni ndogo, unajuwa mtu anaye jibu pasipo kufikiri iq yake haipo sawa na mtu kama huyo hana budi kujifunza japo sm time iq ndogo sifa yao kubwa nikuamini wanacho amini hata kama ni matango pori wanakula. Jamaa wapo weng wamepata vi i phn vya msaada ili kupost humu wengine hata smart phn hawakuwa wanajuwa ila ktk kujipendekeza wameonwa na wamepewa sim kufungu akaunt kwenye mitandao nakuanza tukana watu basi, usishangae mtu anatukana tu hakujuwi unamjuwa anakutukana, hawa juwi even how hii mitandao inafanya kazi, kwakweli ni tatizo nataman tupige kura hata kesho tuwapige chini maukawa na tumuapishe Dr Magufuli. Tatizo jingine hawa jamaa nacheka sana wanapost as if wanapata vitu vyetu. Polen team ukawa.

unajuwa ndio kiswahili gani mbona napata hofu juu ya IQ yako pia: 😛lane:
 
Dah kwa jinsi ulivyoandika, km kuna mtu IQ yake ni ndogo kuliko hii uliyoonyesha basi atakuwa ni anaishi kaburini
 
Utapasuks moyo wako bure. Ukawa ndio Habari ya mjini
 
Nimekuwa nikisoma post za team Lowasa na kwa kweli na diriki kusema wengi wanatatizo la iq ni ndogo, unajuwa mtu anaye jibu pasipo kufikiri iq yake haipo sawa na mtu kama huyo hana budi kujifunza japo sm time iq ndogo sifa yao kubwa nikuamini wanacho amini hata kama ni matango pori wanakula. Jamaa wapo weng wamepata vi i phn vya msaada ili kupost humu wengine hata smart phn hawakuwa wanajuwa ila ktk kujipendekeza wameonwa na wamepewa sim kufungu akaunt kwenye mitandao nakuanza tukana watu basi, usishangae mtu anatukana tu hakujuwi unamjuwa anakutukana, hawa juwi even how hii mitandao inafanya kazi, kwakweli ni tatizo nataman tupige kura hata kesho tuwapige chini maukawa na tumuapishe Dr Magufuli. Tatizo jingine hawa jamaa nacheka sana wanapost as if wanapata vitu vyetu. Polen team ukawa.

mpangilio wa hoja yako ndo utakufanya we uonekane una IQ ndogo kuliko hao unaowatukana.
 
Nimekuwa nikisoma post za team Lowasa na kwa kweli na diriki kusema wengi wanatatizo la iq ni ndogo, unajuwa mtu anaye jibu pasipo kufikiri iq yake haipo sawa na mtu kama huyo hana budi kujifunza japo sm time iq ndogo sifa yao kubwa nikuamini wanacho amini hata kama ni matango pori wanakula. Jamaa wapo weng wamepata vi i phn vya msaada ili kupost humu wengine hata smart phn hawakuwa wanajuwa ila ktk kujipendekeza wameonwa na wamepewa sim kufungu akaunt kwenye mitandao nakuanza tukana watu basi, usishangae mtu anatukana tu hakujuwi unamjuwa anakutukana, hawa juwi even how hii mitandao inafanya kazi, kwakweli ni tatizo nataman tupige kura hata kesho tuwapige chini maukawa na tumuapishe Dr Magufuli. Tatizo jingine hawa jamaa nacheka sana wanapost as if wanapata vitu vyetu. Polen team ukawa.
Punguza kunywa pombe kunywa chupa mbili tu ukiona bado unakabiliwa na tatizo kama hili achana nazo!!
Zingatia ushauri huu huu kwa manufaa yako!!
 
Viroba kweli ni NUKSI!! mada ya kijiìiìinga kabisa!
 
Nimekuwa nikisoma post za team Lowasa na kwa kweli na diriki kusema wengi wanatatizo la iq ni ndogo, unajuwa mtu anaye jibu pasipo kufikiri iq yake haipo sawa na mtu kama huyo hana budi kujifunza japo sm time iq ndogo sifa yao kubwa nikuamini wanacho amini hata kama ni matango pori wanakula. Jamaa wapo weng wamepata vi i phn vya msaada ili kupost humu wengine hata smart phn hawakuwa wanajuwa ila ktk kujipendekeza wameonwa na wamepewa sim kufungu akaunt kwenye mitandao nakuanza tukana watu basi, usishangae mtu anatukana tu hakujuwi unamjuwa anakutukana, hawa juwi even how hii mitandao inafanya kazi, kwakweli ni tatizo nataman tupige kura hata kesho tuwapige chini maukawa na tumuapishe Dr Magufuli. Tatizo jingine hawa jamaa nacheka sana wanapost as if wanapata vitu vyetu. Polen team ukawa.

nyambaafu!unafikiri utaibadilisha kura yangu,,,mm ni team ukawa ukawa kuanzia diwani mpaka rais wangu lowassa,,,upoo?wataarifu na wengne wenye akili kama zako
 
Mkuu unaweza kuwa na point lakini cha kuzingatia
ni kwamba waalimu wengi waliofundisha watoto ma-genius
waliwaito wakorofi ,watovu wa nidhamu na kusema mtoto huyu
simuelewi,sasa wewe unapozungumzia IQ ya wenzio
je? ya kwako nani kaipima na kudhibitisha iko sawa?
Kama yako ni ndogo sana,ni dhahiri hutowaelewa wengine
wenye uwezo mpana wa fikra.

Nikukumbushe,mtoto wa darasa la kwanza
ukimpa hesabu ya 9-15=( ) atakwambia
haiwezekani,ukimpa nafasi ya kuongea
na wenzie kuhusu hilo swali atasema aliyetunga swali hani akili.
Hali kadhalika maswali ya chuo kikuu kupeleka shule ya msingi

Je nahitajika iq kubwa kukubali zidumu fikira za mwenyekiti wa ninyim,
nawe unaitikia zidumu?
sasa nani ana iq kubwa na ni nani ana ndogo?

Mnachafua baba wa watu Magufuli,yeye udaktari amesoma hakupewa
ila mnamdhalilisha kwa michango kama hii.
 
Nimekuwa nikisoma post za team Lowasa na kwa kweli na diriki kusema wengi wanatatizo la iq ni ndogo, unajuwa mtu anaye jibu pasipo kufikiri iq yake haipo sawa na mtu kama huyo hana budi kujifunza japo sm time iq ndogo sifa yao kubwa nikuamini wanacho amini hata kama ni matango pori wanakula. Jamaa wapo weng wamepata vi i phn vya msaada ili kupost humu wengine hata smart phn hawakuwa wanajuwa ila ktk kujipendekeza wameonwa na wamepewa sim kufungu akaunt kwenye mitandao nakuanza tukana watu basi, usishangae mtu anatukana tu hakujuwi unamjuwa anakutukana, hawa juwi even how hii mitandao inafanya kazi, kwakweli ni tatizo nataman tupige kura hata kesho tuwapige chini maukawa na tumuapishe Dr Magufuli. Tatizo jingine hawa jamaa nacheka sana wanapost as if wanapata vitu vyetu. Polen team ukawa.

Kaka umeona nachoona kila siku.
 
Ccm tumewachoka its time for change, Lowassa n Ukawa is the game changer
 
Back
Top Bottom