Hamissi Hamza Jr
JF-Expert Member
- Apr 16, 2020
- 548
- 1,085
- Thread starter
- #21
Kwa nyumbani Haina shida mkuu,Shida tunachanganya guest na hotel.
Hili la sabuni kutokusafisha uchafu, ni guest tu au hata nyumbani?
Kwasababu Watumiaji ni Wale Wale.
Kwa nyumbani Haina shida mkuu,Shida tunachanganya guest na hotel.
Hili la sabuni kutokusafisha uchafu, ni guest tu au hata nyumbani?
Kuandika haya n uthibitisho una matatizo ya akili piaMiongoni Mwaa Dalili za Changamoto Ya Afya ya Akili Ni
1.kwenda Nyumba za wageni Wakati wewe Ni Mwenyeji.
2.Kutuma Na Ya Kutolea Ili Aje Uyo Unaekutana nae.
3.Kulalia Mashuka Ambayo Wengine Wameyatumia Na Kumwaga Uchafu wao.
4.Kujifutia Taulo Usoni Ambalo Wengine Wamejifutia Kwenye Makalio.
Unaweza kukuta muandishi wa maneno haya anavaa nguo ya mtumba.3.Kulalia Mashuka Ambayo Wengine Wameyatumia Na Kumwaga Uchafu wao.
1)kwani Chief Wewe Ukinunua Mtumba Hua Unavaa Hivyo Hivyo Bila kuurejea Kuusafisha?Unaweza kukuta muandishi wa maneno haya anavaa nguo ya mtumba.
Akiumwa na kulazwa hospital anatumia shuka za hospital.
Tofauti yake na shuka za guest house hapo nini?
Achana na Mambo ya Dini ni UtapeliWewe ni mlokole??
Mkuu Ni kweli Navaa Mitumba kwasababu ndio nguo zetu Sisi ambao umri Umesogea,Ila nikiutoa Dukani kuurejea kuusafisha ni Lazima.Unaweza kukuta muandishi wa maneno haya anavaa nguo ya mtumba.
Akiumwa na kulazwa hospital anatumia shuka za hospital.
Tofauti yake na shuka za guest house hapo nini?
Chief Kama unaona hayamake sense kwako,Pia Na Wewe Una Changamoto zaidi ya alieandikaKuandika haya n uthibitisho una matatizo ya akili pia
No commentSema Neno Mkuu😀
Nani kakuambia shuka za guest house hazifuliwi?1)kwani Chief Wewe Ukinunua Mtumba Hua Unavaa Hivyo Hivyo Bila kuurejea Kuusafisha?
2)Hoja yako Ya pili ni Irrelevant Kwasababu Shuka za Hospital Hazitumiki Kufanyia ngono kwahiyo Uwezi linganisha uchafu wa Wagonjwa na Wa ngono.
Ila wewe unayevaa nguo za mtumba una akili sana!Miongoni Mwaa Dalili za Changamoto Ya Afya ya Akili Ni