Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 59,589
- 134,226
- why not elevate all funds to pay like those with higher benefits?
- still doesn't make sense kupunguza mafao, where is the free market,
- let people choose what is the best for them na mifuko ishindane kwa kutoa mafao bora.
- Ikiwa all funds will have the same benefits whats the point of having 6 or 7 of them?
- why not have only one to reduce operation cost?
- Uwezo wa mifuko kulipa kiwango fulani cha pensheni unakuwa determined ni kitu kinaitwa actuarial valuation, ambapo uthamani wa mfuko unapimwa kwa kuangalia treand ya michango ya wanachama, investment portfolio, return za investment, na idadi ya wanachama watakaostaafu within a specific period of time, mfano waajiriwa wapya wa mwaka huu, wataanza kuastaafu baada ya miaka 30 ijayo, jumla ya yote haya inaitwa "afya ya mfuko!", ili mfuko ulipe mafao bora, lazima mfuko huo uwe na afya bora ya kihivyo. PSPF na LAPF wao waliweza kwa sababu ilikuwa ni mifuko ya serikali, mwanachama akivchangia only 5% na serikali kumchangia 15%, hivyo the biggest contribution ni kutoka serikalini!. Ili ku harmonize, zimechukuliwa hizo actuarial valuation za mifuko yote, zikapimwa kitaalamu kuhusu afya zake ndipo wakafikia viwango hivyo vipya, ambapo sasa PSPF na LAPF imekutwa ilikuwa inalipa too much wakati NSSF, PPF na GEPF ilikuwa inalipa too little!. Kulizamisha hawa walipaji too little nao walipe tuu much ingeleta colapse!. Hivyo ikaamuliwe waongeze na wale wa tuu much wapunguze!.
- SSRA ni regulator, alipogundua baadhi ya mifuko inapunja, sasa ndio ameilazimisha lazima nayo ilipe vizuri, pamoja na uwepo wa soko huria, baadhi ya sekta muhimu za huduma za jamii bado lazima zidhibitiwe zikiwemo utilities, pension funds, communications, etc ndio maana kuna EWURA, SUMATRA, TCRA, TCAA etc!.
- Baada ya kuwekwa uniform formular, sasa mifuko itashindana kwa added value, ndio maana unaona sasa watu wanakopeshwa nyumba!, soon utakuja mfuko na fao la gari kwa wanachama wapya!, kuna fao la uzazi, litakuja fao la ndoa kwa wanachama wapya atc, hivyo mpango huu, utawafaidisha zaidi wanachama kuliko sasa.
- Hii ni changamoto
- I share the same view, siku nikienda SSRA haya mawili ya mwisho nitayaulizia!.
Pasco.
