Wadau, wapi nitapata betri orijino ya Galaxy J2 Pro

GANG MO

JF-Expert Member
Dec 6, 2016
2,087
2,193
habari ya wakati huu wadau. ninatumia Samsung J2 Pro kwa miaka mitatu sasa. lakini sasa betri yake imechoka. ikiwa na asilimia 30 simu inazima pia betri yake imevimba. Naombeni mnijuze wapi naweza pata betry yake orijino. nipo Iringa. Natanguliza shukrani
 
Back
Top Bottom