Wadau wa mifuko ya hifadhi ya jamii kiama chaja

Mkuu Mkorosho, kilichofanyika ni kitu kinaitwa harmonisation ili mifuko yote itumie standard formulat kukokotoa mafao!. Kabla ya hapo Watumishi waserikali kuu kupitia PSPF na Watumishi wa serikali za mitaa kupitia LAPF ndio wenyewe walikuwa walipwa mafao manono, wakati mifuko ya PPF, NSSF na GEPF wao walitoa mafao kiduchu!. Kwa LAPF na PSPF, mtuymishi alikuwa anakatwa 5% ya mshahara wake na mwajiri anamchangia 15%, jumla ni 20%, mwisho wa siku, anavuta bulungutu la ajabu. Mifuko mingine, mfanyakazi anakatwa 10% na mwajiri anachangia 10%, ila kutokana na kikokotoo kupishana, wastaafu wa NSSF, PPF na GEPF ended up with peanut, huku wenzao wa PSPF na LAPF wakitoka na fungu nene, nono!.

Ujio wa mamlaka ya udhibiti mifuko ya hifadhi za jamii, SSRA, ikaamua ku harmonise, kikokotoo kimoja kwa mifuko yote na mafao yanayolingana kwa wote, hivyo waathirika wakubwa wangekuwa wanachama wa LAPF na PSPF mafao manono yao yangeshuka, huko NSSF, PPF na GEPF kiwango kitapanda!.

Kwa vile sheria hii itawahusu wanachama wapya tuu!, you can never miss what you never had!.

Pasco.

Kama ni harmonization for public good wote wangeenda upande wa LAPF!!!!
Hivi unajua nyakati hizi watu wana uelewa sana kuliko kipindi ioe watu wanaamini kila losemwalo kwenye TV???!!
 
Mkuu Mkuruka, acha kukuruka!, usitishe watu humu na kuwatia kiwewe na kihoro!, sheria hii mpya sio retro respective, hivyo itaanza kutumika kwa waajiriwa wapya tuu!.

Wale wafanyakazi wengine wote wa zamani, wataendelea kulipwa kwa viwango vile vile vya zamani!.

Pasco

Mkuu mbona unaonesha kutokua na umoja?kwani hao wafanyakazi wapya kwanini wasifaidike na mifuko ya jamii kama utakavyofaidika wewe?
 
Unajua tatizo tunalalamika sana bila ya kuja na solution.
 
Mkuu Mkuruka, acha kukuruka!, usitishe watu humu na kuwatia kiwewe na kihoro!, sheria hii mpya sio retro respective, hivyo itaanza kutumika kwa waajiriwa wapya tuu!.

Wale wafanyakazi wengine wote wa zamani, wataendelea kulipwa kwa viwango vile vile vya zamani!.

Pasco

we kweli sifuri kabisa, unatumika hadi unasahau mambo ya msingi, aibu tupu, kwa wanao ni sawa kudhulumika? this is too much, I never thought the level of stupidity is this high. hata aibu huna kuandika ujinga kama huo? ------ like you deserve no place on earth.
 
Kumbe na wewe ni mbinafsi kwa kiwango hiki?
 
Watanzania wajinga na wamefundishwa woga na wamefaulu mtihani huo kwahiyo viongozi wa serikali inawajua vzr na wanajua na hili litapita pia.
Narudia tena watanzania ni wajinga na hakuna lolote litakalofanyika,kwanza hao wafanyakazi hawajiamini na wanajichuuza kwa bei ya kutupa.
Hiki kitakuwa kipindi cha rushwa na itaishia kwenye kupiga kura na kutangaziwa sheria na kuifuata.
 
we kweli sifuri kabisa, unatumika hadi unasahau mambo ya msingi, aibu tupu, kwa wanao ni sawa kudhulumika? this is too much, I never thought the level of stupidity is this high. hata aibu huna kuandika ujinga kama huo? ------ like you deserve no place on earth.
Kiukweli humu jf, tuna mijitu mijinga ajabu!.

Tanzania tunamifuko 6 ya hifadhi ya jamii, LAPF, PSPF, NSSF, PPF, GEPF na NHIF!. Kati ya hiyo mifuko 6, ni mifuko miwili tuu, PSPF ya wafanyakazi wa serikali kuu na LAPF ya wafanyakazi wa serikali za mitaa, ndio imekuwa inalipa donge nono!, mifuko mingine yote inalipa kiduchu!. Harmonization imewapunguzia kidogo wale waliokuwa wanapata donge nono, na kuilazimisha mifuko kuongeza donge nono kwa wale wanaopata kiduchu ili wastaafu wote nchini wafananie, wote wapate donge nono!.

A very very stupid person ni yule asiyejua kuwa lengo la hii harmonisation ni kuwafanya sasa wastaafu wote wafaidike hivyo ni wengi zaidi sasa watapata donge nono!, kuliko zamani wachache ndio wanapata donge nono, na wengi wanapata kiduchu!.

Ile mifuko miwili ya donge nono kabisa, PSPF na LAPF, wale ambao sheria hii imewakuta, wao wataendelea kuvuta donge nono kabisa, ila kwa waajiriwa wapya, sasa watavuta donge nono kidogo ukilinganisha na wale wa zamani, lakini kwa mifuko ya PPF, NSSF na GEPF, ambao walikuwa wanapata kiduchu, sasa nao watavuna donge nono!.

Mijitu mingine bwana, yaani! ...wee acha tuu!.

Pasco
 
Kumbe na wewe ni mbinafsi kwa kiwango hiki?
Lati ungeelewa kuwa mimi sii mtumishi wa umaa wala sii mtumishi wa serikali, wala sii mtumishi wa shirika lolote, mimi ni mwandishi tuu wa habari tena niko jobless!.

Pasco
 
Nakuelewa Pasco, ingawa sheria hiyo inatoa pia fursa kwa waliojiajiri kama wewe na hata wakulima kuwa wachangiaji na kuwa wastaafu watarajiwa.Hivyo sidhani sana kama hiyo ni excuse
 
Lati ungeelewa kuwa mimi sii mtumishi wa umaa wala sii mtumishi wa serikali, wala sii mtumishi wa shirika lolote, mimi ni mwandishi tuu wa habari tena niko jobless!.

Pasco

Nakuelewa Pasco, ingawa sheria hiyo inatoa pia fursa kwa waliojiajiri kama wewe na hata wakulima kuwa wachangiaji na kuwa wastaafu watarajiwa.Hivyo sidhani sana kama hiyo ni excuse
 
Mkuu Mkorosho, kilichofanyika ni kitu kinaitwa harmonisation ili mifuko yote itumie standard formulat kukokotoa mafao!. Kabla ya hapo Watumishi waserikali kuu kupitia PSPF na Watumishi wa serikali za mitaa kupitia LAPF ndio wenyewe walikuwa walipwa mafao manono, wakati mifuko ya PPF, NSSF na GEPF wao walitoa mafao kiduchu!. Kwa LAPF na PSPF, mtuymishi alikuwa anakatwa 5% ya mshahara wake na mwajiri anamchangia 15%, jumla ni 20%, mwisho wa siku, anavuta bulungutu la ajabu. Mifuko mingine, mfanyakazi anakatwa 10% na mwajiri anachangia 10%, ila kutokana na kikokotoo kupishana, wastaafu wa NSSF, PPF na GEPF ended up with peanut, huku wenzao wa PSPF na LAPF wakitoka na fungu nene, nono!.

Ujio wa mamlaka ya udhibiti mifuko ya hifadhi za jamii, SSRA, ikaamua ku harmonise, kikokotoo kimoja kwa mifuko yote na mafao yanayolingana kwa wote, hivyo waathirika wakubwa wangekuwa wanachama wa LAPF na PSPF mafao manono yao yangeshuka, huko NSSF, PPF na GEPF kiwango kitapanda!.

Kwa vile sheria hii itawahusu wanachama wapya tuu!, you can never miss what you never had!.

Pasco.
Mkuu Pasco aksante kwa ufafanuzi.
Ila ukweli ni kuwa hii sheria imeletwa kuinusuru nssf na ppf ambazo zipo hoi bin taabani kwasasa ,kwasababu zifuatazo.
1. Fedha kuchukuliwa/kukopeshwa serikali.
2. Kuanzisha miradi mingi isiyorudisha faida aidha kifisadi au kwa shinikizo la serikali.
3. Kukosa mvuto kwa hivyo kupelekea kukosa wanachama wapya kwa kuzidiwa ujanja na pspf na lapf.....
Hapo sababu nazo ni.....
1. Wanakata wafanyakazi 10% na mwajiri 10% wakati wenzao wa lapf na pspf mfanyakazi anakatwa 5% wakati mwajiri 15%.
2. Wakati wenzao pspf na lapf wanafomula inayoeleweka wao wanafomula za ukanjanja
3. Wakati wenzao pspf na lapf ukihitaji fao lako na ukawasilisha documents zako na nikawa hazina kasoro hata ndani ya wiki malipo yako unapata wao inakubidi usubiri miezi 6.
4. Wakati pspf na lapf wao wanatoa kiinua mgongo kikubwa na monthly pension ya wastani wao wanalipa kiinua mgongo kiduchu na monthly pension ipo juu.

