Tanzania Viwanda Vipo Vi5 Na Si Kimoja Kama Udhanivyo.kama vp waturuhusu tuendelee kupga dili za kuleta sukari toka lilongwe bhna, nchi nzima kiwanda kimoja!!!!? labda waongeze kingne ndo hlo litawezekana.
Acha kukremisha maisha, NSSF Wanaweza simamia hilo na kukawa na min supermarket si lazima kama hivyo unavyodhani, kwa mtazamano wako karne hii yanaweza kujirudia yale? mana hata huko somali hamna hiyo.sasa unataka turudie enzi ya utawala wa nyerere... kupata kilo moja ya sukari kwa foleni, tena foleni ya kupanga mawe, halafu unalazimishwa kununua pamoja na bidhaa nyingine usiyohitaji...achana na mawzo hayo..