Wadau wa mifuko ya hifadhi ya jamii kiama chaja

Sakhalala

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2011
Posts
574
Reaction score
445
Baada ya furaha au maudhi ya ujio wa katiba mpya inayopendekezwa na CCM sasa tujiandae wafanyakazi na janga kubwa zaidi ya dhuluma inayokwenda kupitishwa na bunge la JMT lijalo huenda kupitia mswaada mpya wa mifuko ya hifadhi ya jamii.

Inasemakana baada ya Serikali kuifilisi mifuko hii na kujikuta haitaweza kuhudumia wanachama wake imeamua kuisaidia mifuko hii kwa kuwadhulumu wanachama wa mifuko hii kwa kupunguza mafao na kuilazimisha mifuko yote kufuata utaratibu mpya unaofanana wa kutoa mafao kwa wastaafu na wanaojitoa.

Najua kwenye hili hakuna wa CCM wala waupinzani atakayepona - wote tutaathirika ikiwa tutairuhusu sheria hii mpya ipite. Hili labda litatuunganisha wafanyakazi wote na kusimama pamoja kuzuia dhuluma hii.

Enzi za NPF nakumbuka ukijitoa ulikuwa unahesabiwa michango yako yote na kupewa asilimia nne ( 4% ) kama faida, baadaye baada ya kuja NSSF wakaondoa faida ya asilimia nne wakaleta utaratibu wa kukokotoa kutokana na mshahara wako wa mwisho mara miezi uliyochangia, baadaye wakaja na wastani wa mishahara yako ya miezi mitatu inayofuatana na sasa inasemekana sheria mpya inapendekeza wastani wa mishahara ya 36, yaani miaka mitatu na bado hutapewa zote ila utapewa kidogo kidogo kwa muda wa miaka fulani. Nawaomba tafuteni gazeti la mawio la tarehe 25 Sept. - 1st Oct. 2014 namba 0114.

Najua wako wafanyakazi ambao wako well informed juu ya hili naomba wataweka data sawa sawa humu na kuweka soft copy ya habri hii toka gazeti la mawio nililotaja hapa.

Serikali hii inayodhulumu hata raia wake kwa kweli inatisha, nimeona leo kwenye mabango ya walimu walioandamana kule Bukoba wameligusia hili hakika tusiposimama kama awali kwenye jaribio la kuondoa mafao ya kujitoa tutaliwa safari hii tena vibaya sana.

Naomba kuwasilisha wafanyakazi wenzangu.
 
Nchi imejaa wajinga na werevu japo wachache lakini waoga, lazima tuingiliwe kinyume cha maumbile
 
Machafuko katika nchi hii are around the corner.Katiba hii ya kipumbavu+mafao+ugumu wa maisha= Machafuko makubwa sana yaja.
2015 naona kama vile ni mbali sana ikiwezekana hata kama ni mapinduzi yafanyike ili kui-resque(kuiokoa) hii nchi.Sasa hivi hakuna njia nyingine tofauti na Violence.
 
Mbunge akimaliza kipindi chake cha ubunge anapewa 100% ya mafao yake kwa mkupuo lakini mfanyakazi wa serikali anayechangia kwenye mifuko ya hifadhi ya jamii, pamoja na kupunjwa mafao, awe anapewa 25% tu ya mafao yake kwa mkupuo, mengine (asilimia 75) yanabaki kwenye mfuko na anapewa kidogo kidogo tena bila riba?
 
Baada ya furaha au maudhi ya ujio wa katiba mpya inayopendekezwa na CCM sasa tujiandae wafanyakazi na janga kubwa zaidi ya dhuluma inayokwenda kupitishwa na bunge la JMT lijalo huenda kupitia mswaada mpya wa mifuko ya hifadhi ya jamii. Inasemakana baada ya Serikali kuifilisi mifuko hii na kujikuta haitaweza kuhudumia wanachama wake imeamua kuisaidia mifuko hii kwa kuwadhulumu wanachama wa mifuko hii kwa kupunguza mafao na kuilazimisha mifuko yote kufuata utaratibu mpya unaofanana wa kutoa mafao kwa wastaafu na wanaojitoa.
Najua kwenye hili hakuna wa CCM wala waupinzani atakayepona - wote tutaathirika ikiwa tutairuhusu sheria hii mpya ipite. Hili labda litatuunganisha wafanyakazi wote na kusimama pamoja kuzuia dhuluma hii.
Enzi za NPF nakumbuka ukijitoa ulikuwa unahesabiwa michango yako yote na kupewa asilimia nne ( 4% ) kama faida, baadaye baada ya kuja NSSF wakaondoa faida ya asilimia nne wakaleta utaratibu wa kukokotoa kutokana na mshahara wako wa mwisho mara miezi uliyochangia, baadaye wakaja na wastani wa mishahara yako ya miezi mitatu inayofuatana na sasa inasemekana sheria mpya inapendekeza wastani wa mishahara ya 36, yaani miaka mitatu na bado hutapewa zote ila utapewa kidogo kidogo kwa muda wa miaka fulani. Nawaomba tafuteni gazeti la mawio la tarehe 25 Sept. - 1st Oct. 2014 namba 0114. Najua wako wafanyakazi ambao wako well informed juu ya hili naomba wataweka data sawa sawa humu na kuweka soft copy ya habri hii toka gazeti la mawio nililotaja hapa.
Serikali hii inayodhulumu hata raia wake kwa kweli inatisha, nimeona leo kwenye mabango ya walimu walioandamana kule Bukoba wameligusia hili hakika tusiposimama kama awali kwenye jaribio la kuondoa mafao ya kujitoa tutaliwa safari hii tena vibaya sana.
Naomba kuwasilisha wafanyakazi wenzangu.

