Waepuke wanawake masikini

Pumbavu masikini kadange huko akili hamna kutaka miseleleko ya kuhongwa tu Kama matonya
 
Nutshell
 
Ok boss, sawa sawa.
 
Nadhani cha muhimu ni kuwa mtu wa maono mkuu, yaani unaweza kusense potential ya mtu hata akiwa hana mia, unajua nikimvumilia huyu ipo siku atatoboa maana sio bongolala.
Unaweza anza na mwanamke mwenye cha kuweka mezani anachopewa na wazazi wake wa kishua siku wakiondoka au hizo connection zikifa ndo kaishaa sa sijui utamuacha 😅
 
Hawa Malaya kapuku msiwaonee huruma ,treat them like trash .Kwa sababu wewe Kama ukiwa mwanaume broke watakutreat in similar way
 
Ninyi mnaotamba ndio wale mkipata shida mnakuja mitandaoni kuomba misaada uzuri internet haisahau
 
Yap, maono ni muhimu. Lakini ndio lazima kuwe na viashiria. Hata kama hatokei kwenye familia yenye ukwasi au connection angalao ukutane nse kuna kitu anafanya kusogea. Sio unakutana na mtu hana chochote kinachoendelea kwenye maisha yake halafu unafanya gamble eti maono sijui mwanaume ni provider. Aisee huo ujinga siwezi kuruhusu ufanywe na mtoto wangu wa kiume
 
Hawa Malaya kapuku msiwaonee huruma ,treat them like trash .Kwa sababu wewe Kama ukiwa mwanaume broke watakutreat in similar way
Wanawake wanachukizwa sana principles zilezile wanazotumia kuwatreat wanaume masikini zikitumika kuwatreat wao pia.
 
Hii miezi Sita iliyobaki na change life style nimeanza na kuchoma nguo bora nirudie nguo brand ili sio kuyajaza ndani akiba isishuke 50k kuamka mapema sana nusu saa kusoma kitabu nusu saa kuogelea baada ya hapo naingia job mpaka usiku..
 
Short and clear ,kabla mwanaume hajaingia kwenye mahusiano hakikisha kiuchumi uko stable la sivyo ukikutana na ombaomba utakuwa unapiga hatua 6 nyuma 3 mbele hutapiga hatua full stop
Mara nyingi wanaosema kwamba utafute demu ambaye anajiweza wameathiriwa sana na bongo movie na tamthilia ,hakuna mwanamke iwe masikini au tajiri ambaye hataki support ya mwenza wake.

Ukienda kwa mwanamke jua kwamba kuna cost lazima utakuja kuingia ,kama haupo tayari ni bora ukae na fedha zako na yeye abaki na utelezi wake....usitarajie umpalamie umpake "ululu wa ndizi" halafu akikuomba hela ya sabuni na perfume ya kutoa "harufu za ululu wa ndizi" unaanza kupiga mayowe.
 
Utata kwenye uzi wake upo kwenye matumizi ya neno maskini. Kumbe anayezungumziwa ni aina ya mwanamke maskini. Ukitafakari zaidi pia unaona kwamba kinachozungumziwa hapa ni tabia. Ambazo hizo tabia wanazo women wanaojiweza pia.

Yes ,umepigilia msumali ambapo na mimi nilikuwa namwambia.
 
Mkuu umekua mgumu kweki kweli. Hakuna popote palipoandikwa kwamba usimpige tafu mtu wako. Kinachomaanishwa ni kwamba mzigo wa kumbeba masikini ni mkubwa kwa sababu huyu uamwinua from scratch.

Hauwezi ukalinganisha na kumpiga tafu ambaye tayari anajimudu kwa mahitaji yake. Sijui nini ambacho hauelewi
 
 
🤣🤣🤣ululu tenaa mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…