BUKOBA sukari kilo moja ni 2000 Tshs na kiwanda cha sukari kipo umbali wa kilomita 60, hivyo bei ya sukari ya Tabora na Bukoba ni sawaHaiwezekani. Nitashangaa sana huku kwetu katavi nikinunua sawa Na kilombero au kagera
BUKOBA sukari kilo moja ni 2000 Tshs na kiwanda cha sukari kipo umbali wa kilomita 60, hivyo bei ya sukari ya Tabora na Bukoba ni sawaHaiwezekani. Nitashangaa sana huku kwetu katavi nikinunua sawa Na kilombero au kagera
1=5hili ni tatizo bado, serikali inatakiwa itoe msimamo thabiti na tamko halisi kwa atakaebainika anauza sukari tofauti na bei iliyopangwa na bodi hiyo kwa sasa afanywaje!
Bei elekezi wapi. Hiyo ndo ilikua bei ya sukari kabla hawajakataza kuingiza ya nje. Tulishasema watakataza kuingiza bidhaa wakati bidhaa za ndani hazitoshelezi italeta shida. Sasa hali inaonekana mapema kabisa. Waliangalie hili kwa jicho la pili. Bora wangeanza na kuboresha viwanda ndo wakataze mzigo wa njeWAFANYABIASHARA WAGOMA KUSHUSHA BEI YA SUKARI
Licha ya Bodi ya Sukari Tanzania kutangaza bei elekezi ya bidhaa hiyo kuwa ni Sh1,800 kwa Dar es Salaam, maeneo mbalimbali jijini inauzwa kwa Sh2,200.
Juzi, Mkurugenzi Mkuu wa bodi hiyo, Henry Semwanza alisema bei hiyo itatumika kwa maduka yote ya rejareja na wafanyabiashara wanatakiwa kuizingatia pamoja na kuendelea kusambaza sukari kwa wingi.
Waandishi wetu waliotembelea maeneo mbalimbali yakiwamo Manzese, Magomeni, Kariakoo, Kisutu na Gongo la Mboto walibaini kuwa mfuko wa sukari wa kilo 50 ulikuwa unauzwa Sh97,000 hadi Sh100,000 huku wa kilo 25 ukiuzwa kuanzia Sh48,000 hadi Sh50,000.
Mfanyabiashara wa duka la jumla eneo la Manzese, Alex Brayton alisema alikuwa akiuza sukari kwa bei ya rejareja Sh2,200 na kwamba sababu kubwa ni kwamba sukari inayozalishwa viwandani haionekani wala haitoshelezi hivyo wafanyabiashara wakubwa wamekuwa wanawauzia kwa bei ya juu.
Chanzo: Mwananchi
Toa suluhisho mkuu, tufanye nini?Sema watanzania nao tunawalemaza hawa wafanyabiashara
Serikali haina nia thabiti kusaidia kwenye hili, ni lazima serikali ibalance both side seller vs buyer isimlalie seller tu inawezekana stock iliyopo it is imposible to issue for the current price while wana ile stock, serikali kama inamlinda mlaji mbona limewashinda kwenye umeme,wameshindwa kushusha bei ya umeme iliyoombwa na tanesco wakitoa ufafanuzi bado wanteteleka kushusha mpaka hapo na ilihali tanesco walishapeleka ombi lao la kuomba bei ishushwe,kwa sukari wangetoa muda kidogo kama ndugu yangu hapa alivyo toa maoni yake.Wafanyabiashara Wapo Sahihi Mi Nafikiri Wangepewa Muda Kidogo Ili Stoke Walonayo Iishe Baada Ya Hapo Waanze Kuuza Bei Elekezi.
Pia Lazma Tukubali Kwmb Viwanda Vya Sukari Tanzania Huwa Haviwezi Kuzalisha Through Out The Year, Lazma Visubiri Miwa Ikuwe Ndio Waendelee Na Uzalishaji, Kwa Mfano Mtibwa Kwa Sasa Wamefunga Uzalishaji Tangu January Mwishoni Kwaajili Ya Ukarabati Na Pia Kusubiri Miwa Ikuwe.
Mimi Nafikiri Ni Vyema Serikali Ikafanya Maamuzi Baada Ya Kusikiliza Maelezo Ya Wadau Ili Ije Na Jibu Zuri Kwa Wakat Kuliko Wakat Mwngne Kufanya Maongezi Na Upande Wa Uzalishaji Bila Kushirikisha Wholesalers.
Mbona Kwny Soda Inawezekana Why Ishindikane Kwa Sukari?.Wacha Magu nadhani anawavutia pumzi soon atatoa tamko ifikapo saa 12 maduka yote sukari iwe 1800 na hakika watashusha tu...Rejea wale Mawaziri waliojifanya wajanja kutoa taarifa zao....Chap walizipeleka kwa kukimbia mbaya kabisa sembuse wauza sukari
Kwa hili mkuu mi nadhani wamekurupuka, haiwezekani mtu utoe sukari morogoro uipeleke mtwara ukauze bei sawa na morogoro, hata mafuta yana bei elekezi lakini kila mkoa una bei yake.
BUKOBA sukari kilo moja ni 2000 Tshs na kiwanda cha sukari kipo umbali wa kilomita 60, hivyo bei ya sukari ya Tabora na Bukoba ni sawa
kama vp waturuhusu tuendelee kupga dili za kuleta sukari toka lilongwe bhna, nchi nzima kiwanda kimoja!!!!? labda waongeze kingne ndo hlo litawezekana.
Ahsante kwa kunifahamisha mkuu, then hii scacity ya sukari, mpka wanaleta pozi kushusha bei inatokana na nin?Kiwanda kimoja!!!, ni kipi hicho kimoja mkuu. Viko vinne (4), Kilombero sugar - Morogoro, Mtibwa sugar - Morogoro, TPC sugar - Moshi na Kagera sugar - Kagera.