Wafahamu nyoka hatari Zaidi duniani

Angalia koboko huyu mdogo alivyomtia adabu simba.na bado amaendelea kugonga mpaka simba amekufa bado anagonga tu.akikomaa huyu hata tembo anashika adabu.
 
hahaha koboko ni aggressive by nature halafu anaConfidence ya ajabu sana....mm nashangaa tu hiyo tabia yao ya kukukimbiza [emoji23][emoji28][emoji23]
 
[emoji23][emoji28][emoji23] unaweza kuta yupo nyuma yako amekufata huko dukani
 
Hakuna nyoka anayekimbiza watu huyo nyoka hayupo duniani labda kwa baadae nyoka wa aina hio atokee .

Mamba kama walivyo nyoka wengine hawapendi usumbufu wakiona unafanya approach kuwasogelea hujiondokea zao

Nyoka mbaya na hatari ni yule hujamuona ukapita jirani yake hapo atafanya striking kama defensive mechanism ila kuhusu kukimbiza hayupo nyoka wa aina hio duniani.
 
Njia ulizotoa sio sahihi black mamba unamkamata nipe fimbo nakukamatia mamba bila kumjeruhi wala kumuua

Mamba akikuona unamfuata anasepa zake ila ukimziba na hana sehemu ya kutoka atarudisha shingo,kichwa nyuma akisubiri umsogelee mita 2 akudonoe only way kaa mita 5 ukiwa na upinde wa fimbo unamkamata

Mamba mbaya ni yule hujamuona ukapita karibu yake bali na hivyo si tishio
 
Niliwahi kuskia nyoka wakigombana na mmoja kuuwawa! Mwenzie anakwenda kuchuma dawa na kumuekea mwenzie..kama binadamu utafanikiwa kuiona dawa basi ni dawa nzuri mno kwa mtu alie umwa na nyoka ..ila nyoka akikuona akiwa anachuma umekwisha..
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…