Badala ya kuwa fear monger ilitakiwa utudadavulie kwa uwazi tofauti hizo za mifumo ya mafao ya zamani na mapya. Hivi ilivyokaa ni vigumu kuchangia kwani mtoa mada mwenyewe unaonekana kutoelewa vizuri unachokianzisha.
 
TUCTA kimbilio letu walishanyooshwa nani apige filimbi? Bila kuwa na chombo chenye nguvu kutuunganisha hatuwezi kupambana mmoja mmoja......TUCTA walikuwa wanaelekea kuinyoosha hii nchi lakini sasa wameshanyooshwa kisawasawa ......tutaishia kulalamika tu.....
 
C mnaipenda ccm, ipitisheni katiba yenu wafanyakazi mmepewa haki ya kugoma
 
Machafuko katika nchi hii are around the corner.Katiba hii ya kipumbavu+mafao+ugumu wa maisha= Machafuko makubwa sana yaja.
2015 naona kama vile ni mbali sana ikiwezekana hata kama ni mapinduzi yafanyike ili kui-resque(kuiokoa) hii nchi.Sasa hivi hakuna njia nyingine tofauti na Violence.

Ndugu kwa tz hii?? Mambo ya BMK yameonyesha uwezo wetu wa AKILI tulizo nazo,,,!
 
Baada ya furaha au maudhi ya ujio wa katiba mpya inayopendekezwa na CCM sasa tujiandae wafanyakazi na janga kubwa zaidi ya dhuluma inayokwenda kupitishwa na bunge la JMT lijalo huenda kupitia mswaada mpya wa mifuko ya hifadhi ya jamii. Inasemakana baada ya Serikali kuifilisi mifuko hii na kujikuta haitaweza kuhudumia wanachama wake imeamua kuisaidia mifuko hii kwa kuwadhulumu wanachama wa mifuko hii kwa kupunguza mafao na kuilazimisha mifuko yote kufuata utaratibu mpya unaofanana wa kutoa mafao kwa wastaafu na wanaojitoa.
Najua kwenye hili hakuna wa CCM wala waupinzani atakayepona - wote tutaathirika ikiwa tutairuhusu sheria hii mpya ipite. Hili labda litatuunganisha wafanyakazi wote na kusimama pamoja kuzuia dhuluma hii.
Enzi za NPF nakumbuka ukijitoa ulikuwa unahesabiwa michango yako yote na kupewa asilimia nne ( 4% ) kama faida, baadaye baada ya kuja NSSF wakaondoa faida ya asilimia nne wakaleta utaratibu wa kukokotoa kutokana na mshahara wako wa mwisho mara miezi uliyochangia, baadaye wakaja na wastani wa mishahara yako ya miezi mitatu inayofuatana na sasa inasemekana sheria mpya inapendekeza wastani wa mishahara ya 36, yaani miaka mitatu na bado hutapewa zote ila utapewa kidogo kidogo kwa muda wa miaka fulani. Nawaomba tafuteni gazeti la mawio la tarehe 25 Sept. - 1st Oct. 2014 namba 0114. Najua wako wafanyakazi ambao wako well informed juu ya hili naomba wataweka data sawa sawa humu na kuweka soft copy ya habri hii toka gazeti la mawio nililotaja hapa.
Serikali hii inayodhulumu hata raia wake kwa kweli inatisha, nimeona leo kwenye mabango ya walimu walioandamana kule Bukoba wameligusia hili hakika tusiposimama kama awali kwenye jaribio la kuondoa mafao ya kujitoa tutaliwa safari hii tena vibaya sana.
Naomba kuwasilisha wafanyakazi wenzangu.

