Wafahamu snippers/walenga shabaha

Wafahamu snippers/walenga shabaha

unanikumbusha mtu anaitwa MOSLELO NA THOM BAKETH KATIKA MOVIE YA THE SNIPER. WAKINA KAMANDA NGODA. MOVIE ILIREKODIWA MPAKA DRC

YULE MOSLELO ANGEPEWA KAZI KAMA YAWASIOJULIKANA KWA LISSU ANGETUMIA RISASI MOJA TU!
 
Snipers kwanza ni special force, special wapo aina mingi hawa ni miongoni mwao.

Watu wanasema tu. Mm ni sniper, napenda kuwa sniper, bt inahitaji mafunzo na kujitoa kwa hali ya juu kufuzu mafunzo hayo.

Sifa, huwe stable. Macho yasiyo na shida, mwili na akili. Pia, kuwa extra sense (machale), kujua kusoma watu n.k

Kwa kifupi, mafunzo yao ni ya awamu, sitongia humo, kuelezea in details, bt lazima pumzi ziwepo sana (mambo yakutumbukizan kwenye maji ), umilikaji wa silaha (huweze kuimudu, nguvu, kuhifaham silaha yako, kutanzua vipingamizi), field works n. K.

Lakin kwa ujumla, sniper ukiachia mbal na shabah, maficho ndio muhim sana. Wapi akae asionekan na watu au hata na sniper wenzie, wap ambapo atapata view yote na kwa ukubwa zaidi. In n out ways aweze kuzisom, kifupi juu ya mazingira.

Mambo ni mengi humo........
 
Sasa tuzungumzie wale wa pair yule anayekuwa hajashika bunduki anakua anampa maelekezo gani yule mwenye bunduki ilihali wote wana viona mbali? Au msaada wake hasa unakua upi ktk kutimiliza misheni yao?
yule wa pili anakua anampa maelekezo na kutazama sehemu zinazo zunguka target. pia kuna maeneo ambayo risasi itasumbuliwa na upepo pia ni kazi ya mtu wa pili kumpa maelekezo sniper. tazama movie ya sniper reloaded 2 mwanzoni kabisa utaona kazi anayofanya yule dada...
Huyu huwa anapima spidi ya upepo, umbali na angle aliyepo target, Kwa ufupi ni mwanamahesabu!
Kuna niliyojifunza hapa
 
Soviet Ya zamani wakati wa dictator Stalin ilibobea katika fani hii
 
Snipers kwanza ni special force, special wapo aina mingi hawa ni miongoni mwao.

Watu wanasema tu. Mm ni sniper, napenda kuwa sniper, bt inahitaji mafunzo na kujitoa kwa hali ya juu kufuzu mafunzo hayo.

Sifa, huwe stable. Macho yasiyo na shida, mwili na akili. Pia, kuwa extra sense (machale), kujua kusoma watu n.k

Kwa kifupi, mafunzo yao ni ya awamu, sitongia humo, kuelezea in details, bt lazima pumzi ziwepo sana (mambo yakutumbukizan kwenye maji ), umilikaji wa silaha (huweze kuimudu, nguvu, kuhifaham silaha yako, kutanzua vipingamizi), field works n. K.

Lakin kwa ujumla, sniper ukiachia mbal na shabah, maficho ndio muhim sana. Wapi akae asionekan na watu au hata na sniper wenzie, wap ambapo atapata view yote na kwa ukubwa zaidi. In n out ways aweze kuzisom, kifupi juu ya mazingira.

Mambo ni mengi humo........
Baada ya miaka 30 ijayo hii teknolojia itazaaa alshabab hii nchi yetu maana watu wa saivi wana kula tu ma elimu mtandao itafka muda wata anza implement kile walichokisoma na jifunza.

Tanzania hii ya leo bado ina watu damu baridi ila haya ma elimu elimu haya yanaonekana simple tu ila yatazaa watu hatari sana
 
Tunachokisem ni kidgo mno, haiwezi kumjenga mtu kama unavyi dhani.

Si rahisi hivo. Roger out
 
Wale ma-sniper wa Lissu hawakuwa wamefuzu mafunzo labda ilikuwa ni moja ya trainings zao maana siyo kukosa kwa vile.
 
Back
Top Bottom