Waepuke wanawake masikini

Umeandika meengi badala ya ku summarize kwamba mwanamke maskini hana shukrani hata ufanyeje lazima liku cheat tuu
 
Mkuu sasa hivi tunafanya assessment kwa kuangalia results, sio potential. Ukishakua tu soft spot hapo hapo ndipo utakapopigiwa KO.
 
Mkuu sasa hivi tunafanya assessment kwa kuangalia results, sio potential. Ukishakua tu soft spot hapo hapo ndipo utakapopigiwa KO.

Kwa iyo brother; ile ya kuchangua "mindset" nzuri ya mwanamke, kuifanyia mentorship na kuiwezesha, haifanyi kazi na haileti matunda siku hizi? 😊
Hata hivyo siwapingi; mna dunia yenu. 😊
 
Movie zinawadanganya jamani πŸ˜ƒ
Wewe masikini huyo tajiri utakutana nae wapi?!
Hela inafata hela, tena bora wanawake akijaliwa kasura na ka shape ana 50% ya kupata tajiri
Ila nyie kaka zangu pambaneni maana mna 2% tu ya kuopoa wa kishua!
 
Sio wanawake tu, hata ndugu jamaa na marafiki ni maadui kwenye progress. Tunapokosea ni kuwapa access kwenye wallet wakati bado tunajitafuta. Mazoea mabaya. Ukiwapa watu pesa zako
Angalao ndugu ni damu yako, ingawa bado ni muhimu kusaidia kwa kiasi
 
Kwa iyo brother; ile ya kuchangua "mindset" nzuri ya mwanamke, kuifanyia mentorship na kuiwezesha, haifanyi kazi na haileti matunda siku hizi? 😊
Hata hivyo siwapingi; mna dunia yenu. 😊
Yote ni muhimu kuyaunganisha kwa pamoja
 
Movie zinawadanganya jamani πŸ˜ƒ
Wewe masikini huyo tajiri utakutana nae wapi?!
Hela inafata hela, tena bora wanawake akijaliwa kasura na ka shape ana 50% ya kupata tajiri
Ila nyie kaka zangu pambaneni maana mna 2% tu ya kuopoa wa kishua!
Substitution ya masikini sio tajiri,na hakuna popote nilipoandika tajiri kwenye post. Nimemaanisha mwanamke ambaye hana kipato wala chochote cha maana kinachoendelea kwenye maisha yake. Jaribuni kusoma between the lines. Maana najikuta narudia rudia kuelezea vitu ambavyo vinaeleweka
 
Umeona hivyo vigezo vyako "mke mrembo"

Unadhani dunia ya kileo kigezo cha wanawake kwenye mahitaji ya kimahusiano ni "Mume Handsome"?
Nimekuuliza
unatafuta
Hawala
shortime
mke
mfanyabiashara mwenzako
au msichana unaye mpenda wewe?
Au Mwanamke wa kutatua changamoto zako?
 
Kwa iyo brother; ile ya kuchangua "mindset" nzuri ya mwanamke, kuifanyia mentorship na kuiwezesha, haifanyi kazi na haileti matunda siku hizi? 😊
Hata hivyo siwapingi; mna dunia yenu. 😊
Mimi kwangu issue ya kuangalia mindset imenipatia majibu mazuri sana.
Huyo binti tulianza wote nikiwa naishi room moja hadi kufikia hatua ya kumiliki nyumba kadhaa tukiwa pamoja.
So, matunda bado yanapatikana. Ni kuiga mambo ya kipuuzi kunakowa cost vijana.
 
Ndio, hii ni fact. Wanawake wazuri, wenye "Mindset" nzuri bado wapo japo kwa uchache sana, ni mtu kufanya juhudi kupata mmoja. 😊
 
Tatizo ndio wenye tako na titi
Kwakweli huwa wanamitako na wazuri kwelikweli.Hapa inahitaji akili izidi hisiaπŸ˜„πŸ˜„Hao wengi siraha yao ni kustarehesha wanaume na wanaume wamahitaji starehe.
Ukizama insta, Tik tok sijui utakutana nao hao mchawi kwao bando tu hawanaga kazi nyingine zaidi ya vizinga na kujipost. Yaan anakupigia simu anaomba elfu 2 aweke bando aingie Tik tok😁😁
 
Naongelea dating au tuseme mahusiano ya boyfriend and girlfriend. Kuweka commitment kwa broke woman kuna risk kubwa zaidi
Kwahiyo
unatafuta dating au kusaidiwa pesa?
kama dating yako tafuta msichana Mrembo ufurahie maisha yako:
kama unatafuta unafuu wa maisha Kuna wanawake watakupa pesa ili wakudeti wewe;
Jinga sana wewe
tafuta hela ili uweze kutongoza Mwanamke unayempenda wewe:
Kama hula hela utatongozwa wewe na ukubali kumfurahisha Mwanamke:
Jinga kabisa wewe
Tafuta hela
Umejidhalilisha sana
Kwanini usideti na hizo pesa zako kichele?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…