Wafasiri wanahitajika - Translators are needed

MAMMAMIA

JF-Expert Member
Feb 26, 2008
3,811
1,603
Ninatafuta wafasiri wa lugha za Shona<>Kiingereza, Ndebele<>Kiingereza na Oromo<>Kiingereza, yaani kutoka na kwenda Kiingereza.

Ikiwa wewe unaelewa angalau moja ya lugha hizo na/au kama unamjua mtu anayezielewa kiasi cha kuweza kutafsiri, tafadhali wasiliana nami kwa maelezo zaidi. Ni mradi wa muda mrefu na pesa inaridhisha sana (wastani wa USD 30 kwa kila ukurasa mmoja).
 
ninatafuta wafasiri wa lugha za shona<>kiingereza, ndebele<>kiingereza na oromo<>kiingereza, yaani kutoka na kwenda kiingereza.

Ikiwa wewe unaelewa angalau moja ya lugha hizo na/au kama unamjua mtu anayezielewa kiasi cha kuweza kutafsiri, tafadhali wasiliana nami kwa maelezo zaidi. Ni mradi wa muda mrefu na pesa inaridhisha sana (wastani wa usd 30 kwa kila ukurasa mmoja).

english to shona
 
Kamilisha tangazo:

Awe na qualification zipi?au mtu yeyote ilimradi ana uwezo wa kutafsiri?

Kazi anafanyia wapi?

Ni contract/ajira?

Na maelezo mengine ya muimu.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom