Punguza mahaba dogoDamu ilizuiwa WWE, ukiangalia games za zamani kina stone cold, Sting, Batista, Ric flair na wengine walikuwa wanatoka damu Kama Kawaida. Ingawa nasikia damu haikuwa real
Punguza mahaba dogoDamu ilizuiwa WWE, ukiangalia games za zamani kina stone cold, Sting, Batista, Ric flair na wengine walikuwa wanatoka damu Kama Kawaida. Ingawa nasikia damu haikuwa real
Lini? Brock Lesnar kaacha kumua mtuHahaha,,, huyo paul ni mpambe mbaya sana huwa anamtia ukichaa brock lesner,,, ila usisahau mkanda wa intercontinental seth aliuchukua kwa brock huyo huyo kabla ya kunyanga'nywa tena
Tatizo hujui muda, sasa hiv live hapa no 128 summer slamHivi mechi ni leo au jpil ijayo? Mbona supersport 9 hawaoneshi pia ile channel 128 wanaonesha marudio ya kofi Kingston.
Daa kweli now kofi wanazichapa na randy Orton.Tatizo hujui muda, sasa hiv live hapa no 128 summer slam
Oyoooooooo theth Rollinstheth rollins, Kofi, Aj style, kelvin owen, the man, ushindi njenje
Wapi gebu jamaniWale fan wa Seth tunafuraha mkanda umerud
Naomba matokeo gebuAshinde wapi huyu mgogo
Linategemea stail moja , Seth Jana alijipanga ,akipigwa suplex city anatua vzrBrock kapigwa sana, yaani kazidiwa Kwa kila kitu. Nadhani anezeeka, zama zake zimepita.
Kawatia aibu sana mashabiki zake.
Wale fan wa Seth tunafuraha mkanda umerud
nimeshangilia utafikiri nacheck SoccerHata mie nimefurahi sana kile kipigo alichompa nilikata tamaa
Punguza mahaba dogo