MAMMAMIA
JF-Expert Member
- Feb 26, 2008
- 3,811
- 1,604
Ninatafuta wafasiri wa lugha za Shona<>Kiingereza, Ndebele<>Kiingereza na Oromo<>Kiingereza, yaani kutoka na kwenda Kiingereza.
Ikiwa wewe unaelewa angalau moja ya lugha hizo na/au kama unamjua mtu anayezielewa kiasi cha kuweza kutafsiri, tafadhali wasiliana nami kwa maelezo zaidi. Ni mradi wa muda mrefu na pesa inaridhisha sana (wastani wa USD 30 kwa kila ukurasa mmoja).