kweli kama wafanyakazi tunaumizwa saana na serikali,ILA tatizo hatuna umoja na vyama vya wafanyakazi navyo hovyo Tu,in addition to that Ssra na Ppf wamekula njama ya kuweka formula ili kuuwa ushindani,in normal circumstance u need to control cost incurred by consumers \staff not benefits they receive,kwa Hilo nalo wafanyakazi tumekaa kimya,wanapenda saana wafanyakazi WA afrika kusini wana umoja Sana.tukicheza na nyani tutavuna mabua
 
Wawe makini hali hiyo inaweza kuchochea wizi Sana wa Mali ya umma huko SErikalini
 
Baada ya furaha au maudhi ya ujio wa katiba mpya inayopendekezwa na CCM sasa tujiandae wafanyakazi na janga kubwa zaidi ya dhuluma inayokwenda kupitishwa na bunge la JMT lijalo huenda kupitia mswaada mpya wa mifuko ya hifadhi ya jamii. Inasemakana baada ya Serikali kuifilisi mifuko hii na kujikuta haitaweza kuhudumia wanachama wake imeamua kuisaidia mifuko hii kwa kuwadhulumu wanachama wa mifuko hii kwa kupunguza mafao na kuilazimisha mifuko yote kufuata utaratibu mpya unaofanana wa kutoa mafao kwa wastaafu na wanaojitoa.
Najua kwenye hili hakuna wa CCM wala waupinzani atakayepona - wote tutaathirika ikiwa tutairuhusu sheria hii mpya ipite. Hili labda litatuunganisha wafanyakazi wote na kusimama pamoja kuzuia dhuluma hii.
Enzi za NPF nakumbuka ukijitoa ulikuwa unahesabiwa michango yako yote na kupewa asilimia nne ( 4% ) kama faida, baadaye baada ya kuja NSSF wakaondoa faida ya asilimia nne wakaleta utaratibu wa kukokotoa kutokana na mshahara wako wa mwisho mara miezi uliyochangia, baadaye wakaja na wastani wa mishahara yako ya miezi mitatu inayofuatana na sasa inasemekana sheria mpya inapendekeza wastani wa mishahara ya 36, yaani miaka mitatu na bado hutapewa zote ila utapewa kidogo kidogo kwa muda wa miaka fulani. Nawaomba tafuteni gazeti la mawio la tarehe 25 Sept. - 1st Oct. 2014 namba 0114. Najua wako wafanyakazi ambao wako well informed juu ya hili naomba wataweka data sawa sawa humu na kuweka soft copy ya habri hii toka gazeti la mawio nililotaja hapa.
Serikali hii inayodhulumu hata raia wake kwa kweli inatisha, nimeona leo kwenye mabango ya walimu walioandamana kule Bukoba wameligusia hili hakika tusiposimama kama awali kwenye jaribio la kuondoa mafao ya kujitoa tutaliwa safari hii tena vibaya sana.
Naomba kuwasilisha wafanyakazi wenzangu.
Mkuu Mkuruka, acha kukuruka!, usitishe watu humu na kuwatia kiwewe na kihoro!, sheria hii mpya sio retro respective, hivyo itaanza kutumika kwa waajiriwa wapya tuu!.

Wale wafanyakazi wengine wote wa zamani, wataendelea kulipwa kwa viwango vile vile vya zamani!.

Pasco
 
Hata mimi nisiejua kuandamana siku zote kwa hili nitaandamana
 
Hii ndio dawa pekee kwa watz...
Kiminyo mbele nyuma, si tunajifanya hatujali...!
Mijitu ya hili taifa ni hovyo
 
Bwana Kipimapembe ndio maana nimesema tangu mwanzo kuwa humu mna wanaojua wanaweza kutupa zaidi kwani nilichokijua mimi ndio nilichokiweka hapa. Kama nawewe hujui basi niunge mkono katika kuwaomba wenye data za kutosha watuongezee au kukosoa nilipokosea, ndio maana ya mjadala ndugu yangu.
 
niliwahi hudhuria kikao cha tamiko, nikauliza iwapo muajiri ni mbabe hafati sheria za ajira ,nguvu yenu inaishia wapi/ mtamfanya nini?. nikaambiwa tutategemea nguvu ya umma!?? nikajiuliza kwa huu umma wa watanzania??? nikadharau tamiko toka siku hiyo.
 
Mkuu Mkuruka, acha kukuruka!, usitishe watu humu na kuwatia kiwewe na kihoro!, sheria hii mpya sio retro respective, hivyo itaanza kutumika kwa waajiriwa wapya tuu!.

Wale wafanyakazi wengine wote wa zamani, wataendelea kulipwa kwa viwango vile vile vya zamani!.

Pasco

bro Pasco hawa waajiriwa wapya sio watanzania???sheria mpya ambayo inadhaniwa kuwa ya kinyonyaji haitawaathiri???
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom