Wafahamu snippers/walenga shabaha

Ha ha haaa tatizo la maswali magumu yana majibu mengi alaf majibu yenyewe yanakua marahisi sana. Umenifurahisha sana mkuu!
 
Ha ha haaa tatizo la maswali magumu yana majibu mengi alaf majibu yenyewe yanakua marahisi sana. Umenifurahisha sana mkuu!

Yaani toka siku hiyo kila nikimuuliza swali alikuwa ananijibu eti hilo swali unatakiwa uwe unalijua jibu lake kwa umri huo.

Kumbe ni ujanja maswali yamemshinda anazuga.
 
Mkuu kwa kutaka kujua zaidi, mara nyingi wale wanaokua na kazi maalum unakuta ana risasi moja tu na akipiga hata kama amekosa ndio anafunga ubalozi (Anaondoka) hiyo ni sheria au katika kuhakikisha unaongeza umakini?

Si kweli kua akikosa moja huondoka. Pale unachofanya ni kuona kana target ame-identify location yako na ukigundua kajua ulipo u may make a second shot japo principal ni one shot one kill.
 
Kichwa kwa kanuni ya one shot one kill ila....oooh, kumbe tuko jamii forum.
 
Si kweli kua akikosa moja huondoka. Pale unachofanya ni kuona kana target ame-identify location yako na ukigundua kajua ulipo u may make a second shot japo principal ni one shot one kill.

Nafikiri umemalizia sahihi zaidi kwa one shot one kill. Hapa aina ya mission na umuhimu wake unahusika sana. Kwa mfano, kama mhusika ni mkuu wa nchi au mtu maarufu mwenye ulinzi mkali, ukimkosa moja hauwezi kujaribu tena kwa sababu tafrani yake ni balaa.
 
Na ni kwa nini hawa wadunguaji wanadili na kichwa tu?

Nadhani ukipiga kichwa uwezekano wa mlengwa kupona ni mdogo sana. Pia kichwa ukilenga ni ngumu kwa mlengwa kutoa ishara ambayo itashtua na wengine. Yaani hiyo mtu akipigwa huwa anadondoka chini hapohapo na ni kimya kimya tuu.
 
Ha ha haaaa. Kama ulikuwa mzuri kwa kuwatungunyua ndege kwa manati, basi upo vzr kwenye fani hii

haaa haa sio masikhara mkuu, hata hii ndege ya urusi iliyodondoka juzi hapo sinai(egypt) ni mimi nime accomplish that mission.
 
haaa haa sio masikhara mkuu, hata hii ndege ya urusi iliyodondoka juzi hapo sinai(egypt) ni mimi nime accomplish that mission.

Copy And Clear Leo Tuna Kudungua Na Wew Ubongo
 
Kama ni hivyo, kwanini hakuna bullet proof ya kichwa, naona wanavaa kifuani tu?

Siku hizi kuna suti, mabegi ya laptop, leso, kofia zenye muonekano wa kawaida, na fulana za kawaida ambavyo ni bullet proof.
Kofia hii hapo chini, ni bullet proof completely.
 
Attachments

  • 1447327628241.jpg
    19.4 KB · Views: 2,073
Siku hizi kuna suti, mabegi ya laptop, leso, kofia zenye muonekano wa kawaida, na fulana za kawaida ambavyo ni bullet proof.
Kofia hii hapo chini, ni bullet proof completely.

Vinaundwa kwa namna gani mpaka kuweza kuzuia kupenya risasi?
 
Kama ndo hivi na mimi ni miongoni mwa masniper maana mpaka leo hii nikishika manati huwa sifanyi makosa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…