Wafahamu nyoka hatari Zaidi duniani

Mimi napenda nishuhudie misala ya nyoka nikiwa sehemu salama.
Ila siombei nikutane na nyoka anayetaka kushambulia au niingie ktk himaya yake.
 
Si kweli, koboko unaweza ukqpita hata Mita 2 kutoka Alipo na asikufanye kitu. Koboko ni nyoka mpole sana, kama Huna time nae wala hashughuliki nawewe. Nipo huku mpakani mwa Tabora na Kigoma, wenyeji wanasema kuwa mara nyingi Kabla hujamuona yeye anakuwa ameshakuona kitambo hivyo anakuwa anafuatilia nyendo zako na akiona huna habari naye naye anaendelea kivyake.

Ng'ombe wengi huwa wanagongwa kwasababu wao wanaingia popote bila ustaarabu na bwanamkubwa hapendi, hivyo huwagonga.

Ingawa wenyeji wanasema Kuna baadhi ni nadra huwa wanapatwa na kichaa, sasa hapo ndo tatizo na huyo huwa hatari maana anakausha hata miti Kwa strikes zake
 
Hapa tunaona king cobra kaingia choo cha kike,alijaribu kumla sawaka mdogo,akamgonga nyuma ya kichwa,chatu nae akamyonga wote wakafa chatu alikufa kwa sumu kali na cobra naee alikufa kwa kukosa hewa.

Hii bato natamani nigekua nimekaa pembeni naishuhudia Sasa mamba sumu aliyonayo king cobra anasunibili sana ndo maana watu wanasema mamba aliyekomaa kig cobra hawezi kumgusa
 
tatizo la kule, misitu mingi inaharibiwa na wakata mbao na shughuli zingine za kibinadamu.. miaka ya nyuma unapo elekea sikonge, unaanza kuhisi harufu ya misitu toka ukiwa huko kipara para, ina sasa ivi shughuli za binadamu zimeharibu kila kitu nahisi hata hao nyoka kwa kipindi hiki wamepungua. hii picha ni ya mwaka jana ?
Kama ni miaka mo thn 10 yrs basi hata mapor yale utakuwa umeanza kuyasahau mzee... See dat image hayo ndo pori za kule
 

Koboka Wakubwa waliokomaa wapo Zimbabwe Msumbiji Namibia weka mbali na nyoka wengine hata hapa bongo ukienda katavi unawakuta walikomaa
 
Ya mwaka 2015
 
Hahahahahahaaaaa mkuu nimecheka sana,wakimaliza mapori koboko wataingia mjini THN RAIA WATAENDA WAPI??? Hii imenikumbusha jinsi baadhi ya maeneo ya india vile nwdays wanavyoishi na chui kitaani. Ni shida mkuu
 
ahaha itakua ni tatizo kuwadhibiti, mkoa wenye bado una vi chaka chaka wakiamia huko watapata makazi ndipo usumbufu utapo anza, maana miaka ya nyuma tulikua tukitaga digi digi tunasogea shaba kama unaenda airport, ambapo ni kama mjini tu pale.
Wacha tu,wakiyamalizs mapori koboko wataingia mjini hapo sasa.
 
kwa mara ya mwisho nilienda igombe, pia napo wamechoma sana mapori.. imefikia hadi koboko wanakua wana visit kwenye maeneno ya watu na kuna mmoja walimtwanga lisasi huku nashuudia... wamekua hawa nyoka kwa sasa ivi wanaishi kwa tabu sana, kwa ajiri ya makosa ya kibinadamu

Wacha tu,wakiyamalizs mapori koboko wataingia mjini hapo sasa.
 
Una
Itabidi raia waende kwenye mapori walioyakata wenyewe.
Unajua mara nyingine sisi binadamu tunakuaga kama crazy flani hivi. Yan unakuta mtu anajitengenezea tatizo kubwa kwa hata miaka 20. Cku ambayo tatizo litajitokeza sasa hapo ndo utaona anastuka na kuanza kuangaika kumaliza tatizo ama hata kulikimbia akat chanzo ni yeye mwenyew. Ndo tabora na koboko wanapoelekea sasa
 
Mkuu wewe unajua Nyoka na unajua techniques za kumkamata. Ukikutana na mamba na una fimbo ndefu hata kama amefura Kwa hasira na ukakaa nje striking zone yake hakusogelei na hajaribu, kwasababu tofauti na nyoka au viumbe wengine, Black mamba strikes zake huwa calculated na so deadly, anatumia akili zaidi.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…