Wafuasi wa Lowassa na CHADEMA, hawajui wanafuata nini

Wafuasi wa Lowassa na CHADEMA, hawajui wanafuata nini

Ccm itaondoka madarakani kama alivyoondoka firauni.
 
Aksante kwa maneno yako mafu lakini hayajawanyima watu usingizi. Nadhani ulimaanisha kuwa wafuasi wa ccm ni hao nyumbu tu. Jaribu kufikiri kidogo, miaka zaidi ya 50+ bado huna choo wanakuja wafadhili ati kuja kuwajengea wazalendo wenye kuhongwa flana ya kijani na chepelo wamchague mbunge na rais yule yule aliye walaghai miaka 5 iliyo pita. Hivi hapa nyumbu ni yupi??
Tunataka mabadiliko, chama chako hicho unacho jivunia hivyo hakiwezi kutuletea. Acha tuende UKAWA tukajaribu tena huko, hatuwezi pitia mkondo ule ule miaka mingine 5 tena
 
ya taka moyo kukimbiza bendera ya kijani. Unaonekana ka una himiza uzazi wa mpango

tatizo sio bendera kaki wala ya kijani,tatizo ni shetani muuaji na pepo la kuzimu lowasa kuingia ikulu,na inatuuma kwann sio slaa,
 
Hata wale wanaobaki ccm nao nyumbu tuu, wana macho nikama hawaoni kwamba wanapigwa changalamacho kila miaka. Chama kilekile, mambo yaleyale. Hata mtu hubasilisha nguo, anavaa nyingine ili aonekane kivingine. Watu wamecho kimaisha wakati uwezo wakutoka hapa tulipo upo dhahili, tuna amua kuganda kwenye lichama lisilo na mbele wala nyuma. Miaka kumi imepita, tatizo la maji liko palepale, wanafunzi bado wana kaa chini hawana madawati, eti ccm. Mahospitalini dawa hakuna, waze huduma zabure hamna, uko bize na lichama lisilojali wananchi. Kutwa kihubiri amani kinafiki. Huwezi ukawa na amani kama mambo ya msingi nchini ni hovyo. Tuwe wakweli hapa, waje wengine tuone mipango mipya na watu wengine.
 
aksante kwa maneno yako mafu lakini hayajawanyima watu usingizi. Nadhani ulimaanisha kuwa wafuasi wa ccm ni hao nyumbu tu. Jaribu kufikiri kidogo, miaka zaidi ya 50+ bado huna choo wanakuja wafadhili ati kuja kuwajengea wazalendo wenye kuhongwa flana ya kijani na chepelo wamchague mbunge na rais yule yule aliye walaghai miaka 5 iliyo pita. Hivi hapa nyumbu ni yupi??
Tunataka mabadiliko, chama chako hicho unacho jivunia hivyo hakiwezi kutuletea. Acha tuende ukawa tukajaribu tena huko, hatuwezi pitia mkondo ule ule miaka mingine 5 tena

msema kweli mpenzi wa mungu angekuwa slaa ningekuona kweli wewe ni mzarendo lakini kwa pepo la ccm lowasa hicho choo cha kike mkuu,
 
tatizo sio bendera kaki wala ya kijani,tatizo ni shetani muuaji na pepo la kuzimu lowasa kuingia ikulu,na inatuuma kwann sio slaa,
Mtasema sana.mtachonga sana mjiandae kuondoka madarakani majambazi nyie
 
Aksante kwa maneno yako mafu lakini hayajawanyima watu usingizi. Nadhani ulimaanisha kuwa wafuasi wa ccm ni hao nyumbu tu. Jaribu kufikiri kidogo, miaka zaidi ya 50+ bado huna choo wanakuja wafadhili ati kuja kuwajengea wazalendo wenye kuhongwa flana ya kijani na chepelo wamchague mbunge na rais yule yule aliye walaghai miaka 5 iliyo pita. Hivi hapa nyumbu ni yupi??
Tunataka mabadiliko, chama chako hicho unacho jivunia hivyo hakiwezi kutuletea. Acha tuende UKAWA tukajaribu tena huko, hatuwezi pitia mkondo ule ule miaka mingine 5 tena
Hakika ujinga ni Ugonjwa kama ule unaomtafuna Lowassa. Yaani Mbowe, Mbowe, Mbowe kabisaa na Mkwewe Mtei pamoja na mfadhili wao Lowassa ndio wakusaidie wewe ambaye wazazi wako wameshindwa kukusaidia hata kufikiri. Tatizo la hii nchi siyo serikali bali vichwa maji kama wewe
 
