• Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS

Wadau wa mchezo wa mieleka (wrestling)

Baba Mtakatifu

Baba Mtakatifu

JF-Expert Member
Joined
Dec 31, 2017
Messages
1,295
Points
2,000
Baba Mtakatifu

Baba Mtakatifu

JF-Expert Member
Joined Dec 31, 2017
1,295 2,000
Kwa wale wapenzi wa wrestling(Mieleka) huu hapa ndo uwanja wetu.....Njooni tupeane updates za yanayoendelea kwenye tasnia hii....

Tupia comment yoyote.....tupia picha au video ya mieleka yoyote......uliza chochote kuhusu mieleka na wanamieleka upate majibu toka kwa wataalamu...

Haya sasa karibuni tujimwaemwae.....
 
Attachments:

Baba Mtakatifu

Baba Mtakatifu

JF-Expert Member
Joined
Dec 31, 2017
Messages
1,295
Points
2,000
Baba Mtakatifu

Baba Mtakatifu

JF-Expert Member
Joined Dec 31, 2017
1,295 2,000
Samoe joe ni jinga sana,kila mara anapambana na Roman Reign ili achukue mkanda wa intercontinental,kila mara anapigwa badala ya kutulia akajipange kwanza anakuwa anaomba tu mapambano!
Sasa hivi amerudi The Mitz....... Anataka mkanda wake...... Sa sjui atamuweza Roman Reigns????
 
Behaviourist

Behaviourist

JF-Expert Member
Joined
Apr 8, 2016
Messages
21,671
Points
2,000
Behaviourist

Behaviourist

JF-Expert Member
Joined Apr 8, 2016
21,671 2,000
Sasa hivi amerudi The Mitz....... Anataka mkanda wake...... Sa sjui atamuweza Roman Reigns????
Mitz ni very coward person na ni muoga sana,hawezi tena kupata ule mkanda!.....Huwa anavizia siku Roman Reign amepigwa na mtu mwingine kisha anakuja kumshambulia in coward way!!
 
Baba Mtakatifu

Baba Mtakatifu

JF-Expert Member
Joined
Dec 31, 2017
Messages
1,295
Points
2,000
Baba Mtakatifu

Baba Mtakatifu

JF-Expert Member
Joined Dec 31, 2017
1,295 2,000
Mitz ni very coward person na ni muoga sana,hawezi tena kupata ule mkanda!.....Huwa anavizia siku Roman Reign amepigwa na mtu mwingine kisha anakuja kumshambulia in coward way!!
Ila Inaonesha Kama amerudi kajipanga...... Si umeona kichapo alichompa Roman juzi
 
SK2016

SK2016

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2017
Messages
7,248
Points
2,000
SK2016

SK2016

JF-Expert Member
Joined Apr 6, 2017
7,248 2,000
Mitz ni very coward person na ni muoga sana,hawezi tena kupata ule mkanda!.....Huwa anavizia siku Roman Reign amepigwa na mtu mwingine kisha anakuja kumshambulia in coward way!!
Huwa nachukia sana anapokuja kumshambulia Ronan Reign anapokuwa amepigwa!
 
paty

paty

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2010
Messages
1,329
Points
1,500
paty

paty

JF-Expert Member
Joined Oct 19, 2010
1,329 1,500
hii PG Era hapana kwangu aisee , nimemis the Golden era.. enzi za wakali akina DX, Steve Austine , the rock, Undertaker , na wakali wengine .. sasa ivi WWE hamna kitu .. sasa ivi nimehamia UFC ... HUKU NDO SHUGHULI Ipo. Hii PG ya watoto
 
Baba Mtakatifu

Baba Mtakatifu

JF-Expert Member
Joined
Dec 31, 2017
Messages
1,295
Points
2,000
Baba Mtakatifu

Baba Mtakatifu

JF-Expert Member
Joined Dec 31, 2017
1,295 2,000
hii PG Era hapana kwangu aisee , nimemis the Golden era.. enzi za wakali akina DX, Steve Austine , the rock, Undertaker , na wakali wengine .. sasa ivi WWE hamna kitu .. sasa ivi nimehamia UFC ... HUKU NDO SHUGHULI Ipo. Hii PG ya watoto
Umenikumbusha enzi za Shawn Michael na Holk Hogan
 
KakaJambazi

KakaJambazi

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2009
Messages
17,420
Points
2,000
KakaJambazi

KakaJambazi

JF-Expert Member
Joined Jun 5, 2009
17,420 2,000
Mnangalia kupitia channel, king'amuzi, siku na mda gani wakuu!
 
Behaviourist

Behaviourist

JF-Expert Member
Joined
Apr 8, 2016
Messages
21,671
Points
2,000
Behaviourist

Behaviourist

JF-Expert Member
Joined Apr 8, 2016
21,671 2,000
Mnangalia kupitia channel, king'amuzi, siku na mda gani wakuu!
Kama una king'amuzi cha azam tv fuatilia kwenye channel ya MBC action kila siku ya jumapili,jumatatu na jumanne kuanzia saa tatu kamili usiku!....Pia channel ya MBC power plus huwa inaonyesha
 
Forum statistics

Threads 1,402,760
Members 530,977
Posts 34,404,224
Top