Wafanyakazi wote KIA wagoma asubuhi hii!

Uncle Jei Jei

JF-Expert Member
Jan 7, 2011
1,684
2,157
Sababu kubwa inayosemekana kupelekea mgomo huo ni kitendo cha serikali kumtimua meneja wa uwanja huo kwa tuhuma za kuvujisha siri kwa baadhi ya wabunge!

Leo hakuna ndege itakayotua wala kuanza safari katka uwanja huo!
 
Ni kweli kuwa KIA imekodishwa kwa only $1,000 a year kama alivyodai Freeman Mbowe???????
 
USD 1000 then Serikali imekaa kimya!!! I think bila CDM wangetuchukulia na wake zetu. Hivi hawaoni uchungu hawa watu au? Wabunge wa CCM wako pale kwa ajili ya nani? Mi nadhani wako kwa ajili ya Chama ila sio wananchi waliowatuma na kuwapeleka kule.....Yana Mwisho Haya.
 
wabunge wa magamba ni nguvu ya soda na bahasha za akina 'Jairo' tumethibitisha tena kwa mara nyingine bajeti ya uchukuzi. Nadhani yule aliyekuwa anataka nundu anyongwe yeye ndo anastahili adhabu hiyo maana hajui hata wajibu wake.

Na ole wake watu wa ludewa wazame ziwa nyasa kwa udebwedo wake.
 
USD 1000 then Serikali imekaa kimya!!! I think bila CDM wangetuchukulia na wake zetu. Hivi hawaoni uchungu hawa watu au? Wabunge wa CCM wako pale kwa ajili ya nani? Mi nadhani wako kwa ajili ya Chama ila sio wananchi waliowatuma na kuwapeleka kule.....Yana Mwisho Haya.
Mimi nadhani waliokodisha kwa kiasi hicho hawana akili,hata kama percent kubwa inaingia kwenye akaunt zao binafsi kama akina UDA, ila sio kwa dharau na kuidhalilisha serikali kwa kiasi hicho!

Hivi J.K anapoenda ziara za nje wanaofaham uozo huu wanamuonaje? Mimi nadhani sifa mojawapo ya binadamu kamili ni kuwa na uso wa aibu!
 
kwa nji hii kila kitu kinawezekana inawezekana hata kiongozi kaoa pahali
af hicho kikawa kitegauchumi cha wakwe zake unacheza na hii nji
kila kitu kinnawezekala halaaaa

Ni kweli kuwa KIA imekodishwa kwa only $1,000 a year kama alivyodai Freeman Mbowe???????
 
serikali gani unayosema inakaa kimya? kwani wao si ndo wakodishaji?

Mimi nadhani waliokodisha kwa kiasi hicho hawana akili,hata kama percent kubwa inaingia kwenye akaunt zao binafsi kama akina UDA, ila sio kwa dharau na kuidhalilisha serikali kwa kiasi hicho!

Hivi J.K anapoenda ziara za nje wanaofaham uozo huu wanamuonaje? Mimi nadhani sifa mojawapo ya binadamu kamili ni kuwa na uso wa aibu!
 
$1000 x 1,600 = 1,600,000Tshs....???????

Aibu ya namna gani hii?? ka ofisi kangu nalipa 2,400,000 per year (200,000 per month) halafu hata hakalipi kivile.. si bora ningechukua tu KIA.......Wakuu hii pesa sio kwa mwezi??
 
Halafu jamaa anaulizwa na kujibu kwa madaha kabisa "Hata mimi sijui ni kwanini Tanzania tu masikini"
 
Back
Top Bottom