wadogo marhaba..wakubwa habari zenu

wadogo marhaba..wakubwa habari zenu

Kimolah

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2011
Posts
571
Reaction score
775
kiukweli sikuwahi kufikiria kujitambulisha ...lakini baada ya kukaa na kulitafakari jambo hili, nikafikia uamuzi wa kujitambulisha... naitwa "Kimolah" nitaendelea kuwepo humu kujadiliana na ku-share kile ninachofahamu..naomba ushirikiano wenu,,...
 
Dogo ebu amkia! Unapenda shikamoo halafu wewe utaki kuamkia wakubwa zako.
Anyway Karibu sana Jamvini
 
karibu sana .... mabumunda ndicho chakula kikuu humu JF
 
Welcome. Kalisha Masabur yako chini.
 
kiukweli sikuwahi kufikiria kujitambulisha ...lakini baada ya kukaa na kulitafakari jambo hili, nikafikia uamuzi wa kujitambulisha... naitwa "Kimolah" nitaendelea kuwepo humu kujadiliana na ku-share kile ninachofahamu..naomba ushirikiano wenu,,...

......................kimola,karibu sana uamuzi wako wa kujitambulisha ni mzuri,.......................hawajambo huko planet earth,.............................sio kila kiaandikwacho kina maana,mengine ni maandishi tuu......................karibu sana
 
kwa kweli weka kipulizo chako jamvini hapa ni kwenu ati!
 
Back
Top Bottom