hata wale wanaobaki ccm nao nyumbu tuu, wana macho nikama hawaoni kwamba wanapigwa changalamacho kila miaka. Chama kilekile, mambo yaleyale. Hata mtu hubasilisha nguo, anavaa nyingine ili aonekane kivingine. Watu wamecho kimaisha wakati uwezo wakutoka hapa tulipo upo dhahili, tuna amua kuganda kwenye lichama lisilo na mbele wala nyuma. Miaka kumi imepita, tatizo la maji liko palepale, wanafunzi bado wana kaa chini hawana madawati, eti ccm. Mahospitalini dawa hakuna, waze huduma zabure hamna, uko bize na lichama lisilojali wananchi. Kutwa kihubiri amani kinafiki. Huwezi ukawa na amani kama mambo ya msingi nchini ni hovyo. Tuwe wakweli hapa, waje wengine tuone mipango mipya na watu wengine.

kwa takataka ya ccm ndo mabadiriko tena baada ya kukatwa kweli hapo kunamabadiliko ya moyoni ? Au ni hewa tu tumekosea tu tukubali jembe la mabadiriko lilikuwa slaa tu.
 
Nimefikiria akili za hawa wafuasi wa huyu mtu aliekatwa nimegundua ni kama nyumbu tu wale wa serengeti ambao hufuata mkumbo tu bila hata kujua wanakwenda wapi na kwa nini wavuke mto sehemu ya hatari wakati sehemu salama ya kuvuka ipo
Kaka ni kweli kabisa, wafuasi wa hili Fisadi ni kama Manyumbu tu ya Serengeti. Mtu mwenye akili timamu na uwezo wa kuhoji na kuchambua mambo huwezi kumshabiakia mtu kama Lowassa. Kuna maswali mengi sana ya kujiuliza kuhusu hili fisadi Lowassa, ambayo majibu yake sio mazuri hata kidogo. Hili Fisadi lina malengo yake binafsi ya kutaka kuwa Rais na sio kuwaletea watu maendeleo. Huyu ni mtu ambaye kauli zake haziaminiki hata kidogo na zinatia shaka sana. Mzee anapokosa msimamo ni hatari sana kuliko kijana kukosa msimamo. Alisema kwa kauli yake mwenyewe kuwa kamwe hataondoka CCM. Leo imekuwaje, mbona ameondoka??? Hili fisadi sio la kuamini hata kidogo.
 
Watanzania walio wengi hawajui siasa za kisomi, ndiyo sababu tuanze siasa za zigizaga ili tuiondoe CCM madarakani kwanza....ndo wapate kuelemika na kupata huduma muhimu.

Baada ya hapo itakua njia sahihi kuendeleza siasa za kisayansi, elewa kua kuna nchi zingine wao wameamua kutumia vita kuondoa uchafu kama wa ccm madarakani.
 
Hao "nyumbu" unaowasema ni wepi hasa, sisi humu JF au "wanakijiji" wote wa kijiji cha Tanzania?

Kama ni hivyo, wewe utakuwa ni "ng'ombe" tu basi ila kasoro ni hii, kwamba huna mkia tu na unatembea kwa miguu miwili badala ya minne!!
 
Nimefikiria akili za hawa wafuasi wa huyu mtu aliekatwa nimegundua ni kama nyumbu tu wale wa serengeti ambao hufuata mkumbo tu bila hata kujua wanakwenda wapi na kwa nini wavuke mto sehemu ya hatari wakati sehemu salama ya kuvuka ipo

kaka sijui dada,NYUMBU kama wangekuwa hawajui wanakwenda wapi,wasingerud serengeti toka masai mara walipokwenda...kwa akil yako sehem salama ya kuvuka unaijua wewe,akili zao haziwatumi hvyo ,usalama upo pale wanapovuka wao..think twice
 
kaka ni kweli kabisa, wafuasi wa hili fisadi ni kama manyumbu tu ya serengeti. Mtu mwenye akili timamu na uwezo wa kuhoji na kuchambua mambo huwezi kumshabiakia mtu kama lowassa. Kuna maswali mengi sana ya kujiuliza kuhusu hili fisadi lowassa, ambayo majibu yake sio mazuri hata kidogo. Hili fisadi lina malengo yake binafsi ya kutaka kuwa rais na sio kuwaletea watu maendeleo. Huyu ni mtu ambaye kauli zake haziaminiki hata kidogo na zinatia shaka sana. Mzee anapokosa msimamo ni hatari sana kuliko kijana kukosa msimamo. Alisema kwa kauli yake mwenyewe kuwa kamwe hataondoka ccm. Leo imekuwaje, mbona ameondoka??? Hili fisadi sio la kuamini hata kidogo.

naamini mwanachadema wa damu hawezi kukubali hili pepo lifute ndoto za slaa hivihivi
labda kama alikuwa kibaraka wao,na anaewafanya waishi mjini,
 
Back
Top Bottom