dume
JF-Expert Member
- Apr 17, 2007
- 310
- 150
Nimefikiria akili za hawa wafuasi wa huyu mtu aliekatwa nimegundua ni kama nyumbu tu wale wa serengeti ambao hufuata mkumbo tu bila hata kujua wanakwenda wapi na kwa nini wavuke mto sehemu ya hatari wakati sehemu salama ya kuvuka ipo
akili zako fupi sana kama maisha ya nzi,ungejua maana ya politics usingeandika huu ushudu!
kiukweli huko tuendako maccm mtatafutana kwa tochi hata mchana yaan mtakemctake
mkuu hawa nyumbu ni kama wafuasi wa kibwetere tu
mbowe akisema wadumbukie kwenye volcano woote wakiongozwa na lema watapiga mbizi
Nimefikiria akili za hawa wafuasi wa huyu mtu aliekatwa nimegundua ni kama nyumbu tu wale wa serengeti ambao hufuata mkumbo tu bila hata kujua wanakwenda wapi na kwa nini wavuke mto sehemu ya hatari wakati sehemu salama ya kuvuka ipo
umemaliza kufanya application tcu.
Huyo mfadhili wa Ukawa ndiye aliyempa sumu Mwakyembe baada ya kumfichua kwenye Richmond ewe akili Bavichabingwa wakuwapa sumu mwakyembe na mwandosya akiingia ikulu mnikate kichwa,