Kwahiyo ukiangalia hapo juu Mifuko kongwe ya nssf na ppf inaelekea kushindwa ushindani na Mifuko ya pspf na lapf.
Sasa ukiangalia lapf na pspf inawanufaisha wafanyakazi , sasa km dhumuni ni wafanyakazi Kwanini hiyo sheria isingekuwa ya kuifanya nssf na ppf kufuata fomula ya lapf na pspf ambayo kwa namna fulani mfanyakazi anafaidika zaidi.?
Jibu ni jepesi tu , ni kwamba ppf na nssf zimefilisika.
 
Last edited by a moderator:
Kama ni harmonization for public good wote wangeenda upande wa LAPF!!!!
Hivi unajua nyakati hizi watu wana uelewa sana kuliko kipindi ioe watu wanaamini kila losemwalo kwenye TV???!!

Mkuu hiyo kitu imeletwa kuinusuru nssf na ppf ambazo nakuhakikishia kwa sasa hawapati wanachama wapya.
 
Kiukweli humu jf, tuna mijitu mijinga ajabu!.

Tanzania tunamifuko 6 ya hifadhi ya jamii, LAPF, PSPF, NSSF, PPF, GEPF na NHIF!. Kati ya hiyo mifuko 6, ni mifuko miwili tuu, PSPF ya wafanyakazi wa serikali kuu na LAPF ya wafanyakazi wa serikali za mitaa, ndio imekuwa inalipa donge nono!, mifuko mingine yote inalipa kiduchu!. Harmonization imewapunguzia kidogo wale waliokuwa wanapata donge nono, na kuilazimisha mifuko kuongeza donge nono kwa wale wanaopata kiduchu ili wastaafu wote nchini wafananie, wote wapate donge nono!.

A very very stupid person ni yule asiyejua kuwa lengo la hii harmonisation ni kuwafanya sasa wastaafu wote wafaidike hivyo ni wengi zaidi sasa watapata donge nono!, kuliko zamani wachache ndio wanapata donge nono, na wengi wanapata kiduchu!.

Ile mifuko miwili ya donge nono kabisa, PSPF na LAPF, wale ambao sheria hii imewakuta, wao wataendelea kuvuta donge nono kabisa, ila kwa waajiriwa wapya, sasa watavuta donge nono kidogo ukilinganisha na wale wa zamani, lakini kwa mifuko ya PPF, NSSF na GEPF, ambao walikuwa wanapata kiduchu, sasa nao watavuna donge nono!.

Mijitu mingine bwana, yaani! ...wee acha tuu!.

Pasco

at least umefuta ujinga wako wa mwanzo, mpaka upigwe shoti ndo uongoee mambo ya maana, now we can argue!
why not elevate all funds to pay like those with higher benefits? still doesn't make sense kupunguza mafao, where is the free market, let people choose what is the best for them na mifuko ishindane kwa kutoa mafao bora. Ikiwa all funds will have the same benefits whats the point of having 6 or 7 of them? why not have only one to reduce operation cost?
 
Uelimishaji umma, unaendelea!, ushirikishwaji waajiriwa wapya umefanyika!, vyama vya wafanyakazi, waajiri, vinajua A-Z!.
Pasco

Wakati mwingine Jifunze kuwa na fikra za mbali japo kidogo. Taratibu huu umelenga kumpunguzia mwajiriwa kiinua mgongo wakati wa kustaafu kwa kisingizio cha kumwongezea pension. Huu ni upumbavu wa hali juu. Mtu akifariki mwezi mmoja Baada ya kustaafu maana yake ndio kapoteza hivyo. Sio yeye tena wala familia yake itakayofaidika na utararibu huu, bali mafisadi ambao kila Mara akili zao zinawaza wapi wakakwapue mamilioni ya pesa. Huu ni wezi na serikali inataka kuiba tena mchana kweupe. Walaaniwe wote wanaotaka kuleta huu upuuzi.
 
Lati ungeelewa kuwa mimi sii mtumishi wa umaa wala sii mtumishi wa serikali, wala sii mtumishi wa shirika lolote, mimi ni mwandishi tuu wa habari tena niko jobless!.

Pasco
Unatumika na mamvi!
 
