Wadau wa mchezo wa mieleka (wrestling)

Jumapili atapigana kweli mana kwa kichapo alichopew hatar sana au mi sijaelew Big dog alichezewa mchezo gani mpaka kugongwa na gari
 
Tukielekea SummerSlam nimefurahi Sana kumuona Goldberg akirudi uwanjani kumuuua dolf zigler.huyu jamaa namkubali Sana maana na yeye ni muuaji hanaga kuremba.jinsi anavyoingia ulingoni ni biti tosha kwa mpinzani.huyu jamaa namkubali Sana baada ya Brock Lesnar.lakini pia natamani Sana Dwayne Johnson the rock na yeye arudi ulingoni umri unamruhusu.huyu mwamba hatari Sana hasa ukimpa kipaza sauti
 
Kama kawaida buroooooook Lesnar anaenda kupiga yule mbuzi Seth kwa pigo matata na ambalo halijawahi kutokea Toka dunia iumbwe la f5.hili pigo ndio pigo mpaka sasa limeweka rekodi lilivunja rekodi ya mbabe mwite mbishi au mpambanaji huku kitaa tunamuita gaidi,mnyama a.k.a jini the undertaker aliyepigana wrestermania 21 bila kupigwa.huyu Seth mchumba Sana hala lolote wala ubishi kama wa cm punk, undertaker,John cena,samoe Joe,brawn strowman,Roman reigns, Goldberg na hata wa triple H ambao wote walipigwa na mnyama Brock Lesnar.mzee wa f5 Na suplex city Hana mpinzani kwa kweli akiwa pembeni na jamaa anayejitambulisha lediz endi jentromeniiiiii mai nem iz Paul heymaaaaaaaaan.
 
Randy Orton huyu Jambazi katili Sana atamuuua mruka makida visarakasi vya kuruka kamba Kofi kingstone.katika takwimu moja ya finishing za hatari wwe ambazo ukipigwa sio rahisi kuchomoa ni rko ya Randy Orton na f5 ya the beast Brock lesnar.pigo la Kofi la trouble in paradise la kawaida mno ata asuka au iconics wanaweza kuchomoa.ajiandae kutupa mkanda wetu
 
Thiz iz the hausi that ei jei styles built vs rikocheti.nampenda Sana rikocheti ila hiki kina kirefu
 
Punguza mahaba, Randy kazeeka kama hujui, huyo unayemwongelea ni Randy wa zamani sio huyu mzee wa sasa anayepigwa hovyo hovyo hadi na akina Shinsuke Nakamura
Ukatili upo damuni.muulize rey 619 Mysterio alivyopigwa nusu afe.randy Orton umri umeenda ila ukatili umeongezeka ndio sisi mashabiki wake tunamkubali
 
Namiss Sana kundi la wanawake wanyama makatili riot squard wakiongozwa na brigedia jenerali Rubby na pia nimemmiss Sana mwamba hodari shupavu na mrembo anajiiita God Greatest Creation
 
Randy Orton huyu Jambazi katili Sana atamuuua mruka makida visarakasi vya kuruka kamba Kofi kingstone.katika takwimu moja ya finishing za hatari wwe ambazo ukipigwa sio rahisi kuchomoa ni rko ya Randy Orton na f5 ya the beast Brock lesnar.pigo la Kofi la trouble in paradise la kawaida mno ata asuka au iconics wanaweza kuchomoa.ajiandae kutupa mkanda wetu
Koffi atashinda hilo pambano
 
Namiss Sana kundi la wanawake wanyama makatili riot squard wakiongozwa na brigedia jenerali Rubby na pia nimemmiss Sana mwamba hodari shupavu na mrembo anajiiita God Greatest Creation
Wale hawana umwamba wowote sema ni wacheza foul wazuri
 
Toka mieleka imeanza ni pigo la f5 ndio lilivuruga rekodi ya undertaker.amepigana Mara 21 wrestermania hakuwahi kupigwa.ila Brock Lesnar alimkalisha kwa pigo la f5 na Sasa rasmi anatambulika kama 21-1.huyu Seth rollings ni mtoto mdogo Sana kwa Brock Lesnar Bora angeruka visarakasi vyake na kina Finn balor.brock anapigana mpaka ufc na ameshawahi kuchukua mkanda wa ufc heavyweight,Brock anacheza rugby,anacheza karate,huyu mnyama ni muuajiiiii.huyo Seth atakufa
Don't be very serious na wwe, every result is planned. Huko UFC Brock Lesnar ni nyanya tu, amechakazwa mara kibao, akiwa kule hizo suplex city zake huwezi ziona, hata ngumi hawezi kurusha
 
Mi Nina swali moja kwa wadau was mcho huu. Eti kutwangana kote kule mbona sijawahi kuona mtu akitoka hata damu pamoja na kutwangana mpaka na viti na gitaa.
Au ndo viewer prescription is not advised!
Damu ilizuiwa WWE, ukiangalia games za zamani kina stone cold, Sting, Batista, Ric flair na wengine walikuwa wanatoka damu Kama Kawaida. Ingawa nasikia damu haikuwa real
 
Kama kawaida buroooooook Lesnar anaenda kupiga yule mbuzi Seth kwa pigo matata na ambalo halijawahi kutokea Toka dunia iumbwe la f5.hili pigo ndio pigo mpaka sasa limeweka rekodi lilivunja rekodi ya mbabe mwite mbishi au mpambanaji huku kitaa tunamuita gaidi,mnyama a.k.a jini the undertaker aliyepigana wrestermania 21 bila kupigwa.huyu Seth mchumba Sana hala lolote wala ubishi kama wa cm punk, undertaker,John cena,samoe Joe,brawn strowman,Roman reigns, Goldberg na hata wa triple H ambao wote walipigwa na mnyama Brock Lesnar.mzee wa f5 Na suplex city Hana mpinzani kwa kweli akiwa pembeni na jamaa anayejitambulisha lediz endi jentromeniiiiii mai nem iz Paul heymaaaaaaaaan.
Hahaha,,, huyo paul ni mpambe mbaya sana huwa anamtia ukichaa brock lesner,,, ila usisahau mkanda wa intercontinental seth aliuchukua kwa brock huyo huyo kabla ya kunyanga'nywa tena
 
Hivi mechi ni leo au jpil ijayo? Mbona supersport 9 hawaoneshi pia ile channel 128 wanaonesha marudio ya kofi Kingston.
 
Hahaha,,, huyo paul ni mpambe mbaya sana huwa anamtia ukichaa brock lesner,,, ila usisahau mkanda wa intercontinental seth aliuchukua kwa brock huyo huyo kabla ya kunyanga'nywa tena
Punguza mahaba dogo
 
Back
Top Bottom