Wakati mwingine Jifunze kuwa na fikra za mbali japo kidogo. Taratibu huu umelenga kumpunguzia mwajiriwa kiinua mgongo wakati wa kustaafu kwa kisingizio cha kumwongezea pension. Huu ni upumbavu wa hali juu. Mtu akifariki mwezi mmoja Baada ya kustaafu maana yake ndio kapoteza hivyo. Sio yeye tena wala familia yake itakayofaidika na utararibu huu, bali mafisadi ambao kila Mara akili zao zinawaza wapi wakakwapue mamilioni ya pesa. Huu ni wezi na serikali inataka kuiba tena mchana kweupe. Walaaniwe wote wanaotaka kuleta huu upuuzi.
Unahangaika na Pasco? Huyo ni mwana CCM aliyekubuhu. Wana CCM tunajuana. Kaja hapa ku spin na mijinga itamwamini
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Pasco aksante kwa ufafanuzi.
Ila ukweli ni kuwa hii sheria imeletwa kuinusuru nssf na ppf ambazo zipo hoi bin taabani kwasasa ,kwasababu zifuatazo.
1. Fedha kuchukuliwa/kukopeshwa serikali.
2. Kuanzisha miradi mingi isiyorudisha faida aidha kifisadi au kwa shinikizo la serikali.
3. Kukosa mvuto kwa hivyo kupelekea kukosa wanachama wapya kwa kuzidiwa ujanja na pspf na lapf.....
Hapo sababu nazo ni.....
1. Wanakata wafanyakazi 10% na mwajiri 10% wakati wenzao wa lapf na pspf mfanyakazi anakatwa 5% wakati mwajiri 15%.
2. Wakati wenzao pspf na lapf wanafomula inayoeleweka wao wanafomula za ukanjanja
3. Wakati wenzao pspf na lapf ukihitaji fao lako na ukawasilisha documents zako na nikawa hazina kasoro hata ndani ya wiki malipo yako unapata wao inakubidi usubiri miezi 6.
4. Wakati pspf na lapf wao wanatoa kiinua mgongo kikubwa na monthly pension ya wastani wao wanalipa kiinua mgongo kiduchu na monthly pension ipo juu.

Kwahiyo ukiangalia hapo juu Mifuko kongwe ya nssf na ppf inaelekea kushindwa ushindani na Mifuko ya pspf na lapf.
Sasa ukiangalia lapf na pspf inawanufaisha wafanyakazi , sasa km dhumuni ni wafanyakazi Kwanini hiyo sheria isingekuwa ya kuifanya nssf na ppf kufuata fomula ya lapf na pspf ambayo kwa namna fulani mfanyakazi anafaidika zaidi.?
Jibu ni jepesi tu , ni kwamba ppf na nssf zimefilisika.
Mkuu Asakuta, asante kiwa hii, maadam umeuliza swali na kujijibu mwenyewe, mimi sina la kuongezea!.

Pasco.
 
Unahangaika na Pasco? Huyo ni mwana CCM aliyekubuhu. Wana CCM tunajuana. Kaja hapa ku spin na mijinga itamwamini
. Mkuu Chalinze, umrsema ukweli kabisa, kwenye website ya CCM inaonyesha wana wanachama 6,000,000. Ndani ya hesabu hiyo, na mimi nimo, maana nilipopita JKT niliingizwa kwa lazima, ila amini usiamini, hiyo kadi ya chama sikuwahi kuichukua, kuilipia!, wala kuitolea machango wowote, ndio maana chama kinachojitapa kina wanachama milioni 6!, kisha mgombea wa CCM anakuja kushinda urais kwa kura milioni 5 tuu!.

Tena ni afadhali yangu!, kkuna mwanachama fulani maarufu sana wa CCM, yeye amejiunga upinzani, ila kadi yake ya CCM hakuirudisha kama wafanyavyo wengi wanaiongia upinzani, yeye kaitunza vizuri sandukuni!, kwa maelezo ni "kumbukumbu", na huku nyuma wamejitokeza wasamaria na kuilipia hadi 2015!, ili wamsubirie tuu, akijaza fomu kugombea, pingamizi litapelekwa Tume ya uchaguzi, kumthibitisha ni mwanachama wao, na uthibitisho wa malipo wenye jina lake!.

Hivyo kama ni kweli sisi ni wana CCM tunaojuana, then nawafanyia kazi nzuri sana CCM humu jukwaani, kwa sababu mimi ni miongoni mwa wana jf wa mwanzo kabisa kumsifia Mwenyekiti wetu kuwa ni "Mr. Dhaifu!", kisha nikaisifia sana CCM kwa jinsi ilivyochokwa!, etc!.

Pitia hizi baadhi ya nyuzi uone jinsi mwana CCM, Pasco wa JF anavyoipigia debe CCM!.

[h=3]Tudadili Mapungufu ya JK: Ni Kiongozi Dhaifu!. [/h][h=3]CCM Imechokwa!.[/h][h=3]Mtazamo: Kanda ya Kaskazini, CCM imechokwa mpaka basi![/h][h=3]Yametimia!, CCM Imechokwa!, Chadema Njia Nyeupe 2015 [/h][h=3]Kuelekea 2015: Chadema Kuchukua Nchi Kwa Kishindo!..[/h]
CCM Oye!.

Pasco.
 
Back
Top Bottom